• Mchezaji wa Aston Villa Ollie Watkins na Rodrigo Muniz wa Fulham wameongezwa kwenye rada za Newcastle United endapo Benjamin Sesko atachagua kwenda Manchester United..

    (Source:Daily Mail Sport)

    #SportsElite
    🚨 Mchezaji wa Aston Villa Ollie Watkins na Rodrigo Muniz wa Fulham wameongezwa kwenye rada za Newcastle United endapo Benjamin Sesko atachagua kwenda Manchester United.. (Source:Daily Mail Sport) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·236 Views
  • BREAKING: Nottingham Forest
    imekamilisha usajili wa Dan Ndoye kutoka Bologna kwa kiasi cha £34m

    #SportsElite
    🚨🚨BREAKING: Nottingham Forest imekamilisha usajili wa Dan Ndoye kutoka Bologna kwa kiasi cha £34m ✅🌳 #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·341 Views
  • Tottenham Hotspur iko kwenye majadiliano na Bayern Munich juu ya uhamisho wa Joao Palhinha ⚪️

    #SportsElite
    Tottenham Hotspur iko kwenye majadiliano na Bayern Munich juu ya uhamisho wa Joao Palhinha ✍️⚪️ #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·176 Views
  • Watu wako serious huku pre-season
    🎯🎯Watu wako serious huku pre-season
    0 Commentarios ·0 Acciones ·86 Views
  • Nyota wa Newcastle united Alexander Isak anafanya mazoezi katika vituo vya klabu yake ya zamani ya Real Sociedad huku akiuguza jeraha dogo la paja.

    Hadi kufikia sasa mustakabali wake na Newcastle bado haujulikani baada ya Isak kuweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo.

    (Chanzo: Daily Mail Sport)

    #SportsElite
    🚨🚨Nyota wa Newcastle united Alexander Isak anafanya mazoezi katika vituo vya klabu yake ya zamani ya Real Sociedad huku akiuguza jeraha dogo la paja. Hadi kufikia sasa mustakabali wake na Newcastle bado haujulikani baada ya Isak kuweka wazi kuwa anataka kuondoka klabuni hapo. (Chanzo: Daily Mail Sport) #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·317 Views
  • #CONFIRMED;Ligi kuu Tanzania Nbc premier league inatarajiwa kuanza September 16,2025

    #NBCPremierLeague #Tff #BodiYaLigi

    #SportsElite
    🚨#CONFIRMED;Ligi kuu Tanzania Nbc premier league inatarajiwa kuanza September 16,2025 #NBCPremierLeague #Tff #BodiYaLigi #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·976 Views
  • Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi.

    Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano ya kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya uhamisho ya Euro milioni 40 akitokea Ajax Amsterdam ya Nchini Uholanzi. Hato (19) raia wa Uholanzi ambaye anamudu kucheza kama beki wa kati na beki wa kushoto amekubali kusaini mkataba wa miaka 7 utakaombakisha klabuni hapo mpana Juni 2032. #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·406 Views
  • MORICE ABRAHAM NI MNYAMA KWENYE MBUGA YA BUNJU

    Ni yule Kiungo mdambwi dambwi mBongo aliyekuwa nje huko

    Alianza mazoezi na Simba kabla ligi haijaisha…!

    Anajua boli

    #SportsElite
    🚨MORICE ABRAHAM NI MNYAMA KWENYE MBUGA YA BUNJU Ni yule Kiungo mdambwi dambwi mBongo aliyekuwa nje huko✅ Alianza mazoezi na Simba kabla ligi haijaisha…! Anajua boli ✅ #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·365 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Sunderland imefikia makubaliano ya kumsaini Marc Guiu kwa mkopo akitokea Chelsea

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Sunderland imefikia makubaliano ya kumsaini Marc Guiu kwa mkopo akitokea Chelsea ❤️🤍🇪🇸 #SportsElite
    0 Commentarios ·0 Acciones ·369 Views
  • 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Serge Aurier amejiunga na Persepolis FCya Iran kwa mkataba wa miaka 2. 🇨🇮

    (Source: FC Persepolis)

    📝 𝗗𝗘𝗔𝗟 𝗗𝗢𝗡𝗘: Serge Aurier amejiunga na Persepolis FCya Iran kwa mkataba wa miaka 2. 🇨🇮🇮🇷 (Source: FC Persepolis)
    0 Commentarios ·0 Acciones ·98 Views