• 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Hojlund amefikia makubaliano ya kujiunga na AC Milan kwa mkataba wa mkopo akitokea Manchester United kwa ada ya €5 million f


    #sportselite
    馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Hojlund amefikia makubaliano ya kujiunga na AC Milan kwa mkataba wa mkopo akitokea Manchester United kwa ada ya €5 million f #sportselite
    0 Commentarios 0 Acciones 24 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Giovanni Leoni yuko mbioni kujiunga na Liverpool kutoka Parma kwa ada ya uhamisho wa €35M

    #SportsElite
    馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Giovanni Leoni yuko mbioni kujiunga na Liverpool kutoka Parma kwa ada ya uhamisho wa €35M #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 42 Views
  • Baada ya kuondoka kwa aliyekuwa nahodha wa Totenham Heung- min Son, meneja wa Totenham Hotspurs amethibitisha rasmi kuwa Cristian Romero ndie atakuwa nahodha mpya wa klabu hiyo.

    Romero alijiunga na Totenham mwaka 2022 akitokea Atalanta.

    Muda wote amekuwa mchezaji muhimu kwa klabu hiyo na kiongozi mzuri ndani na nje ya uwanja.

    Romero pia ni sehemu ya kikosi cha Totenham kilichofanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Europa league msimu uliopita.

    #SportsElite
    Baada ya kuondoka kwa aliyekuwa nahodha wa Totenham Heung- min Son, meneja wa Totenham Hotspurs amethibitisha rasmi kuwa Cristian Romero ndie atakuwa nahodha mpya wa klabu hiyo. Romero alijiunga na Totenham mwaka 2022 akitokea Atalanta. Muda wote amekuwa mchezaji muhimu kwa klabu hiyo na kiongozi mzuri ndani na nje ya uwanja. Romero pia ni sehemu ya kikosi cha Totenham kilichofanikiwa kutwaa ubingwa wa UEFA Europa league msimu uliopita. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 26 Views
  • RASMI: Hivi ndiyo viwango vipya vya klabu bora barani Ulaya (UEFA) kwa sasa

    1锔忊儯 Real Madrid
    2锔忊儯 Bayern Munich
    3锔忊儯 Inter Milan
    4锔忊儯 Manchester City
    5锔忊儯 Liverpool
    6锔忊儯 Paris Saint-Germain
    7锔忊儯 Bayer Leverkusen
    8锔忊儯 Borussia Dortmund
    9锔忊儯 Barcelona
    AS Roma
    馃毃 RASMI: Hivi ndiyo viwango vipya vya klabu bora barani Ulaya (UEFA) kwa sasa 1锔忊儯 Real Madrid 馃嚜馃嚫 2锔忊儯 Bayern Munich 馃嚛馃嚜 猬嗭笍 3锔忊儯 Inter Milan 馃嚠馃嚬 猬嗭笍 4锔忊儯 Manchester City 馃彺猬囷笍 5锔忊儯 Liverpool 馃彺猬囷笍 6锔忊儯 Paris Saint-Germain 馃嚝馃嚪 猬囷笍 7锔忊儯 Bayer Leverkusen 馃嚛馃嚜 猬嗭笍 8锔忊儯 Borussia Dortmund 馃嚛馃嚜 猬嗭笍 9锔忊儯 Barcelona 馃嚜馃嚫 猬嗭笍 馃敓 AS Roma 馃嚠馃嚬 猬囷笍
    0 Commentarios 0 Acciones 41 Views
  • 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Chelsea FC imefika makubaliano kamili na RB Leipzig kumsajili Xavu Simons kwa ada ya €60m na mkataba wa muda mrefu. .

    Chelsea kwa sasa inasubiri kuuza mchezaji kupata nafasi ya kukamilisha Usajili huo mapema. .

    #SportsElite
    馃毃 饾棔饾棩饾棙饾棓饾棡饾棞饾棥饾棜: Chelsea FC imefika makubaliano kamili na RB Leipzig kumsajili Xavu Simons kwa ada ya €60m na mkataba wa muda mrefu. 馃嚦馃嚤 馃數. Chelsea kwa sasa inasubiri kuuza mchezaji kupata nafasi ya kukamilisha Usajili huo mapema. 馃挵 馃數. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 29 Views
  • Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup.

    Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake.

    Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake.
    Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake.

    Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi.

    "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne.

    "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo.

    #SportsElite
    馃毃馃毃Meneja wa Paris Saint Germain, Luis Enrique ameweka wazi kuwa Uongozi wa klabu hiyo unamuunga mkono kwenye uamuzi wake wa kuachana na Golikipa Gianluigi Donnarumma kutokuwa sehemu ya kikosi cha Timu hiyo hivyo ataanza kwa kuukosa mchezo wa UEFA Super Cup. Kipa huyo raia wa Italia aliachwa nje ya kikosi kilichosafiri hadi Udine kwa mechi ya kirafiki leo dhidi ya Tottenham, huku Magolikipa Lucas Chevalier na Renato Marin wakichaguliwa badala yake. Katika chapisho lake kwenye mtandao wake wa Instagram, Donnarumma alisema "amesikitishwa na kuvunjika moyo" kwa kukosekana kwake. Nyota huyo alikuwa mmoja wa wachezaji wa PSG walioshinda taji la Ligi ya Mabingwa msimu uliopita na uamuzi huo umekuja kwa mshtuko kutokana na hadhi yake na wasifu wake. Enrique alisema uamuzi wake ulikuwa na lengo la kutafuta Golikipa mwenye "wasifu tofauti" na Gigi. "Uongozi unaniunga mkono na tunajaribu kutafuta suluhu bora," aliongea kwenye mkutano wa wanahabari Jumanne. "Ni uamuzi mgumu, namkubali Donnarumma kwani ni mmoja wa makipa bora na mtu bora zaidi. Lakini tulikuwa tunatafuta wasifu tofauti, na ni vigumu sana kuchukua maamuzi ya aina hii." - alimaliza kwa kusema hivyo. #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 61 Views
  • 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗! AC Milan imekamilisha usajili wa Zachary Athekame beki wa kulia

    Uhamisho wa €10m Young Boys watavuna kiasi hicho


    #SportsElite
    馃毃 饾悋饾悇饾悜饾悇 饾悥饾悇 饾悊饾悗! AC Milan imekamilisha usajili wa Zachary Athekame beki wa kulia 鉂わ笍馃枻 Uhamisho wa €10m Young Boys watavuna kiasi hicho 馃敎 #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 76 Views
  • Je unaweza kutabiri??
    Je unaweza kutabiri??
    0 Commentarios 0 Acciones 22 Views
  • 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Liverpool imepanga kuwasajiri washambuliaji hawa kwa pamoja Alexander Isak, Marc Guehi and Leoni.

    #SportsElite
    馃毃馃Ж 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Liverpool imepanga kuwasajiri washambuliaji hawa kwa pamoja Alexander Isak, Marc Guehi and Leoni. 馃馃捀 #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 37 Views
  • 饾悇饾悧饾悅饾悑饾悢饾悞饾悎饾悤饾悇: Newcastle ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Jacob Ramsey鈿笍鈿笍鈿★笍

    Makubaliano hayo baina ya Aston Villa yatahusisha kiasi cha £40m na mda sio mrefu uhamisho utakamilika kwa 100%

    #SportsElite
    馃毃 饾悇饾悧饾悅饾悑饾悢饾悞饾悎饾悤饾悇: Newcastle ipo karibu kukamilisha uhamisho wa Jacob Ramsey鈿笍鈿笍鈿★笍 Makubaliano hayo baina ya Aston Villa yatahusisha kiasi cha £40m na mda sio mrefu uhamisho utakamilika kwa 100% #SportsElite
    0 Commentarios 0 Acciones 22 Views