0 التعليقات
·0 المشاركات
·4 مشاهدة
-
0 التعليقات ·0 المشاركات ·8 مشاهدة
-
-
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi tarehe ya siku ya kilele cha Wananchi ambapo itakuwa ni Semptemba 12 mwezi ujao ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.
#SportsEliteKlabu ya Yanga imetangaza rasmi tarehe ya siku ya kilele cha Wananchi ambapo itakuwa ni Semptemba 12 mwezi ujao ndani ya uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·16 مشاهدة -
Jorgen Strand-Larsen ametajwa kuwa kwenye tageti ya klabu ya Newcastle United
Mshambuliaji huyo raia wa Norway anatazamiwa kuwa mrithi wa Alexander Isac anayetarajiwa kutimka klabuni hapo
#SportsElite🚨🚨Jorgen Strand-Larsen ametajwa kuwa kwenye tageti ya klabu ya Newcastle United 🙌 Mshambuliaji huyo raia wa Norway 🇳🇴 anatazamiwa kuwa mrithi wa Alexander Isac 🇸🇪 anayetarajiwa kutimka klabuni hapo 🙌 #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·7 مشاهدة -
-
USAJILI
#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki.
Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja.
#SportsEliteUSAJILI 🚨#CONFIRMED;Timu ya Wananchi Yanga leo imempokea mchezaji wao kambini Avic Town Frank Assinki. Frank Assinki muda wowote kuanzia sasa atatambulishwa kama mchezaji wao mpya waliomsajili kutoka Singida Big Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·6 مشاهدة -
Pichani ni Luis Javier Suarez mshambuliaji mpya wa Sporting Lisbon aliesajiliwa pale kama mbadala wa Victor Gyokeres alietimkia Arsenal.
Suarez ameendeleza pale pale alipoishia Gyokeres akiwa na Lisbon na jana kwenye ushindi wa goli 6 walioupata ametupia kamba 2 na kufungua njia yake ya magoli rasmi.
Kifupi tu ni kuwa Sporting Lisbon hawajapata hasara kwenye dili la Gyokeres na saizi hawapokei simu za watu wanakula mafao ya Gyokeres kwanza.
#SportsElite🚨🚨Pichani ni Luis Javier Suarez mshambuliaji mpya wa Sporting Lisbon aliesajiliwa pale kama mbadala wa Victor Gyokeres alietimkia Arsenal. Suarez ameendeleza pale pale alipoishia Gyokeres akiwa na Lisbon na jana kwenye ushindi wa goli 6 walioupata ametupia kamba 2 na kufungua njia yake ya magoli rasmi. Kifupi tu ni kuwa Sporting Lisbon hawajapata hasara kwenye dili la Gyokeres na saizi hawapokei simu za watu wanakula mafao ya Gyokeres kwanza. #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·10 مشاهدة -
Mshambuliaji wa Atalanta Ademola Lookman amerudi kwenye uwanja wa mazoezi katika klabu yake ya Atalanta baada ya dili lake la kwenda Inter Milan kufeli.
Mnigeria huyo alitaka kujiunga na Inter lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa na Atalanta, hivyo hatua hiyo imeshindikana.
Lookman sasa amerejea katika uwanja wa mazoezi wa Atalanta na itabidi azungumze na klabu na kocha kurekebisha uhusiano uliokuwepo hapo awali kwani aligomea mazoezi akishinikiza kuondoka klabuni hapo.
(Chanzo Sky Sport)
#SportsElite🚨🔵⚪Mshambuliaji wa Atalanta Ademola Lookman amerudi kwenye uwanja wa mazoezi katika klabu yake ya Atalanta baada ya dili lake la kwenda Inter Milan kufeli. Mnigeria huyo alitaka kujiunga na Inter lakini hakuna makubaliano yaliyofikiwa na Atalanta, hivyo hatua hiyo imeshindikana. ❌ Lookman sasa amerejea katika uwanja wa mazoezi wa Atalanta na itabidi azungumze na klabu na kocha kurekebisha uhusiano uliokuwepo hapo awali kwani aligomea mazoezi akishinikiza kuondoka klabuni hapo. (Chanzo Sky Sport) #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·6 مشاهدة -
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Arsenal imeanza mazungumzo na kambi ya Eberechi Eze.
Baada ya Havertz kupata majeraha ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda
Arsenal tayari imekwisha ongea na Eze na amekubali kujiunga na Gunners.
(Source: David Ornstein)
#SportsElite🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Arsenal imeanza mazungumzo na kambi ya Eberechi Eze. Baada ya Havertz kupata majeraha ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda Arsenal tayari imekwisha ongea na Eze na amekubali kujiunga na Gunners. (Source: David Ornstein) #SportsElite0 التعليقات ·0 المشاركات ·6 مشاهدة