• 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Arsenal imeanza mazungumzo na kambi ya Eberechi Eze.

    Baada ya Havertz kupata majeraha ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda

    Arsenal tayari imekwisha ongea na Eze na amekubali kujiunga na Gunners.

    (Source: David Ornstein)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Arsenal imeanza mazungumzo na kambi ya Eberechi Eze. Baada ya Havertz kupata majeraha ambayo yatamuweka nje ya uwanja kwa muda Arsenal tayari imekwisha ongea na Eze na amekubali kujiunga na Gunners. (Source: David Ornstein) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·381 Просмотры
  • Siku kama ya leo mwaka 2020

    FC Barcelona walimtambulisha Pedri Gonzalez kama mchezaji mpya wa klabu hiyo

    #SportsElite
    📆 Siku kama ya leo mwaka 2020 🙌 FC Barcelona walimtambulisha Pedri Gonzalez kama mchezaji mpya wa klabu hiyo 💙♥️ #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·127 Просмотры
  • Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe...

    Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike

    #SportsElite
    Sema kwenye deal la Isak ni gumu sana na bei ni ghali Sana, ndio maana hakuna timu inaweza ingilia hapo kati zaidi ya Liverpool wenyewe... Sema Hawa Newcastle Wana nguvu ya pesa ndio maana hawababaishwi na mtu... Ila nguvu ya demand kwa mchezaji kutaka kwenda kucheza Liverpool Pekee ndio kutabadilisha matokeo... Na Newcastle kukubali deal li kamamilike #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·425 Просмотры
  • Hakuna namna tutaweza kuficha ukweli kuwa utofauti wa Arsenal na Copenhagen ni jezi,ligi wanayoshiriki na mataifa wanayotokea pekee.

    Ubishi sio kipaji kubali kujuzwa ujifunze mengi, na ukichagua kubisha njoo na facts .

    #SportsElite
    🚨🚨Hakuna namna tutaweza kuficha ukweli kuwa utofauti wa Arsenal na Copenhagen ni jezi,ligi wanayoshiriki na mataifa wanayotokea pekee. Ubishi sio kipaji kubali kujuzwa ujifunze mengi, na ukichagua kubisha njoo na facts 😑. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·349 Просмотры
  • Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles.

    Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).

    © Enoch Arthur

    #SportsElite
    🚨🇳🇬 Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles. Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). © Enoch Arthur ✍️ #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·176 Просмотры
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Richarlison amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki Premier League 1.
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Richarlison amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki Premier League 1.
    0 Комментарии ·0 Поделились ·58 Просмотры
  • Barcelona imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Oriol Romeu

    (Source: MARCA)
    🚨 Barcelona imefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Oriol Romeu👋 (Source: MARCA)
    0 Комментарии ·0 Поделились ·116 Просмотры
  • Al-Ittihad imeonesha nia ya kumuhitaji Adrien Rabiot.

    (Source: Foot Mercato)

    #SportsElite
    🚨 Al-Ittihad imeonesha nia ya kumuhitaji Adrien Rabiot. 🤯🇸🇦 (Source: Foot Mercato) #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·107 Просмотры
  • Klabu ya Strasbourg imeandika historia kwa kuwa timu ya kwanza katika ligi kubwa tano barani Ulaya kuanza mchezo ikiwa na wachezaji kumi na moja wote waliozaliwa katika karne ya 21 (baada ya mwaka 2000).

    Tukio hilo lilitokea katika mchezo wao dhidi ya Metz ambapo Strasbourg ilishinda bao 1-0, shukrani kwa bao la Joaquín Panichelli dakika ya 86.

    Kikosi kilichoipeleka Strasbourg kwenye historia hiyo kilikuwa na vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 22 pekee.

    #SportsElite
    🚨🚨Klabu ya Strasbourg imeandika historia kwa kuwa timu ya kwanza katika ligi kubwa tano barani Ulaya kuanza mchezo ikiwa na wachezaji kumi na moja wote waliozaliwa katika karne ya 21 (baada ya mwaka 2000). Tukio hilo lilitokea katika mchezo wao dhidi ya Metz ambapo Strasbourg ilishinda bao 1-0, shukrani kwa bao la Joaquín Panichelli dakika ya 86. Kikosi kilichoipeleka Strasbourg kwenye historia hiyo kilikuwa na vijana wenye umri kati ya miaka 19 hadi 22 pekee. #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·335 Просмотры
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea imekamilisha usajiri wa Julio Enciso kutoka Brighton kwa ada ya €18.5M na nyongeza ya €2.5M, na atatolewa kwa mkopo wa mwaka 1 kwenda Racing Strasbourg.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea imekamilisha usajiri wa Julio Enciso kutoka Brighton kwa ada ya €18.5M na nyongeza ya €2.5M, na atatolewa kwa mkopo wa mwaka 1 kwenda Racing Strasbourg. ⚪🔵⌛ #SportsElite
    0 Комментарии ·0 Поделились ·134 Просмотры