• Manchester City tayari imekwisha kufanya makubaliano na Gianluigi Donnarumma kwa mkataba hadi 2030, lakini dili linakuwa gumu kutokana na kusubiriwa kuondoka kwa Ederson kwenda Galatasaray.

    #SportsElite
    🚨 Manchester City tayari imekwisha kufanya makubaliano na Gianluigi Donnarumma kwa mkataba hadi 2030, lakini dili linakuwa gumu kutokana na kusubiriwa kuondoka kwa Ederson kwenda Galatasaray. #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·11 Views
  • Leeds United imefikia makubaliano na Leicester City kumuuza James Justin

    Kwa ada ya £8m +£2m

    Sky Sports


    #SportsElite
    🚨🚨Leeds United imefikia makubaliano na Leicester City kumuuza James Justin 📝 Kwa ada ya £8m +£2m 💵 Sky Sports #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·5 Views
  • FC BARCELONA WOMEN'S
    FC BARCELONA WOMEN'S
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·5 Views
  • Mchezaji wa Villarreal Tajon Buchanan (26) ameweka rekodi kuwa Mkanada wa kwanza kufunga hat-trick ndani ya La Liga. ⚽️⚽️⚽️

    #SportsElite
    🚨✨🇨🇦 Mchezaji wa Villarreal Tajon Buchanan (26) ameweka rekodi kuwa Mkanada wa kwanza kufunga hat-trick ndani ya La Liga. ⚽️⚽️⚽️ #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • Tangu Messi aanze kucheza soka 2004 ameshachukua makombe 46 analingana na Baryen Munich makombe waliyochukua kuanzia 2004 mpaka sasa

    #SportsElite
    🚨🚨Tangu Messi aanze kucheza soka 2004 ameshachukua makombe 46 analingana na Baryen Munich makombe waliyochukua kuanzia 2004 mpaka sasa 👇👇👇👇 #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·9 Views
  • Real Madrid C.F. itakuwa tayari kumuuza Vinicius Junior kwa €150M kwa dirisha kubwa la usajili msimu ujao endapo hatoongeza mkataba mpya klabuni hapo..

    (Source: Defensa Central)

    #SportsElite
    🚨 Real Madrid C.F. itakuwa tayari kumuuza Vinicius Junior kwa €150M kwa dirisha kubwa la usajili msimu ujao endapo hatoongeza mkataba mpya klabuni hapo.. (Source: Defensa Central) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·7 Views
  • Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili.

    Na Beşiktaş imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake.

    (Source: CaughtOffside)

    #SportsElite
    🚨 Chelsea inahitaji £20M ili kumuuza Raheem Sterling dirisha hili la usajili. Na Beşiktaş imeonesha nia ya kumuhitaji winga huyo, mbali na hapo pia vilabu vya Uingereza Fulham na West Ham vinahitaji huduma yake. (Source: CaughtOffside) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·9 Views
  • Msimamo wa La Liga kwa sasa
    🚨🚨Msimamo wa La Liga kwa sasa 👇👇👇👇
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·3 Views
  • Arsenal iko mbioni kukamilisha usajiri wa kinda wa Shamrock Rovers 16 Victor Ozhianvuna.

    @gunnerblog after @McDonnellDan The Athletic FC

    #SportsElite
    🚨 Arsenal iko mbioni kukamilisha usajiri wa kinda wa Shamrock Rovers 16 Victor Ozhianvuna. @gunnerblog after @McDonnellDan The Athletic FC #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·14 Views
  • Aston Villa iko mbioni kutuma ofa €30M ili kuona uwezekano wa kumpata Marc Casadó, ambae anatajwa kuondoka FC Barcelona dirisha hili.

    (Source: El País)

    #SportsElite
    🚨 Aston Villa iko mbioni kutuma ofa €30M ili kuona uwezekano wa kumpata Marc Casadó, ambae anatajwa kuondoka FC Barcelona dirisha hili. (Source: El País) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·4 Views