
-
-
-
-
Roho mbaya inapunguza wateja kwenye Biashara ila huruma itakufanya ufilisike Kabisa. Uamuzi ni wako.Roho mbaya inapunguza wateja kwenye Biashara ila huruma itakufanya ufilisike Kabisa. Uamuzi ni wako.
-
Ikatokea ndoa yako ikakushinda wewe kaa kimya tu. Acha kutisha watu kuwa ndoa ngumuIkatokea ndoa yako ikakushinda wewe kaa kimya tu. Acha kutisha watu kuwa ndoa ngumu
-
DUNIA ina Watu Bilioni NANE, Ngoma ya Luis Fonsi-DESPACITO, You Tube Ina Views Bilioni 8.2. Hii Ipoje Wataalam.DUNIA ina Watu Bilioni NANE, Ngoma ya Luis Fonsi-DESPACITO, You Tube Ina Views Bilioni 8.2. Hii Ipoje Wataalam.
-
-
Meli haizamishwi na maji yanayo izunguka. Ila inazamishwa na maji yatayoingia ndani. Kuwa makini na watu unaowasogeza Karibu yako kila siku.Meli haizamishwi na maji yanayo izunguka. Ila inazamishwa na maji yatayoingia ndani. Kuwa makini na watu unaowasogeza Karibu yako kila siku.
-