• Like
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·80 Views
  • Like
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·76 Views
  • Like
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·71 Views
  • Like
    Love
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·77 Views
  • Mwenye kusambaza kheri yoyote, atapata malipo sawa na aliyeisema au kuiandika kheri hiyo."
    Mwenye kusambaza kheri yoyote, atapata malipo sawa na aliyeisema au kuiandika kheri hiyo."
    Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·69 Views
  • Tabia zenu ndio zilitubadilisha, Maana hata pua ikiziba, Huwa tunapumulia mdomo, Na maisha yanaenda safi tu.
    Tabia zenu ndio zilitubadilisha, Maana hata pua ikiziba, Huwa tunapumulia mdomo, Na maisha yanaenda safi tu.
    Like
    Love
    6
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·85 Views
  • Unapo hisi tu kuna mtu ana kukwepa kwepa, jitahidi sana usi endelee kuwa msumbufu kwake, usi lazimishe mambo.
    Unapo hisi tu kuna mtu ana kukwepa kwepa, jitahidi sana usi endelee kuwa msumbufu kwake, usi lazimishe mambo.
    Like
    5
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·73 Views
  • Beki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia.
    #Sports view
    Beki wa klabu ya Ihefu(Singida Black Stars) Benjamin Tanimu ameitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Nigeria 🇳🇬 kitakachojiandaa na Michezo miwili ya kufuzu kombe la Dunia. #Sports view
    Like
    Love
    4
    · 0 Yorumlar ·3 hisse senetleri ·1K Views
  • AL HILAL NA EL MERREKH ZA SUDAN ZITASHIRIKI LIGI KUU NCHINI MAURITANIA.

    Kwa mujibu wa Mwandishi Nguli, Lassana Camara klabu mbili za Sudan Hilal na Merreikh zimekubaliana na mamlaka za soka na kinchi nchini Mauritania ili miamba hiyo ishiriki kwenye Ligi yao kutokana na vita inayoendelea nchini Sudan.

    Mfumo ni kuwa timu zitashindana kama kawaida na bingwa atapatikana kwa wote ila kushiriki kimataifa hakuna kitakachoathirika ambapo timu ya kwanza kwenye msimamo kutoka Mauritania itacheza Champions League huku timu ya kwanza ya Sudan kwenye msimamo pia itacheza Champions League.

    Wameshatuma maombi yao rasmi CAF na wanasubiri mrejesho kutoka Cairo, kwa maana hiyo Al Hilal kuja kucheza Tanzania imeota mbawa rasmi.
    #Sports view
    🚨AL HILAL NA EL MERREKH ZA SUDAN ZITASHIRIKI LIGI KUU NCHINI MAURITANIA. Kwa mujibu wa Mwandishi Nguli, Lassana Camara klabu mbili za Sudan Hilal na Merreikh zimekubaliana na mamlaka za soka na kinchi nchini Mauritania ili miamba hiyo ishiriki kwenye Ligi yao kutokana na vita inayoendelea nchini Sudan. Mfumo ni kuwa timu zitashindana kama kawaida na bingwa atapatikana kwa wote ila kushiriki kimataifa hakuna kitakachoathirika ambapo timu ya kwanza kwenye msimamo kutoka Mauritania itacheza Champions League huku timu ya kwanza ya Sudan kwenye msimamo pia itacheza Champions League. Wameshatuma maombi yao rasmi CAF na wanasubiri mrejesho kutoka Cairo, kwa maana hiyo Al Hilal kuja kucheza Tanzania imeota mbawa rasmi. #Sports view
    Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·686 Views
  • Like
    Love
    3
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·399 Views