
-
-
-
-
-
-
-
Mtu kukuona mzuri ama mbaya ni maamuzi yake mwenyewe, usi hangaike naye.Mtu kukuona mzuri ama mbaya ni maamuzi yake mwenyewe, usi hangaike naye.
-
Heshimu watu bila kikomo sifa hutangulia kabla ya jina.Heshimu watu bila kikomo sifa hutangulia kabla ya jina.😀
-
Sehemu ngumu katika maisha ya mafanikio ni kupata sehemu yenye watu watakao furahia mafanikio yako.Sehemu ngumu katika maisha ya mafanikio ni kupata sehemu yenye watu watakao furahia mafanikio yako.