-
-
Acha kututambia mtaani lipa kodi ya nyumba kaka ulidhan hatujuiAcha kututambia mtaani lipa kodi ya nyumba kaka ulidhan hatujui
-
Anae kuchukia nimtu mzuri mwenye lengo lakukusaidi ila kwa bahati mbaya ajajijua
Anae kuchukia nimtu mzuri mwenye lengo lakukusaidi ila kwa bahati mbaya ajajijua -
Bora kuwa na mvi kichwani kuliko kuwa na akili isiyokuwa na ufahamBora kuwa na mvi kichwani kuliko kuwa na akili isiyokuwa na ufaham -
Usiku mwema jamani, usingiz usije ukazira, godoro likanikataaUsiku mwema jamani, usingiz usije ukazira, godoro likanikataa
-
Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji.
Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano.
Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa.
Mungu Ibariki Afrika.Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji. Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano. Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa. Mungu Ibariki Afrika. -

ALIYE AZIMA NGUO KAENDA KUKUTANA NA ALIYE AZIMA GETHO
ALIYE AZIMA NGUO KAENDA KUKUTANA NA ALIYE AZIMA GETHO -
kuna mda mwingine matatizo yanakuja Kama kipimo cha imani juu ya kumjua muumba wako