• Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji.

    Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano.

    Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa.

    Mungu Ibariki Afrika.
    Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji. Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano. Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa. Mungu Ibariki Afrika.
    Like
    Love
    4
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·617 Views

    6
    · 2 Commenti ·0 condivisioni ·623 Views
  • ALIYE AZIMA NGUO KAENDA KUKUTANA NA ALIYE AZIMA GETHO

    ALIYE AZIMA NGUO KAENDA KUKUTANA NA ALIYE AZIMA GETHO
    Like
    3
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·38 Views
  • kuna mda mwingine matatizo yanakuja Kama kipimo cha imani juu ya kumjua muumba wako
    kuna mda mwingine matatizo yanakuja Kama kipimo cha imani juu ya kumjua muumba wako
    Like
    3
    · 2 Commenti ·0 condivisioni ·39 Views
  • Tumwamini mungu kwa kua yeye ndo anae jua leo yako na kesho yako.
    Tumwamini mungu kwa kua yeye ndo anae jua leo yako na kesho yako. 💪
    Like
    4
    · 2 Commenti ·0 condivisioni ·41 Views
  • tunashindwa kujiamin
    kutokana na umaskini tulio kuwa nao

    tunashindwa kujiamin kutokana na umaskini tulio kuwa nao😞
    Like
    4
    · 2 Commenti ·0 condivisioni ·39 Views
  • Like
    1
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·268 Views
  • Zingatia sana kitu kinachoitwa MUDA..

    Zingatia sana kitu kinachoitwa MUDA🕣..
    Like
    3
    · 3 Commenti ·0 condivisioni ·40 Views
  • Kila mtu. Hujihisi mtakatifu anapozungumzia mabaya ya mwenzake.

    Kila mtu. Hujihisi 😲 mtakatifu anapozungumzia ❌mabaya ya mwenzake💔.
    Like
    3
    · 3 Commenti ·0 condivisioni ·41 Views
  • Umasikini siyo ukilema na wala utajiri siyo ukamilifu tupambane
    Umasikini siyo ukilema na wala utajiri siyo ukamilifu tupambane
    Like
    4
    · 3 Commenti ·0 condivisioni ·39 Views