• Like
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·221 Views
  • Like
    Love
    11
    · 3 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·76 Views
  • Acha kututambia mtaani lipa kodi ya nyumba kaka ulidhan hatujui
    Acha kututambia mtaani lipa kodi ya nyumba kaka ulidhan hatujui
    Like
    1
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·37 Views
  • Anae kuchukia nimtu mzuri mwenye lengo lakukusaidi ila kwa bahati mbaya ajajijua

    Anae kuchukia nimtu mzuri mwenye lengo lakukusaidi ila kwa bahati mbaya ajajijua
    Like
    Love
    4
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·38 Views

  • Bora kuwa na mvi kichwani kuliko kuwa na akili isiyokuwa na ufaham
    Bora kuwa na mvi kichwani kuliko kuwa na akili isiyokuwa na ufaham
    Like
    Love
    2
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·37 Views
  • Usiku mwema jamani, usingiz usije ukazira, godoro likanikataa
    Usiku mwema jamani, usingiz usije ukazira, godoro likanikataa
    Like
    Love
    2
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·36 Views
  • Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji.

    Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano.

    Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa.

    Mungu Ibariki Afrika.
    Mapema leo katika Kongamano la Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lenye jukumu la kuzuia, kudhibiti na kutatua migogoro katika bara letu. Wakati chombo hiki kinaanzishwa, kilipewa dhima ya kiutendaji katika kushughulikia migogoro na kuimarisha uwezo wa kuleta amani, usalama na utulivu kote barani Afrika, pamoja na kuanzisha majadiliano ya upatanishi hadi kusaidia nchi kujengwa upya baada ya vita, eneo ambalo tumepiga hatua kubwa katika utekelezaji. Katika kongamano hili, nimewatunuku nishani baadhi ya viongozi ambao kwa miaka 20 ya baraza hili wametoa mchango mkubwa katika utendaji wake na kusaidia kukuza amani na ustawi kwenye bara letu, wakiepusha vita na utengano. Mbali na mafanikio tuliyopata, bado tuna kazi ya kujifunza kutokana na historia tuliyopitia ya migogoro mbalimbali na kujipanga kwa miongo ijayo, ikiwa ni pamoja na kutambua mabadiliko ya aina ya migogoro na aina ya vitisho vinavyolikabili bara letu kwa sasa. Mungu Ibariki Afrika.
    Like
    Love
    4
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·531 Views

    6
    · 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·540 Views
  • ALIYE AZIMA NGUO KAENDA KUKUTANA NA ALIYE AZIMA GETHO

    ALIYE AZIMA NGUO KAENDA KUKUTANA NA ALIYE AZIMA GETHO
    Like
    3
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·36 Views
  • kuna mda mwingine matatizo yanakuja Kama kipimo cha imani juu ya kumjua muumba wako
    kuna mda mwingine matatizo yanakuja Kama kipimo cha imani juu ya kumjua muumba wako