
-
Usiku Mwema Familia Yote ya SocialPop
Hakika Nyie ni wa Thamani sana kwetuUsiku Mwema Familia Yote ya SocialPop Hakika Nyie ni wa Thamani sana kwetu -
Hakuna Nyakati Ngumu Zisizokuwa Na Mwisho
Bali Itategemea Umejifunza Nini Ili Yabaki Kuwa Ni Mapito Tu
Na Sio Maisha Yako Halisi
Hakuna Nyakati Ngumu Zisizokuwa Na Mwisho Bali Itategemea Umejifunza Nini Ili Yabaki Kuwa Ni Mapito Tu Na Sio Maisha Yako Halisi -
Kubali Kuwa Umepoteza, Lakini Kamwe Usikubali Kwamba Hutoweza Tena
Kubali Kuwa Umepoteza, Lakini Kamwe Usikubali Kwamba Hutoweza Tena -
Kila Mtu Ni Muhitaji Wa Kesho Ukitaka Kusaidiwa Kesho Anza Kusaidia Leo
Kila Mtu Ni Muhitaji Wa Kesho Ukitaka Kusaidiwa Kesho Anza Kusaidia Leo -
Tunapambana Ili Kuepusha Manyanyaso MadogoMadogo
Na Watoto Wa Watu
Tunapambana Ili Kuepusha Manyanyaso MadogoMadogo Na Watoto Wa Watu 👫 -
Sikiliza Zaidi Moyo Wako
Kuliko Watu Wanaokuzunguka
Sikiliza Zaidi Moyo Wako Kuliko Watu Wanaokuzunguka -
**Maisha Hupangwa na Mungu Ila
***Itakuhitaji Juhudi Na Maarifa
****Kuwa Katika Mipango Yake
**Maisha Hupangwa na Mungu Ila ***Itakuhitaji Juhudi Na Maarifa ****Kuwa Katika Mipango Yake -
Watu Wakishindwa Kukusaidia
Usiwageuze kuwa Maadui
Katika Maisha Yako
Watu Wakishindwa Kukusaidia Usiwageuze kuwa Maadui Katika Maisha Yako -
Usiruhusu Watu Wengine
Wakuambie Wewe Ni Nani
Unahitaji Kuamua Mwenyewe
Usiruhusu Watu Wengine Wakuambie Wewe Ni Nani Unahitaji Kuamua Mwenyewe