Search Results
See All Results
Socialpop Socialpop Socialpop
Home
Groups
Pages
Marketplace
See More
Groups Pages Marketplace Events Blogs Funding Offers Jobs Courses Forums Movies
Join
Sign In Sign Up
Theme Switcher
Night Mode
Directory
Users
Posts
Pages
Groups
Events
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-28 18:50:06 ·
    Tunaishi na watu Wasiotupenda lla Tukiwa
    Mbali Nao Bado Wanatuulizia
    Tunaishi na watu Wasiotupenda lla Tukiwa Mbali Nao Bado Wanatuulizia
    Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·76 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-28 18:51:46 ·
    Huna haja ya kumuaminishia mtu
    yeyote kuwa wewe ni mtu sahihi au si sahihi
    Maana muda utawathibitishia hilo..
    Huna haja ya kumuaminishia mtu yeyote kuwa wewe ni mtu sahihi au si sahihi Maana muda utawathibitishia hilo..
    Like
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·192 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-28 18:53:26 ·
    Nimepata funguo nyingine
    Ya maisha

    Maana Elimu nilifungulia
    ila imekataa
    Nimepata funguo nyingine Ya maisha Maana Elimu nilifungulia ila imekataa 🤣🤣
    Like
    4
    · 0 Comments ·0 Shares ·311 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-28 18:53:59 ·
    Usimlazimishe Mtu Kuona
    Thamani Yako maana
    Wengine ni Vipofu wa akili
    Usimlazimishe Mtu Kuona Thamani Yako maana Wengine ni Vipofu wa akili📌📌
    Like
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·73 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • Junior Eddy @JuniorEddy
    2024-05-28 18:54:15 ·
    Waache wakumiss ,Wakati mwingine
    wanakuchukulia kawaida kwa sababu wanafikiri

    utapatikana kila wakati .

    Waache wakumiss ,Wakati mwingine wanakuchukulia kawaida kwa sababu wanafikiri utapatikana kila wakati .
    Like
    Love
    4
    · 3 Comments ·0 Shares ·606 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • Junior Eddy @Jrbigman
    2024-05-28 18:57:12 ·
    Huwezi kuwapa wengine usichokuwa nacho . Ukiwa na maumivu , utaumiza wengine . Ukijichukia , utawachukia wengine . Usipokuwa na amani , huwezi kuleta amani kwa wengine . Jipende ili uwapende wengine , Jisamehe ili usamehe wengine na pia Jielimishe ili uelimishe wengine !!

    Huwezi kuwapa wengine usichokuwa nacho . Ukiwa na maumivu , utaumiza wengine . Ukijichukia , utawachukia wengine . Usipokuwa na amani , huwezi kuleta amani kwa wengine . Jipende ili uwapende wengine , Jisamehe ili usamehe wengine na pia Jielimishe ili uelimishe wengine !!
    Like
    Love
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·619 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-28 18:58:52 ·
    *Naweza kusema sijafika
    ninapo pataka lakin sipo
    nilipokuwa Jana.*
    *Naweza kusema sijafika ninapo pataka lakin sipo nilipokuwa Jana.✍️*
    Like
    4
    · 1 Comments ·0 Shares ·74 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-28 19:04:31 ·
    Binadamu nikama
    Mkaa asipo kuchafua
    Basi atakuunguza
    Binadamu nikama Mkaa asipo kuchafua Basi atakuunguza
    Like
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·77 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • Junior Eddy @Jrbigman
    2024-05-28 19:06:28 ·
    Fanya kazi kwa bidii , Fanya kazi kwa ukimya . Hakuna haja ya kutangaza mafanikio au hatua uliyofikia . Acha mafanikio yako yapige kelele na kuongea . Kumbuka , hata unapowasha moto hautoi sauti mpaka pale mwanga utakapo onekana .
    #motivation
    Fanya kazi kwa bidii , Fanya kazi kwa ukimya . Hakuna haja ya kutangaza mafanikio au hatua uliyofikia . Acha mafanikio yako yapige kelele na kuongea . Kumbuka , hata unapowasha moto hautoi sauti mpaka pale mwanga utakapo onekana . #motivation
    Like
    Love
    5
    · 1 Comments ·0 Shares ·952 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • master kampungi @kamp_59
    2024-05-28 19:08:56 ·
    ukiwa huna Pesa wala usiwe
    Na hasira maana ndo
    Utaongeza matatizo
    ukiwa huna Pesa wala usiwe Na hasira maana ndo Utaongeza matatizo📌📌
    Like
    Love
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·72 Views
    Please log in to like, share and comment!
  • Displaying (3981-3990 of 28640)
  • «
  • Prev
  • 397
  • 398
  • 399
  • 400
  • 401
  • Next
  • »
Upgrade to Pro
Choose the Plan That's Right for You
Upgrade
© 2025 Socialpop
English
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
About Terms Privacy Contact Us Directory Developers