
-
-
-
Tunacheka kwa vitu vingiii ,,, maana matatizo hayajawah kuishaaTunacheka kwa vitu vingiii ,,, maana matatizo hayajawah kuishaa
-
Maisha hayataki ujuaji ww jitume kutmiza malengoMaisha hayataki ujuaji ww jitume kutmiza malengo⛑️💚🚶
-
@Mungu Ana Sema shukuru leo maan kesho ipo mikononi mwake@Mungu Ana Sema shukuru leo maan kesho ipo mikononi mwake
-
Kua makini siyo kila kinacho kupa furaha ukionyeshe..
Kua makini siyo kila kinacho kupa furaha ukionyeshe.. -
Nibora Kua na huzuni baada
Kufanya maamuzi sahihi
Kuliko kua na furaha ya mpito
Kwa maamuzi yasiyo na manufaa
Nibora Kua na huzuni baada Kufanya maamuzi sahihi Kuliko kua na furaha ya mpito Kwa maamuzi yasiyo na manufaa -
OMBA SIYO KWASABABU TU UNAHITAJI KITU
BALI KWASABABU UNA MENGI YA KUMSHUKURU MUNGUOMBA SIYO KWASABABU TU UNAHITAJI KITU BALI KWASABABU UNA MENGI YA KUMSHUKURU MUNGU -
Kua mwema ishi na watu vizuri Sana -
Lakini usiwakopeshe pesa
Kua mwema ishi na watu vizuri Sana - Lakini usiwakopeshe pesa 😂😂😂