• Kazi na dawa. ILikuwepo tangu hapo zamani za kale
    Kazi na dawa. ILikuwepo tangu hapo zamani za kale
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 70 Views

  • Utu Uzima Dawa.!
    #paulswai

    Utu Uzima Dawa.! 😂‼️😜 #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Comments 0 Shares 153 Views 41
  • KIBU DENIS PROSPA; Mchezaji wa Simbasc KIBU DENIS amerudi Tanzania kuitumikia timu yake kongwe Barani Africa SIMBA SC baada ya uongozi wa Simba sc kumpigia simu bila kutoa majibu sahihi sasa mwamba kajileta mwenye,
    Mpira wetu wa Tanzania bado tuna ugonjwa sugu kiasi kwamba tumeshindwa kuutafutia dawa ili kuponya ambavyo bado nivizima.
    Kuna suala la timu kumtegemea/kumpa kichwa mchezaji kuwa yeye nibora sana, THAT'S A DISEASE ; Niugonjwa sugu ambao hauna dawa kama huna D 2 hutaelewa kabisa ufanyeje ili gonjwa hili lipite mbali na timu yako.
    Sasa naomba nishauri kitu kimoja hapa timu ziwe na misimamo mchezaji akijiona yeye bora namalingo uku bado anamkataba piga chini chezaji hilo tena kwakishindo, maamuzi magumu wakati mwingine yanahitajika kwaajili yakutengeneza mambo mazuri juu ya maisha yako kukataa stress za apa na pale hovyo kabisa.
    Walikuwepo wachezaji wa hivi karibuni kama vile LUIS MIQUESON, BWALYA, MUGALU, RODGERS COLAR, SAIDO, DJUMA SHABAN, BANGALA, OMARY OMORY, MORRISON Nk. Hawa wachezaji waliachwa na timu zao Kwa maamuzi ya kiume na sio Kwa kushuka kiwango Chao sembuse kina KIBU DENIS piga chini shusha mashine.
    #2024PESA
    #sokachampions
    #ManaraTv
    #UBAYAUBWELA
    #junvetus
    KIBU DENIS PROSPA; Mchezaji wa Simbasc KIBU DENIS amerudi Tanzania kuitumikia timu yake kongwe Barani Africa SIMBA SC baada ya uongozi wa Simba sc kumpigia simu bila kutoa majibu sahihi sasa mwamba kajileta mwenye, Mpira wetu wa Tanzania bado tuna ugonjwa sugu kiasi kwamba tumeshindwa kuutafutia dawa ili kuponya ambavyo bado nivizima. Kuna suala la timu kumtegemea/kumpa kichwa mchezaji kuwa yeye nibora sana, THAT'S A DISEASE 🪰; Niugonjwa sugu ambao hauna dawa kama huna D 2 hutaelewa kabisa ufanyeje ili gonjwa hili lipite mbali na timu yako. Sasa naomba nishauri kitu kimoja hapa timu ziwe na misimamo mchezaji akijiona yeye bora namalingo uku bado anamkataba piga chini chezaji hilo tena kwakishindo, maamuzi magumu wakati mwingine yanahitajika kwaajili yakutengeneza mambo mazuri juu ya maisha yako kukataa stress za apa na pale hovyo kabisa. Walikuwepo wachezaji wa hivi karibuni kama vile LUIS MIQUESON, BWALYA, MUGALU, RODGERS COLAR, SAIDO, DJUMA SHABAN, BANGALA, OMARY OMORY, MORRISON Nk. Hawa wachezaji waliachwa na timu zao Kwa maamuzi ya kiume na sio Kwa kushuka kiwango Chao sembuse kina KIBU DENIS piga chini shusha mashine💪. #2024PESA #sokachampions #ManaraTv #UBAYAUBWELA #junvetus
    Like
    3
    0 Comments 0 Shares 541 Views
  • "Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini

    Aziz Ki alipewa ofa na vilabu vikubwa na mshahara mnono hadi malipo ya milion 98 kwa mwezi ili aende kuzechezea huko lakini alikataa kwenda huko na kuamua kubaki Tanzania aendelee kufaidi uh0ndo na Utamu wa Mobetto

    Ama kweli mapenzi ni upofu, hata Samsoni al1kufa sababu ya mwanamke. Hivi leo kijana wetu ambae alitumwa na wazazi aje kutafuta maisha anakubali Kuendelea kucheza kwa mshahara wa laki nane kwa sababu ya demu inaumiza sana na huu ni wendawaz1mu" - Oscar Oscar, Mchambuzi wa Wasafi FM.

    "Niliwahi kuandika makala kuhusu mahusiano kati ya Aziz Ki na mrembo wa kuchanua misamba Mobetto, mahusiano yamezaa athari chanya kwa wapenzi wa soccer nchini Aziz Ki alipewa ofa na vilabu vikubwa na mshahara mnono hadi malipo ya milion 98 kwa mwezi ili aende kuzechezea huko lakini alikataa kwenda huko na kuamua kubaki Tanzania 🇹🇿 aendelee kufaidi uh0ndo na Utamu wa Mobetto Ama kweli mapenzi ni upofu, hata Samsoni al1kufa sababu ya mwanamke. Hivi leo kijana wetu ambae alitumwa na wazazi aje kutafuta maisha anakubali Kuendelea kucheza kwa mshahara wa laki nane kwa sababu ya demu inaumiza sana na huu ni wendawaz1mu" - Oscar Oscar, Mchambuzi wa Wasafi FM.
    Haha
    1
    0 Comments 0 Shares 254 Views
  • TAFAKARI :

    Kulikuwa na Mwalimu mmoja aliyezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji shuleni, Mwanafunzi huyo alikuwa ni mtoto wa kimasikini pia mpole sana na mwenye huruma na alikuwa akiishi eneo lenye umbali kiasi mpaka kufika shuleni, kwa hivyo Mwanafunzi yule takriban miaka 3 alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Kwa hiyo siku ambazo Mwalimu huyo alikuwa na kipindi cha kwanza darasani kwao Mwanafunzi huyo alikuwa anachapwa kwanza kabla ya kuingia darasani. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu, jambo la kushangaza wiki moja ilipita bila yule mwanafunzi kuonekana kabisa shuleni!

    Wiki ililoyofuata yule Mwanafunzi alifika shuleni mapema kabla ya Mwanafunzi mwingine yeyote. Mwalimu yule alishangaa sana alipomwona alifurahi sana alipoingia Darasani alimwita na kumsifia sana mbele ya Darasa kabla ya kumuuliza jambo lo lote.

    "Mwalimu akamwambia yule Mwanafunzi hebu simama akatii amri ya Mwalimu wake akasimama, Mwalimu akawaambia wanafunzi wenzake wampigie makofi kwa sababu leo kawa wa kwanza kufika shuleni. Mwalim akasema kumbe zile fimbo ninazomchapa zimesaidia sana eeeeenh?"

    Wanafunzi walipiga makofi huku wengine wakimcheka na kumdhihaki. Baada ya dakika kadhaa yule Mwanafunzi akamwomba Mwalimu ampe nafasi aseme jambo kidogo ili wapate kujua ni nini anataka kuwaelezea, Mwalimu akamruhusu huku akiwa amemkodolea macho haya tuambie.

    "Kwanza akawaomba radhi kwa kusema Mwalimu pamoja na wanafunzi wenzangu nyote kwa jumla, nakuombeni unisamehe iwapo nilikuwa nikiwaudhi kwa sababu siku zote nilizokuwa nikichelewa kufika shuleni nilikuwa namuuguza Mama yangu mzazi. Baba yangu alifariki kabla sijazaliwa, kwa hivyo sikujaaliwa kumuona nililelewa na Mama yangu tu naye alitengwa na ndugu kutokana na ufukara kwa hakika unyonge ni kitu kibaya sana simjui ndugu ye yote, Mama yangu alipopatwa na Maradhi tulimpeleka hospitalini Mimi ni jirani zetu lakini maradhi yake hayakuonekana. Akaruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na Dawa za kutuliza maumivu tu." Kwa sababu hatukuwa na pesa sikuweza kumpeleka popote kwa vipimo zaidi."

    Mara akafuta machozi yaliyoanza kumtiririka kwa wingi mashavuni, na akasema kwa unyonge ewe Mwalimu wangu pamoja na wanafunzi wenzangu.

    "Kwa hivyo kila siku nilitakiwa kufanya usafi wa nyumba kuchota maji, kumsafisha Mama yangu pamoja na kumstiri, kumwandalia chakula chake kabla ya kuondoka kuja hapa shuleni na kazi zingine zote." Akanyamaza kidogo kwa uchungu."

    "Na sikitika kusema leo hii nimewahi kuja Shuleni kwa sababu Mama yangu alifariki wiki moja iliyopita ambayo sikuonekana shuleni nilikuwa nikimalizia msiba wa Mama yangu. Yote ndio mipango yake Mwenyezi Mungu kwa hiyo kilichokuwa kinanichelewesha kimeondoka ndio maana leo nimewahi kufika mapema shuleni."

    Hakuweza kuongea tena kutokana na uchungu, akakaa taratibu kitini huku akilia kwa kwikwi

    Hatimae Darasa zima nalo liligeuka mahala pa msiba kila mmoja akilia pamoja na Mwalimu wao, huku wakimpa pole na kumuomba msamaha kwa jinsi walivyokuwa wakimdhihaki. Naye akawaambia nimekusameheni kwa moyo safi kabisa.

    WITO:

    Msiharakishe kuadhibu wenzenu bila kuwapa nafasi ya kujieleza, sababu huwezi kujua jambo gani linalowasibu bila kuwapa fursa ya kujielezea au kukwambia ili upatikane ufumbuzi wa tatizo.

    Unapo muona mwenzako hayupo sawa kifikra, kiafya, au jambo lo lote muulize kwanza kabla ya kuanza kumshutumu.

    Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie tuwe ni wenye kupendana, kuuliza na kusaidiana kwa kila jambo.
    TAFAKARI : Kulikuwa na Mwalimu mmoja aliyezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji shuleni, Mwanafunzi huyo alikuwa ni mtoto wa kimasikini pia mpole sana na mwenye huruma na alikuwa akiishi eneo lenye umbali kiasi mpaka kufika shuleni, kwa hivyo Mwanafunzi yule takriban miaka 3 alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Kwa hiyo siku ambazo Mwalimu huyo alikuwa na kipindi cha kwanza darasani kwao Mwanafunzi huyo alikuwa anachapwa kwanza kabla ya kuingia darasani. Hali hii iliendelea kwa muda mrefu, jambo la kushangaza wiki moja ilipita bila yule mwanafunzi kuonekana kabisa shuleni! Wiki ililoyofuata yule Mwanafunzi alifika shuleni mapema kabla ya Mwanafunzi mwingine yeyote. Mwalimu yule alishangaa sana alipomwona alifurahi sana alipoingia Darasani alimwita na kumsifia sana mbele ya Darasa kabla ya kumuuliza jambo lo lote. "Mwalimu akamwambia yule Mwanafunzi hebu simama akatii amri ya Mwalimu wake akasimama, Mwalimu akawaambia wanafunzi wenzake wampigie makofi kwa sababu leo kawa wa kwanza kufika shuleni. Mwalim akasema kumbe zile fimbo ninazomchapa zimesaidia sana eeeeenh?" Wanafunzi walipiga makofi huku wengine wakimcheka na kumdhihaki. Baada ya dakika kadhaa yule Mwanafunzi akamwomba Mwalimu ampe nafasi aseme jambo kidogo ili wapate kujua ni nini anataka kuwaelezea, Mwalimu akamruhusu huku akiwa amemkodolea macho haya tuambie. "Kwanza akawaomba radhi kwa kusema Mwalimu pamoja na wanafunzi wenzangu nyote kwa jumla, nakuombeni unisamehe iwapo nilikuwa nikiwaudhi kwa sababu siku zote nilizokuwa nikichelewa kufika shuleni nilikuwa namuuguza Mama yangu mzazi. Baba yangu alifariki kabla sijazaliwa, kwa hivyo sikujaaliwa kumuona nililelewa na Mama yangu tu naye alitengwa na ndugu kutokana na ufukara kwa hakika unyonge ni kitu kibaya sana simjui ndugu ye yote, Mama yangu alipopatwa na Maradhi tulimpeleka hospitalini Mimi ni jirani zetu lakini maradhi yake hayakuonekana. Akaruhusiwa kurudi nyumbani akiwa na Dawa za kutuliza maumivu tu." Kwa sababu hatukuwa na pesa sikuweza kumpeleka popote kwa vipimo zaidi." Mara akafuta machozi yaliyoanza kumtiririka kwa wingi mashavuni, na akasema kwa unyonge ewe Mwalimu wangu pamoja na wanafunzi wenzangu. "Kwa hivyo kila siku nilitakiwa kufanya usafi wa nyumba kuchota maji, kumsafisha Mama yangu pamoja na kumstiri, kumwandalia chakula chake kabla ya kuondoka kuja hapa shuleni na kazi zingine zote." Akanyamaza kidogo kwa uchungu." "Na sikitika kusema leo hii nimewahi kuja Shuleni kwa sababu Mama yangu alifariki wiki moja iliyopita ambayo sikuonekana shuleni nilikuwa nikimalizia msiba wa Mama yangu. Yote ndio mipango yake Mwenyezi Mungu kwa hiyo kilichokuwa kinanichelewesha kimeondoka ndio maana leo nimewahi kufika mapema shuleni." Hakuweza kuongea tena kutokana na uchungu, akakaa taratibu kitini huku akilia kwa kwikwi Hatimae Darasa zima nalo liligeuka mahala pa msiba kila mmoja akilia pamoja na Mwalimu wao, huku wakimpa pole na kumuomba msamaha kwa jinsi walivyokuwa wakimdhihaki. Naye akawaambia nimekusameheni kwa moyo safi kabisa. WITO: Msiharakishe kuadhibu wenzenu bila kuwapa nafasi ya kujieleza, sababu huwezi kujua jambo gani linalowasibu bila kuwapa fursa ya kujielezea au kukwambia ili upatikane ufumbuzi wa tatizo. Unapo muona mwenzako hayupo sawa kifikra, kiafya, au jambo lo lote muulize kwanza kabla ya kuanza kumshutumu. Tunamuomba Mwenyezi Mungu atujalie tuwe ni wenye kupendana, kuuliza na kusaidiana kwa kila jambo.
    Like
    2
    0 Comments 0 Shares 511 Views
  • Maelezo ya bidhaa*

    *FOHOW Nanometer Magnetic Infrared Health Card* ina FIR (Far Infrared Ray), ambayo husaidia kuponya miili yetu. Inajumuisha uwezo wa juu sana wa uponyaji wa mwili ikiwa unatumiwa kila siku.
    Kupitia utaratibu wa uchakataji wa kadi hii ya nishati ya kibayolojia, miale ya infrared huondolewa na urefu wa mawimbi ya MOTO uliochaguliwa vizuri, ambao uko karibu na kipengele kidogo cha mwili wa binadamu huhifadhiwa katika Kadi ya Ion ya Bio Energy Negative.
    Kadi hii ya Nishati ya Bio inajumuisha Ray ya infrared ya Mbali (FIR), ambayo imetayarishwa na poda ya kipekee ya kauri. Kadi hii ya Bio Energy imeundwa kuponya sehemu zote za mwili wa binadamu, kadi hii ya bio energy pia inaweza kuboresha mzunguko wa damu kwenye seli za mwili wa binadamu ambayo kwa wakati mmoja huboresha mzunguko wa damu katika mwili wa binadamu.
    Kadi ya Bio Energy inachukuliwa kuwa dawa mbadala, ambayo inategemea nadharia kwamba magonjwa yote husababishwa na usumbufu katika mtiririko wa nishati katika mwili wa binadamu. Kuna pointi saba za katikati katika mwili ambazo nishati ya mwili inapita. Nishati hii huzunguka ndani ya mwili kati ya vituo hivi vya nishati kupitia mfumo wa njia sawa na mishipa ya damu na kisha inapita tena kwenye mazingira.
    Maelezo
    Tiba isiyo na uvamizi ya dawa huboresha nishati yako, nguvu, ushupavu na uwezo wa kustahimili uwezo wako wa kustahimili utendaji wa akili na umakini, hufanya kama kizuizi cha kulinda tishu za ubongo na sikio kutokana na mionzi hatari.

    *JINSI YA KUTUMIA ?*

    Kwa athari zaidi weka tu kwenye mfuko wako wa juu.
    Wanawake huteleza tu kwenye sidiria yako.
    Ukiwa umelala basi weka kadi chini ya mto.
    Pia unaweza kuweka kadi yako chini ya glasi ya maji ili kuwezesha maji.

    *FAIDA ZA KIAFYA:*
    1. Kuboresha mzunguko wa damu ndogo
    2. Punguza mkazo na uchovu
    3. Amilisha molekuli za maji katika mwili wetu
    4. Inaweza pia varnish kutoka harufu mbaya.
    5. Mzunguko Sahihi wa Damu katika Mwili wa Mwanadamu.
    6. Kuondokana na mafadhaiko na maumivu ya mwili.
    7. Kuongeza kiwango cha Nishati ya mwili wa binadamu.
    8. Hulinda dhidi ya Mionzi hatari ya sumaku ya Kielektroniki (EMR).
    9. Hupunguza vitu vyenye madhara vilivyomo kwenye vileo na sigara.
    10. Inaweza Kuboresha mifumo ya kulala na ubora wa usingizi.
    10. Inaweza kudumisha usafi wa chakula kuhifadhiwa kwenye Jokofu.
    11. Msaada wa haraka kutoka kwa Miguu, Miguu Iliyochoka na kuzuia harufu mbaya ya miguu.
    12. Ni kujali moyo wako ili kufurahia amani bora ya akili.
    13. Inaweza kuamsha molekuli ya maji ya kunywa.
    14. Pia kuamsha seli za mwili wa binadamu molekuli za maji.
    15. Inaweza pia varnish kutoka kwa harufu mbaya.
    16. Ni mwanga wa migraine, maumivu ya mgongo na arthritis ya mwili
    Maelezo ya bidhaa* *FOHOW Nanometer Magnetic Infrared Health Card* ina FIR (Far Infrared Ray), ambayo husaidia kuponya miili yetu. Inajumuisha uwezo wa juu sana wa uponyaji wa mwili ikiwa unatumiwa kila siku. Kupitia utaratibu wa uchakataji wa kadi hii ya nishati ya kibayolojia, miale ya infrared huondolewa na urefu wa mawimbi ya MOTO uliochaguliwa vizuri, ambao uko karibu na kipengele kidogo cha mwili wa binadamu huhifadhiwa katika Kadi ya Ion ya Bio Energy Negative. Kadi hii ya Nishati ya Bio inajumuisha Ray ya infrared ya Mbali (FIR), ambayo imetayarishwa na poda ya kipekee ya kauri. Kadi hii ya Bio Energy imeundwa kuponya sehemu zote za mwili wa binadamu, kadi hii ya bio energy pia inaweza kuboresha mzunguko wa damu kwenye seli za mwili wa binadamu ambayo kwa wakati mmoja huboresha mzunguko wa damu katika mwili wa binadamu. Kadi ya Bio Energy inachukuliwa kuwa dawa mbadala, ambayo inategemea nadharia kwamba magonjwa yote husababishwa na usumbufu katika mtiririko wa nishati katika mwili wa binadamu. Kuna pointi saba za katikati katika mwili ambazo nishati ya mwili inapita. Nishati hii huzunguka ndani ya mwili kati ya vituo hivi vya nishati kupitia mfumo wa njia sawa na mishipa ya damu na kisha inapita tena kwenye mazingira. Maelezo Tiba isiyo na uvamizi ya dawa huboresha nishati yako, nguvu, ushupavu na uwezo wa kustahimili uwezo wako wa kustahimili utendaji wa akili na umakini, hufanya kama kizuizi cha kulinda tishu za ubongo na sikio kutokana na mionzi hatari. *JINSI YA KUTUMIA ?* Kwa athari zaidi weka tu kwenye mfuko wako wa juu. Wanawake huteleza tu kwenye sidiria yako. Ukiwa umelala basi weka kadi chini ya mto. Pia unaweza kuweka kadi yako chini ya glasi ya maji ili kuwezesha maji. *FAIDA ZA KIAFYA:* 1. Kuboresha mzunguko wa damu ndogo 2. Punguza mkazo na uchovu 3. Amilisha molekuli za maji katika mwili wetu 4. Inaweza pia varnish kutoka harufu mbaya. 5. Mzunguko Sahihi wa Damu katika Mwili wa Mwanadamu. 6. Kuondokana na mafadhaiko na maumivu ya mwili. 7. Kuongeza kiwango cha Nishati ya mwili wa binadamu. 8. Hulinda dhidi ya Mionzi hatari ya sumaku ya Kielektroniki (EMR). 9. Hupunguza vitu vyenye madhara vilivyomo kwenye vileo na sigara. 10. Inaweza Kuboresha mifumo ya kulala na ubora wa usingizi. 10. Inaweza kudumisha usafi wa chakula kuhifadhiwa kwenye Jokofu. 11. Msaada wa haraka kutoka kwa Miguu, Miguu Iliyochoka na kuzuia harufu mbaya ya miguu. 12. Ni kujali moyo wako ili kufurahia amani bora ya akili. 13. Inaweza kuamsha molekuli ya maji ya kunywa. 14. Pia kuamsha seli za mwili wa binadamu molekuli za maji. 15. Inaweza pia varnish kutoka kwa harufu mbaya. 16. Ni mwanga wa migraine, maumivu ya mgongo na arthritis ya mwili
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 412 Views

    0 Comments 0 Shares 301 Views
  • me mzee wa kusambaza upendo...
    Ukitaka umaarufu sambaza skendo...
    Dem kicheche sambaza tendo...
    Najivunia kuwa muafrika...
    Tulishapata uhuru ila hatuna uhuru wa fikra...
    Majaribu mengi kwenye dunia...
    Walinitegea ney wakidhani nitaangamia...
    Mi kufanya Rap wanaona akili haziko sawa...
    Mipango yao mi na misingi kutugawa...
    Hip hop for life kwangu km dawa...
    Upinzani mwingi ukawa...
    Sio kila unayemuona mwema ni right person..
    Ticha am present to you right leason...
    Delila alipendwa mbn alimchoma samson...
    me mzee wa kusambaza upendo... Ukitaka umaarufu sambaza skendo... Dem kicheche sambaza tendo... Najivunia kuwa muafrika... Tulishapata uhuru ila hatuna uhuru wa fikra... Majaribu mengi kwenye dunia... Walinitegea ney wakidhani nitaangamia... Mi kufanya Rap wanaona akili haziko sawa... Mipango yao mi na misingi kutugawa... Hip hop for life kwangu km dawa... Upinzani mwingi ukawa... Sio kila unayemuona mwema ni right person.. Ticha am present to you right leason... Delila alipendwa mbn alimchoma samson...
    Like
    Love
    3
    0 Comments 0 Shares 165 Views
  • Nko juu...kiupendo
    Taratibu. ..ndio mwendo......
    Nmenasa kwako mama ...nmeziba ilo pengo.....//

    Wewe ndio wamalengo ...napenda wako upendo
    Umesimama kama moja ...huna mapepe wala zengo....//

    Askali wa moyo.....asali wa moyo
    Vile ukinanilii...mi nakuwa kibogoyo....//

    Ufundi wako naujua....kwa mapishi unajua
    Kiukweli unatisha kama maradi na mvua..../.

    Malaika wa ubavu .....ata nipige kavu
    Cna ofu na wwe ....kama paper na kitabu.....//

    Cna mbadala wako....kwangu uko peke yako
    Amin ninakupenda ....tuwe wote mpak kifo.....//

    My wushu nakagawa.....ndan ya tempo napagawa
    Nakuwa kama kichaa milembe na we ndio dawa....//
    Nko juu...kiupendo Taratibu. ..ndio mwendo...... Nmenasa kwako mama ...nmeziba ilo pengo.....// Wewe ndio wamalengo ...napenda wako upendo Umesimama kama moja ...huna mapepe wala zengo....// Askali wa moyo.....asali wa moyo Vile ukinanilii...mi nakuwa kibogoyo....// Ufundi wako naujua....kwa mapishi unajua Kiukweli unatisha kama maradi na mvua..../. Malaika wa ubavu .....ata nipige kavu Cna ofu na wwe ....kama paper na kitabu.....// Cna mbadala wako....kwangu uko peke yako Amin ninakupenda ....tuwe wote mpak kifo.....// My wushu nakagawa.....ndan ya tempo napagawa Nakuwa kama kichaa milembe na we ndio dawa....//
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 314 Views
  • Pesa aiwezi nunua #furaha//

    Bongo ukweli unaua au chanzo cha #majeraha//

    narap adi jasho bado nyota #imekataa//

    Elimu ya mitaa michoro ya chuo #kikuu//

    Hip hop imeniteka kichwa chin miguu #juu//

    Nang'aa bila riflecter nyota ya #mtaa//

    Maamuzi ya gadhabu sio dawa ya tatizo #kujibu//

    Fikiri sumbua ubongo gain mawazo yenye #tiba//

    Kukata tamaa uvivu ni nyota ya #kuiba//

    Usiishi kivivu ata kama umekosa cha #kushiba/
    Pesa aiwezi nunua #furaha// Bongo ukweli unaua au chanzo cha #majeraha// narap adi jasho bado nyota #imekataa// Elimu ya mitaa michoro ya chuo #kikuu// Hip hop imeniteka kichwa chin miguu #juu// Nang'aa bila riflecter nyota ya #mtaa// Maamuzi ya gadhabu sio dawa ya tatizo #kujibu// Fikiri sumbua ubongo gain mawazo yenye #tiba// Kukata tamaa uvivu ni nyota ya #kuiba// Usiishi kivivu ata kama umekosa cha #kushiba/
    Like
    1
    0 Comments 0 Shares 445 Views
More Results