Upgrade to Pro

Bf Suma Afya Tz07
Bf Suma Afya Tz07
Bf Suma Afya Tz07

Bf Suma Afya Tz07

@Bfsuma_Afya_Tz07

  • Love
    Like
    3
    3 Comments ·148 Views
  • #socialpop#dawa#bfsuma
    #socialpop#dawa#bfsuma
    Like
    Love
    8
    10 Comments ·290 Views
  • #socialpop #dawa #bfsuma
    #socialpop #dawa #bfsuma
    Like
    Love
    8
    5 Comments ·291 Views
  • *TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)*

    Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote.


    NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI

    1: UMRI MKUBWA
    Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea.

    2: KISUKARI
    Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi.

    3: DAMU NZITO
    Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia

    *TIBA YA GANZI*

    MICRO2CYCLE

    • Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara.

    • Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili.

    • Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi.

    • Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri.

    ZAMINOCAL

    • Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro2cycle.

    • Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi.

    • Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa

    Usisite kuwasiliana nami kwa nambari
    0745693900.
    #socialpop #afya#tiba#bfsuma
    *TATIZO LA GANZI YA MIGUU NA MIKONO (MIGUU KUWAKA MOTO NA TIBA YAKE)* Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote. NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI 1: UMRI MKUBWA Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea. 2: KISUKARI Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu hali hii husababisha mishipa kusinyaa ambayo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi. 3: DAMU NZITO Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia *TIBA YA GANZI* ▶️ MICRO2CYCLE • Hii ni tibalishe asili ya kupambana na tatizo hili bila madhara. • Imetengenezwa na mitishamba mitatu yenye uwezo mkubwa sana wa kufungua mishipa midogo midogo ya damu ambayo inapoziba au inapokua ndio chazo cha tatizo hili. • Huzuia damu isivilie kwenye mishipa hivyo huondoa hatari ya kiharusi. • Huuhisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupita vizuri. ▶️ ZAMINOCAL • Inafaa sana kuifanya damu Iwe nyepesi hivyo husaidia kuondoa tatizo la ganzi kama ikitumika pamoja na Micro2cycle. • Huimarisha mishipa midogo midogo ya damu na kuruhusu damu kupenya kiurahisi. • Huondoa maumivu yote na hali ya ganzi kutoweka kabisa Usisite kuwasiliana nami kwa nambari ☎️0745693900. #socialpop #afya#tiba#bfsuma
    Like
    Love
    3
    2 Comments ·336 Views
  • X POWER MAN COFFEE

    Hii ni kahawa illyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zakli ya vinne yani;
    1. Fresh mace
    2. Gnseng powder
    3. Tongkat all
    4. Epimedium .
    .
    Viambata hivi vimetoka nchi za
    KCREA,CHINA,USA,INDIA,FERU
    .
    Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kupitia teknolojia bora ill kuwafaa watumiaji Wa aina zote.
    .
    KAZI MUHIMU ZA KAHAWA HII NI

    1. Kuimarisha missuli ya uume kuwa bora zaidi na wenye Nguvu maradufu zaidi wakati Wa tendo.

    2. Kuupa Mwili Nguvu zaidi

    3. Kusaidia kushiriki tendo la ndoa mare nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

    4. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata kama illisha kabisa.

    5. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

    6. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

    7. Kuufanya uume usimame barabara kama msumari

    8. Kusafisha mishipa ya damu

    9. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi

    10. Haina kemikali ni ya asili kabisa 100% .
    EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI. PATA X POWER MAN COFFEE.

    WASLIANA NASI -
    +255745693900

    #socialpop #tiba #dawa #xpowercoffee #bfsuma #afya #wanaume
    🚨X POWER MAN COFFEE🚨 Hii ni kahawa illyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zakli ya vinne yani; 1. Fresh mace 2. Gnseng powder 3. Tongkat all 4. Epimedium . . Viambata hivi vimetoka nchi za KCREA,CHINA,USA,INDIA,FERU . Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kupitia teknolojia bora ill kuwafaa watumiaji Wa aina zote. . 🚨KAZI MUHIMU ZA KAHAWA HII NI🚨 1. 💯 Kuimarisha missuli ya uume kuwa bora zaidi na wenye Nguvu maradufu zaidi wakati Wa tendo. 2. 💯 Kuupa Mwili Nguvu zaidi 3. 💯 Kusaidia kushiriki tendo la ndoa mare nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi. 4. 💯 Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata kama illisha kabisa. 5. 💯 Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo. 6. 💯 Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume 7. 💯 Kuufanya uume usimame barabara kama msumari 8. 💯 Kusafisha mishipa ya damu 9. 💯 Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi 10. 💯 Haina kemikali ni ya asili kabisa 100% . EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI. PATA X POWER MAN COFFEE. WASLIANA NASI - ☎️ +255745693900 #socialpop #tiba #dawa #xpowercoffee #bfsuma #afya #wanaume
    Like
    Love
    4
    1 Comments ·479 Views
  • Like
    Love
    5
    ·160 Views
  • SIRI IMEFICHUKA
    UJUE UGONJWA WA (PID)
    (Pelvic Inflammatory Disease)
    Kwa manufaa zaidi usisite kusoma hadi mwisho....

    Ugonjwa Wa Pid Ni Nini?

    Ugonjwa wa pid ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke.
    Maambukizi haya kutokea ikiwa bakteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus), mirija ya uzazi (Fallopian tubes) na kwenye ovari (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana).

    SABABU YA UGONJWA WA PID NI NINI?

    Ugonjwa wa pid husababishwa na magonjwa ya zinaa kama vile kisonono (gonorrhea) na pangusa (chlamydia).
    Mwili wa mwanamke unapokuwa na afya njema, mlango wa kizazi huwa na uwezo mkubwa wa kuzuia bakteria wasiweze kuingia katika viungo vya ndani vya uzazi kutoka ukeni.
    Hata hivyo wakati mlango wa kizazi unapokuwa wazi na kuruhusu magonjwa ya zinaa kuingia hasa kisonono (gonorrhea) na pangusa (chlamydia), mlango wa kizazi hupata maambukizi na kisha hupoteza uwezo wake na hivyo kuruhusu maambukizi na bakteria kuingia na kufika juu kwenye viungo vya uzazi.

    JINSI MWANAMKE ANAVYO AMBUKIZWA PID

    Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa ugonjwa wa pid. Njia hizo ni pamoja na:
    A) Kama  Una Ugonjwa Wa Zinaa Na Hujatibiwa.
    B) Kufanya Ngono Zembe Isiyosalama (Yaani Kulala Na Wanaume Tofauti Tofauti).
    C) Kuwa Na Mpenzi Ambaye Ana Wanawake Wengi Nje. 
    D) Kama Umeshawai Kuwa Na Historia Ya Kuugua Pid Kabla. 
    E) Maambukizi Ya Nje Ya Uzazi Mara Baada Ya Kutoa Mimba Kwa Njia Zisizo Salama (Post Abortion) Au Mara Baada Ya Mimba Kutoka (Miscarriage).
    F) Maambukizi Ya Nje Ya Uzazi Hasa Kipindi Mara Baada Ya Kujifungua (Postpartum Period).
    G) Kutumia Vipandikizi Vya Ndani Ya Mfuko Wa Uzazi (IUCD) Kama Njia Mojawapo Ya Uzazi Wa Mpango.
    H) Kuambukizwa Kupitia Damu Iliyo Na Vimelea Vya Pid. 
    I) Kutuma Sana Vidole Wakati Wa Kusafisha Uke (Excess Vaginal Douching).

    DALILI ZA PID KWA MWANAMKE

     Zipo dalili kadhaa za ugonjwa wa pid kwa mwanamke, miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na;
    A) Kuhisi Maumivu Ya Tumbo Hasa Maeneo Ya Chini Ya Kitovu.
    B) Kupata Maumivu Ya Mgongo.
    C) Kupata Utoko Mchafu Sehemu Za Siri, Utoko Huu Huambatana Na Harufu Mbaya.
    D) Kuhisi Maumivu Wakati Wa Kukojoa.
    E) Kupata Maumivu/Kutokwa Na Damu Wakati Wa Tendo La Ndoa. 
    F) Kutokwa Damu Bila Mpangilio Wakati Wa Hedhi.
    G) Kupata Homa.
    H) Wakati Fulani Kuhisi Kichefuchefu Kama Mwanamke Mjamzito Na kutapika.


    MADHARA YA PID

    PID ambayo haikupata tiba inaweza kusababisha makovu na vifuko vyenye maji yenye wadudu kwenye mkondo wa njia ya uzazi ya mwanamke, vitu hivi vinaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye viungo vya uzazi. Madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na;

    A) Mimba kutunga nje ya mirija ya uzazi (Ectopic Pregnancy).

    PID ndiyo sababu ya mimba kutunga nje ya kizazi, mimba huweza kutunga nje ya kizazi endapo PID imesababisha makovu ndani ya mirija ya uzazi. Makovu haya husababisha yai lililopevushwa kushindwa kusafiri ndani ya mirija ya uzazi kuelekea kwenye nyumba ya mirija ya uzazi. Mimba nje ya uzazi husababisha utokaji wa damu usiowakawaida unaoweza kukatisha maisha ya mwanamke.

    B) Ugumba.

    Uharibifu wa viungo vya uzazi huweza kusababisha ugumba, kushindwa kupata ujauzito. Kadri unavyozidi kupata PID mara nyingi zaidi ndivyo hatari ya ugumba inavyozidi, kuchelewa kupata tiba ya PID kuongeza hatari ya ugumba.

    C) Maumivu Sugu Ya Nyonga.

    PID inaweza kusababisha maumivu ya nyonga yanayoweza kudumu miaka mingi. Makovu ndani ya mirija ya uzazi na viungo vingine vya uzazi huweza kuleta maumivu wakati wa kujamiiana na wakati yai hudondoshwa (ovulation).

    D) Tubo Ovarian Abscess.

    PID huweza kusababisha kutunga kwa usaha na kufanya majipu ndani ya mirija ya uzazi na ovari, ingawa huweza kuota ndani ya nyumba ya uzazi na shingo ya kizazi kama tiba haitatolewa, unaweza kupata maambukizi hatarishi kwa maisha.

    MADHARA YA PID KWA MJAMZITO

    Yafuatayo ni madhara yanayoweza kutokea kwa mama mjamzito endapo atashindwa kupata tiba ya pid mapema;
    1) Kujifungua kabla ya wakati au ujauzito kuharibika.
    2) Kujifungua mtoto mwenye maambukizi na wakati mwingine hufariki muda mchache baada ya Kujifungua au kujifungua mtoto mfu.
    3) Kuziba kwa mirija ya uzazi.

    JINSI YA KUJIZUIA KUPATA PID

    Kuna njia kadhaa za kuzuia ugonjwa wa pid.
    Njia hizi ni pamoja na;
    A) Kuwai Kuwaona Wataalamu Wa Afya Mara Dalili Za Ugonjwa Zinapoanza Kujitokeza Au Pindi Tu Unapogundua Kuwa Mpenzi Wako Ana Dalili Za Magonjwa Ya Zinaa Au Anatembea Na Wanawake Wengi.
    B) Kufanya Vipimo Mara Kwa Mara Hasa Vipimo Vya Uzazi, Pamoja Na Vipimo Vya Maambukizi Ya Magonjwa Yanayosambazwa Ka Njia Ya Ngono (STI) Hususani Kwa Mgonjwa Wa Chlamydia, Ufanye Vipimo Kila Mwaka Mara Moja.
    C) Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua, mimba kutoka au mara baada ya kutoa mimba ili kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga vyema.
    D) Njia Hakiki Ya Kujizuia Na Maambukizi Haya Ni Kuacha Ngono Zembe

    MATIBABU YA PID

    -MATIBABU YA HOSPITALI
    Matibabu ya pid kwa kutumia dawa yataondoa mara moja maambukizi yanayosababishwa na pid lakini hakuna njia ya kukarabati makovu au uharibifu kwenye njia ya viungo vya uzazi uliotokana na pid. Matibabu ya pid Hospitalini yaweza kuwa:

    A) Antibiotics Za Kutibu Pid.

    Daktari atakuandikia dawa inayoendana na chanzo cha tatizo lako.Utasubiri siku kadhaa kuona kama dawa ulizopewa zinafanya kazi.
    Dawa za Pid zinazotolewa na daktari ni pamoja na; Metronidazole tabs, doxycycline tabs na cefixime tabs

    B) Kumtibu Mpenzi Wako.

    Kuzuia maambukizi yafaa mpenzi wako afanyiwe uchunguzi na atibiwe.

    C) Kuacha Kushiriki Ngono Kwa Muda.

    -MATIBABU YA KUDUMU.
    Kutokana na kutumia bidhaa bora za BF-SUMA mtu utapata tiba sahihi ya kumaliza kabisa maambukizi ya PID kwa kuua vimelea vya magonjwa, kutobu majeraha na kurekebisha mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke.

    Kwa huduma na ushauri wasiliana na mtaalam wa afya kupitia,,,
    0745693900
    #tiba#pid #afya #bfsuma
    🚨🚨🚨SIRI IMEFICHUKA🚨🚨🚨 UJUE UGONJWA WA (PID) (Pelvic Inflammatory Disease) Kwa manufaa zaidi usisite kusoma hadi mwisho.... 💫Ugonjwa Wa Pid Ni Nini? Ugonjwa wa pid ni maambukizi katika viungo vya uzazi vya mwanamke. Maambukizi haya kutokea ikiwa bakteria wanaoambukiza kwa njia ya kujamiiana watasambaa kutoka kwenye uke kwenda kwenye mji wa mimba (Uterus), mirija ya uzazi (Fallopian tubes) na kwenye ovari (ambapo mayai ya mwanamke hupatikana). 💫SABABU YA UGONJWA WA PID NI NINI? Ugonjwa wa pid husababishwa na magonjwa ya zinaa kama vile kisonono (gonorrhea) na pangusa (chlamydia). Mwili wa mwanamke unapokuwa na afya njema, mlango wa kizazi huwa na uwezo mkubwa wa kuzuia bakteria wasiweze kuingia katika viungo vya ndani vya uzazi kutoka ukeni. Hata hivyo wakati mlango wa kizazi unapokuwa wazi na kuruhusu magonjwa ya zinaa kuingia hasa kisonono (gonorrhea) na pangusa (chlamydia), mlango wa kizazi hupata maambukizi na kisha hupoteza uwezo wake na hivyo kuruhusu maambukizi na bakteria kuingia na kufika juu kwenye viungo vya uzazi. 💫JINSI MWANAMKE ANAVYO AMBUKIZWA PID Kuna njia kadhaa ambazo mwanamke anaweza kuambukizwa ugonjwa wa pid. Njia hizo ni pamoja na: A) Kama  Una Ugonjwa Wa Zinaa Na Hujatibiwa. B) Kufanya Ngono Zembe Isiyosalama (Yaani Kulala Na Wanaume Tofauti Tofauti). C) Kuwa Na Mpenzi Ambaye Ana Wanawake Wengi Nje.  D) Kama Umeshawai Kuwa Na Historia Ya Kuugua Pid Kabla.  E) Maambukizi Ya Nje Ya Uzazi Mara Baada Ya Kutoa Mimba Kwa Njia Zisizo Salama (Post Abortion) Au Mara Baada Ya Mimba Kutoka (Miscarriage). F) Maambukizi Ya Nje Ya Uzazi Hasa Kipindi Mara Baada Ya Kujifungua (Postpartum Period). G) Kutumia Vipandikizi Vya Ndani Ya Mfuko Wa Uzazi (IUCD) Kama Njia Mojawapo Ya Uzazi Wa Mpango. H) Kuambukizwa Kupitia Damu Iliyo Na Vimelea Vya Pid.  I) Kutuma Sana Vidole Wakati Wa Kusafisha Uke (Excess Vaginal Douching). 💫DALILI ZA PID KWA MWANAMKE  Zipo dalili kadhaa za ugonjwa wa pid kwa mwanamke, miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na; A) Kuhisi Maumivu Ya Tumbo Hasa Maeneo Ya Chini Ya Kitovu. B) Kupata Maumivu Ya Mgongo. C) Kupata Utoko Mchafu Sehemu Za Siri, Utoko Huu Huambatana Na Harufu Mbaya. D) Kuhisi Maumivu Wakati Wa Kukojoa. E) Kupata Maumivu/Kutokwa Na Damu Wakati Wa Tendo La Ndoa.  F) Kutokwa Damu Bila Mpangilio Wakati Wa Hedhi. G) Kupata Homa. H) Wakati Fulani Kuhisi Kichefuchefu Kama Mwanamke Mjamzito Na kutapika. 💫MADHARA YA PID PID ambayo haikupata tiba inaweza kusababisha makovu na vifuko vyenye maji yenye wadudu kwenye mkondo wa njia ya uzazi ya mwanamke, vitu hivi vinaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye viungo vya uzazi. Madhara yanayoweza kutokea ni pamoja na; A) Mimba kutunga nje ya mirija ya uzazi (Ectopic Pregnancy). PID ndiyo sababu ya mimba kutunga nje ya kizazi, mimba huweza kutunga nje ya kizazi endapo PID imesababisha makovu ndani ya mirija ya uzazi. Makovu haya husababisha yai lililopevushwa kushindwa kusafiri ndani ya mirija ya uzazi kuelekea kwenye nyumba ya mirija ya uzazi. Mimba nje ya uzazi husababisha utokaji wa damu usiowakawaida unaoweza kukatisha maisha ya mwanamke. B) Ugumba. Uharibifu wa viungo vya uzazi huweza kusababisha ugumba, kushindwa kupata ujauzito. Kadri unavyozidi kupata PID mara nyingi zaidi ndivyo hatari ya ugumba inavyozidi, kuchelewa kupata tiba ya PID kuongeza hatari ya ugumba. C) Maumivu Sugu Ya Nyonga. PID inaweza kusababisha maumivu ya nyonga yanayoweza kudumu miaka mingi. Makovu ndani ya mirija ya uzazi na viungo vingine vya uzazi huweza kuleta maumivu wakati wa kujamiiana na wakati yai hudondoshwa (ovulation). D) Tubo Ovarian Abscess. PID huweza kusababisha kutunga kwa usaha na kufanya majipu ndani ya mirija ya uzazi na ovari, ingawa huweza kuota ndani ya nyumba ya uzazi na shingo ya kizazi kama tiba haitatolewa, unaweza kupata maambukizi hatarishi kwa maisha. 💫MADHARA YA PID KWA MJAMZITO Yafuatayo ni madhara yanayoweza kutokea kwa mama mjamzito endapo atashindwa kupata tiba ya pid mapema; 1) Kujifungua kabla ya wakati au ujauzito kuharibika. 2) Kujifungua mtoto mwenye maambukizi na wakati mwingine hufariki muda mchache baada ya Kujifungua au kujifungua mtoto mfu. 3) Kuziba kwa mirija ya uzazi. 💫JINSI YA KUJIZUIA KUPATA PID Kuna njia kadhaa za kuzuia ugonjwa wa pid. Njia hizi ni pamoja na; A) Kuwai Kuwaona Wataalamu Wa Afya Mara Dalili Za Ugonjwa Zinapoanza Kujitokeza Au Pindi Tu Unapogundua Kuwa Mpenzi Wako Ana Dalili Za Magonjwa Ya Zinaa Au Anatembea Na Wanawake Wengi. B) Kufanya Vipimo Mara Kwa Mara Hasa Vipimo Vya Uzazi, Pamoja Na Vipimo Vya Maambukizi Ya Magonjwa Yanayosambazwa Ka Njia Ya Ngono (STI) Hususani Kwa Mgonjwa Wa Chlamydia, Ufanye Vipimo Kila Mwaka Mara Moja. C) Kutofanya ngono mara baada ya kujifungua, mimba kutoka au mara baada ya kutoa mimba ili kuhakikisha njia ya shingo ya uzazi imefunga vyema. D) Njia Hakiki Ya Kujizuia Na Maambukizi Haya Ni Kuacha Ngono Zembe 💫MATIBABU YA PID 💧-MATIBABU YA HOSPITALI Matibabu ya pid kwa kutumia dawa yataondoa mara moja maambukizi yanayosababishwa na pid lakini hakuna njia ya kukarabati makovu au uharibifu kwenye njia ya viungo vya uzazi uliotokana na pid. Matibabu ya pid Hospitalini yaweza kuwa: A) Antibiotics Za Kutibu Pid. Daktari atakuandikia dawa inayoendana na chanzo cha tatizo lako.Utasubiri siku kadhaa kuona kama dawa ulizopewa zinafanya kazi. Dawa za Pid zinazotolewa na daktari ni pamoja na; Metronidazole tabs, doxycycline tabs na cefixime tabs B) Kumtibu Mpenzi Wako. Kuzuia maambukizi yafaa mpenzi wako afanyiwe uchunguzi na atibiwe. C) Kuacha Kushiriki Ngono Kwa Muda. 💧-MATIBABU YA KUDUMU. Kutokana na kutumia bidhaa bora za BF-SUMA mtu utapata tiba sahihi ya kumaliza kabisa maambukizi ya PID kwa kuua vimelea vya magonjwa, kutobu majeraha na kurekebisha mfumo mzima wa uzazi wa mwanamke. Kwa huduma na ushauri wasiliana na mtaalam wa afya kupitia,,, 📞0745693900 #tiba#pid #afya #bfsuma
    Like
    Love
    8
    ·500 Views
  • ITAMBUE BIDHAA YETU HII NA
    NIAMBIE KAMA HUYU NI WEWE?

    1. Unawahi kufika kileleni mapema. Chini ya dakika saba.

    2.Unashindwa kurudia tendo kwa mara ya pili au zaidi.

    3.Uume Unashindwa kusimama au unasimama ukiwa legelege kwa mara ya pili au zaidi

    4.Unashindwa kumpa mwanamke mimba Kutokana na uchache au udhaifu wa mbegu (shahawa)

    5.Unapata maumivu kwenye korodani au misuli ya UUME baada ya tendo

    6.Unakosa hamu ya kufanya mapenzi au hamu ya kurudia tendo baada ya kufanya kwa mara ya kwanza

    7.Umeathirika na Punyeto ulizopiga zamani au Sasa na uume umekosa Nguvu.

    8.Una magonjwa mengine nyemelezi yanakusumbua kama vile pressure, kisukari, Tb, ini, Nk?

    9.Umetumia Dawa nyingi na virutubisho lakini hujapata matokeo, umekosa Uaminifu kwenye dawa.

    Tutakusaidia.
    0745693900

    Wasiliana nasi Sasa tukupatie Tiba uweze Kumudu tendo. Tiba zetu ni asili na zinatoa matokeo haraka na kutibu tatizo kabisa. Tuambie tatizo lako tukusaidie utapona kabisaaa.
    ITAMBUE BIDHAA YETU HII NA NIAMBIE KAMA HUYU NI WEWE? 1.✍️ Unawahi kufika kileleni mapema. Chini ya dakika saba. 2.✍️Unashindwa kurudia tendo kwa mara ya pili au zaidi. 3✍️.Uume Unashindwa kusimama au unasimama ukiwa legelege kwa mara ya pili au zaidi 4.✍️Unashindwa kumpa mwanamke mimba Kutokana na uchache au udhaifu wa mbegu (shahawa) 5.✍️Unapata maumivu kwenye korodani au misuli ya UUME baada ya tendo 6.✍️Unakosa hamu ya kufanya mapenzi au hamu ya kurudia tendo baada ya kufanya kwa mara ya kwanza 7.✍️Umeathirika na Punyeto ulizopiga zamani au Sasa na uume umekosa Nguvu. 8.✍️Una magonjwa mengine nyemelezi yanakusumbua kama vile pressure, kisukari, Tb, ini, Nk? 9.✍️Umetumia Dawa nyingi na virutubisho lakini hujapata matokeo, umekosa Uaminifu kwenye dawa. Tutakusaidia. 📞0745693900 Wasiliana nasi Sasa tukupatie Tiba uweze Kumudu tendo. Tiba zetu ni asili na zinatoa matokeo haraka na kutibu tatizo kabisa. Tuambie tatizo lako tukusaidie utapona kabisaaa.
    Love
    Like
    5
    ·164 Views
  • AFYA. AFYA. AFYA

    Nataka nichukue fursa hii kuzungumza na nyinyi kuhusu kwanini BF-SUMA na kwanini bidhaa za BF-SUMA kwaajili ya afya zetu!?

    Huenda miongoni mwetu tumewahi isikia kwa rafiki, ndugu na jamaa, mtandaoni au watu ambao hatuwafahamu kabisa na pengine humu ndani wakawepo ambao hawaijui kabisa kampuni hii.

    Sasa tuzungumzie jambo 1 kiufupi sana kwa wale ambao hawaijui walau waitambue kuanzia sasa kiuchache

    BF-SUMA ni kampuni ya kimarekani inayojihusisha na utafiti juu ya magonjwa yasiyo ambukiza kwa kujua chanzo na suluhisho sahihi juu ya magonjwa hayo, pia imejikita katika uzalishaji na usambazaji wa bidhaa bora na za kipekee za afya zilizotengenezwa kwa teknolojia ya kiwango cha juu kupitia mimea asilia na formula maalumu ya kutengeneza dawa bila kutumia kemikali yoyote ambazo kimsingi bidhaa hizi zinaenda imarisha mfumo mzima wa mwili ulio athirika kuwa sawa kama awali kwa kuujengea uwezo wa kinga ya mwili kupambana na magonjwa hayo.

    Hapa tunasema, ni bidhaa pekee zenye uwezo wa kurejesha matumaini ya mtu kupona kabisa tatizo lake kwa kwenda kuondoa chanzo cha tatizo lake yaani zinafanya kazi kibaiolojia,,,

    =>cell-tissue-organ-body system-organism

    Hii ina maanisha dawa zinaanza fanya kazi kwa kuimarisha cell za mwili hatimae kiumbe mzima kua sawa.

    ONDOA HOFU KABISA JUU YA BIDHAA HIZI KWANI ZIMETHIBITISHWA NA MAMLAKA MBALIMBALI DUNIANI NA TANZANIA KIUJUMLA KAMA VILE,,
    1.GMP
    2.HALAL
    3.ISO
    4.TMDA
    5.TBS na zingine nyingi.

    Kwa mawasiliano zaido Wasiliana nami
    Kwa nambari...
    0745693900

    Ama join whatsapp group
    https://chat.whatsapp.com/HCS9U128dmPIbhPB828K2R
    #afya#tiba#bfsuma#mtaalamwaafya#bfsumadawa
    AFYA. AFYA. AFYA Nataka nichukue fursa hii kuzungumza na nyinyi kuhusu kwanini BF-SUMA na kwanini bidhaa za BF-SUMA kwaajili ya afya zetu!? 💫Huenda miongoni mwetu tumewahi isikia kwa rafiki, ndugu na jamaa, mtandaoni au watu ambao hatuwafahamu kabisa na pengine humu ndani wakawepo ambao hawaijui kabisa kampuni hii. 💫Sasa tuzungumzie jambo 1 kiufupi sana kwa wale ambao hawaijui walau waitambue kuanzia sasa kiuchache 💥BF-SUMA ni kampuni ya kimarekani inayojihusisha na utafiti juu ya magonjwa yasiyo ambukiza kwa kujua chanzo na suluhisho sahihi juu ya magonjwa hayo, pia imejikita katika uzalishaji na usambazaji wa bidhaa bora na za kipekee za afya zilizotengenezwa kwa teknolojia ya kiwango cha juu kupitia mimea asilia na formula maalumu ya kutengeneza dawa bila kutumia kemikali yoyote ambazo kimsingi bidhaa hizi zinaenda imarisha mfumo mzima wa mwili ulio athirika kuwa sawa kama awali kwa kuujengea uwezo wa kinga ya mwili kupambana na magonjwa hayo. 💥Hapa tunasema, ni bidhaa pekee zenye uwezo wa kurejesha matumaini ya mtu kupona kabisa tatizo lake kwa kwenda kuondoa chanzo cha tatizo lake yaani zinafanya kazi kibaiolojia,,, =>cell-tissue-organ-body system-organism 💥Hii ina maanisha dawa zinaanza fanya kazi kwa kuimarisha cell za mwili hatimae kiumbe mzima kua sawa. 💫ONDOA HOFU KABISA JUU YA BIDHAA HIZI KWANI ZIMETHIBITISHWA NA MAMLAKA MBALIMBALI DUNIANI NA TANZANIA KIUJUMLA KAMA VILE,, 1.GMP 2.HALAL 3.ISO 4.TMDA 5.TBS na zingine nyingi. 💥 Kwa mawasiliano zaido Wasiliana nami Kwa nambari... ☎️0745693900 Ama join whatsapp group https://chat.whatsapp.com/HCS9U128dmPIbhPB828K2R #afya#tiba#bfsuma#mtaalamwaafya#bfsumadawa
    CHAT.WHATSAPP.COM
    BF suma Afya..Tz07
    WhatsApp Group Invite
    Like
    Love
    6
    2 Comments ·356 Views
  • Angry
    Like
    2
    ·152 Views
More Stories