• 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! RB Leipzig imefikia makubaliano ya kumsaini winga Johan Bakayoko kutoka PSV

    Uhamisho huo umegharimu €22M na vipimo vya afya atafanyiwa ndani ya wiki hii..
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! RB Leipzig imefikia makubaliano ya kumsaini winga Johan Bakayoko kutoka PSV ❤️🤍 Uhamisho huo umegharimu €22M na vipimo vya afya atafanyiwa ndani ya wiki hii..
    0 Comments ·0 Shares ·42 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County.

    Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇺🇸 Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County. Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...
    0 Comments ·0 Shares ·73 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović

    Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m.

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović 🍒 Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·82 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho.

    Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho. ⚪⚫ Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·64 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham

    Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs

    Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London
    @theathleticfc reports.

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham 🤍💣 Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London @theathleticfc reports. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·73 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mshambuliaji wa Villarreal Thierno Barry (22) amejiunga na Everton! Kwa Ada ya £27m Na vipimo vya afya atafanyiwa leo
    @SkySportsNews.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇫🇷 Mshambuliaji wa Villarreal Thierno Barry (22) amejiunga na Everton! Kwa Ada ya £27m Na vipimo vya afya atafanyiwa leo @SkySportsNews. ✈️ #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·74 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard.

    Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi.

    Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein].

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard🇩🇰. Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi. Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein]. #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·151 Views
  • Winga machachari raia wa Sweden Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark

    #SportsElite
    💈💈 Winga machachari raia wa Sweden 🇸🇪 Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark 🇩🇰 🙌 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·110 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M.

    Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya...

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M. 🔴🔵 Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya... #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·89 Views
  • Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026!

    ⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo.

    Mapendekezo yao ni pamoja na:
    • Kupumzika kila baada ya dakika 15
    • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko
    • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani
    • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano
    • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa

    Follow us Elly Sport
    🌡️⚠️ Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026! ⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo. ✅ Mapendekezo yao ni pamoja na: • Kupumzika kila baada ya dakika 15 🧊 • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko ⏱️ • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani 🌥️ • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano 🏥 • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa 🚨 Follow us Elly Sport
    0 Comments ·0 Shares ·213 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru

    Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya....

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎:Juventus imekamilisha usajiri wa Jonathan David kama mchezaji huru 🤍🖤 Hii ni baada ya mazungumzo kutamatika hapo Jana na muda sio mrefu Jonathan David atafanyiwa vipimo vya kiafya.... 🇨🇦 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·138 Views
  • 𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐒𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Jayden Addai amekamilisha vipimo vya afya na atakuwa tayari kujiunga na Como muda wowote kwanzia sasa kwa ada ya €14m kutoka AZ⚪️

    #SportsElite
    🚨𝐃𝐎𝐍𝐄 𝐀𝐍𝐃 𝐒𝐄𝐀𝐋𝐄𝐃: Jayden Addai amekamilisha vipimo vya afya na atakuwa tayari kujiunga na Como muda wowote kwanzia sasa kwa ada ya €14m kutoka AZ🔵⚪️ #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·84 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Chelsea imefikia makubaliano na Dortmund kuipata saini ya Jamie-Bynoe Gittens na atakuwa tayari kwaajiri ya kufanyiwa vipimo vya afya,
    Mkataba wa Bynoe-Gittens utadumu hadi 𝐉𝐮𝐧𝐞 𝟐𝟎𝟑𝟐 ⭐️
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Chelsea imefikia makubaliano na Dortmund kuipata saini ya Jamie-Bynoe Gittens na atakuwa tayari kwaajiri ya kufanyiwa vipimo vya afya, Mkataba wa Bynoe-Gittens utadumu hadi 𝐉𝐮𝐧𝐞 𝟐𝟎𝟑𝟐 💙 ⭐️
    0 Comments ·0 Shares ·124 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Bryan Mbeumo atafanya vipimo vya afya wiki ijayo Manchester United

    (Source: @alex_crook & @JacobsBen)

    #sportselite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Bryan Mbeumo atafanya vipimo vya afya wiki ijayo Manchester United (Source: @alex_crook & @JacobsBen) #sportselite
    0 Comments ·0 Shares ·124 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AS Monaco imepanga kufanya vipimo vya afya kwa Ansu Fati ndani ya hii wiki!

    Ansu ataondoka kwenda kwa mkopo AS Monaco huku kipengele cha kumsaini kabisa
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: AS Monaco imepanga kufanya vipimo vya afya kwa Ansu Fati ndani ya hii wiki! 🇲🇨 Ansu ataondoka kwenda kwa mkopo AS Monaco huku kipengele cha kumsaini kabisa👀✨
    0 Comments ·0 Shares ·132 Views
  • *Nguvu iliyoko katika kumsikia Mungu.*

    Kutoka 15:26
    [26]akawaambia, Kwamba *utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako*, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, *mimi sitatia juu yako maradhi yo yote* niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye.

    Wanaislaeri walipo toka misri na kuvuka mpaka bahari ya shamu.

    Walipo fika mbele wakakutana na maji machungu wakaendelea nungunikia musa.

    Na katika hayo Musa alimlilia Bwana na maji yalipatikana.

    Lakini andiko letu linasema ikiwa utasikiliza sauti ya bwana kwa bidiii kuna matokeo utayapata

    Kumbe ukiokoka na ukataka utembee katika nguvu zake za neno lake, watu waponywe kupitia wewe lazima ujifunze kumsikia Bwana Mungu wako kwanza.

    Jicho na sikio lake liko kil mahali sema ni wachache wanao lisikia na kuona kile anacho kisema na kulifanyia kazi lile wanaloliona na sababu kubwa ni kukosa bidii katika kumtafuta Bwana au kukosa maarifa sahihi juu ya neno au kukosa imani kabisa katika neno lake.

    Zaburi 91:14-15
    [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda
    Nitamwokoa; na kumweka palipo juu,
    Kwa kuwa amenijua Jina langu.
    .
    [15]Ataniita nami nitamwitikia;
    Nitakuwa pamoja naye taabuni,
    Nitamwokoa na kumtukuza;

    Kumbe kama tukilijiua jina la Bwana lazima atatupa matokeo yenye tija katkka maisha .

    Hatupati matokeo katika wokovu sababu hatutaki kuweka imani kwa Mungu wetu na kumtukuza katika kila hatua na kuliishi kusudi lake .

    Maradhi na zaifu nimatokeo ya mtu kutoiishi bidii katika yeye .

    Kumbe iko siri kubwa sana katika kutii na kufuata yale aliyo kuagiza ili akulipe matokeo ya ,kustawi kiafya ,kiuchumi kifamilia na kila hatua.

    Najaribu kukuonesha namna gani mtu akiokoka anapaswa kusitawi kwa kukufunuliw siri hii ya kufuata maagizo ,kusikia sauti ya bwana na kumtazama yeye kabla ya kutazama wengine.

    Hesabu 21:2-3
    [2]Basi Israeli akaweka nadhiri kwa BWANA akasema, *Kama wewe utawatia watu hawa mikononi mwangu kweli ndipo mimi nitaiharibu miji yao kabisa*.

    [3]BWANA akasikiza *sauti ya Israeli*, akawatia Wakanaani mikononi mwao; nao wakawaharibu wao na miji yao kabisa; na jina la mahali hapo likaitwa Horma.

    Kwa kuwa islaeri walimtambua Bwana naye akawatambua kwa kuwatimiliza neno walilo liomba .

    Tumekuwa watu tuliokosa matokeo sababu tunaishi nje ya mapenzi ya Bwana wetu kristo au htutaki kumsikiliza ,kumtii na kumfuata arafu tunataka atupe matokeo.

    Daudi kwenye zaburi anasema kwa kuwa umenipenda

    [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda
    *Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu*

    Kumbe ujapata kuwa juu sababu tu ujampenda bwana au ujalijua jina lake .

    Watu wengi wanamfamu Mungu wakati wa kutoa mapepo lakini hawamfahamu Mungu wakati wa kilimo au biashara zao na kwa kuwa hujamjua Mungu ktika kilimo basi na yeye anakupa nguvu au mafuta katika kuomba lakini katika kukuweka juu anakuacha kwa kuwa pia kuna kanuni zake pia.

    Asubui njema na baraka tele katika ijumaa ya leo .

    Tusiache kujifunza jambo jipya katika maisha kwa majina na itwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry)

    Kwa mafundisho zaidi karibu tujifunze kupitia watsap group kwa kujiunga na link hii hapa chini .

    #build new eden
    #restore men position @
    *Nguvu iliyoko katika kumsikia Mungu.* Kutoka 15:26 [26]akawaambia, Kwamba *utaisikiza kwa bidii sauti ya BWANA, Mungu wako*, na kuyafanya yaliyoelekea mbele zake, na kutega masikio usikie maagizo yake, na kuzishika amri zake, *mimi sitatia juu yako maradhi yo yote* niliyowatia Wamisri; kwa kuwa Mimi ndimi BWANA nikuponyaye. Wanaislaeri walipo toka misri na kuvuka mpaka bahari ya shamu. Walipo fika mbele wakakutana na maji machungu wakaendelea nungunikia musa. Na katika hayo Musa alimlilia Bwana na maji yalipatikana. Lakini andiko letu linasema ikiwa utasikiliza sauti ya bwana kwa bidiii kuna matokeo utayapata Kumbe ukiokoka na ukataka utembee katika nguvu zake za neno lake, watu waponywe kupitia wewe lazima ujifunze kumsikia Bwana Mungu wako kwanza. Jicho na sikio lake liko kil mahali sema ni wachache wanao lisikia na kuona kile anacho kisema na kulifanyia kazi lile wanaloliona na sababu kubwa ni kukosa bidii katika kumtafuta Bwana au kukosa maarifa sahihi juu ya neno au kukosa imani kabisa katika neno lake. Zaburi 91:14-15 [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu. . [15]Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza; Kumbe kama tukilijiua jina la Bwana lazima atatupa matokeo yenye tija katkka maisha . Hatupati matokeo katika wokovu sababu hatutaki kuweka imani kwa Mungu wetu na kumtukuza katika kila hatua na kuliishi kusudi lake . Maradhi na zaifu nimatokeo ya mtu kutoiishi bidii katika yeye . Kumbe iko siri kubwa sana katika kutii na kufuata yale aliyo kuagiza ili akulipe matokeo ya ,kustawi kiafya ,kiuchumi kifamilia na kila hatua. Najaribu kukuonesha namna gani mtu akiokoka anapaswa kusitawi kwa kukufunuliw siri hii ya kufuata maagizo ,kusikia sauti ya bwana na kumtazama yeye kabla ya kutazama wengine. Hesabu 21:2-3 [2]Basi Israeli akaweka nadhiri kwa BWANA akasema, *Kama wewe utawatia watu hawa mikononi mwangu kweli ndipo mimi nitaiharibu miji yao kabisa*. [3]BWANA akasikiza *sauti ya Israeli*, akawatia Wakanaani mikononi mwao; nao wakawaharibu wao na miji yao kabisa; na jina la mahali hapo likaitwa Horma. Kwa kuwa islaeri walimtambua Bwana naye akawatambua kwa kuwatimiliza neno walilo liomba . Tumekuwa watu tuliokosa matokeo sababu tunaishi nje ya mapenzi ya Bwana wetu kristo au htutaki kumsikiliza ,kumtii na kumfuata arafu tunataka atupe matokeo. Daudi kwenye zaburi anasema kwa kuwa umenipenda [14]Kwa kuwa amekaza kunipenda *Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu* Kumbe ujapata kuwa juu sababu tu ujampenda bwana au ujalijua jina lake . Watu wengi wanamfamu Mungu wakati wa kutoa mapepo lakini hawamfahamu Mungu wakati wa kilimo au biashara zao na kwa kuwa hujamjua Mungu ktika kilimo basi na yeye anakupa nguvu au mafuta katika kuomba lakini katika kukuweka juu anakuacha kwa kuwa pia kuna kanuni zake pia. Asubui njema na baraka tele katika ijumaa ya leo . Tusiache kujifunza jambo jipya katika maisha kwa majina na itwa mwl Sylvester Mwakabende kutoka (build new eden ministry) Kwa mafundisho zaidi karibu tujifunze kupitia watsap group kwa kujiunga na link hii hapa chini . #build new eden #restore men position @
    0 Comments ·0 Shares ·681 Views
  • Afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili."
    Afya ya akili ni muhimu kama afya ya mwili."
    0 Comments ·0 Shares ·315 Views
  • "Goli 8 Asisti 9 So Far .. Kabatini kwake kuna TUZO 6 za MAN OF THE MATCH. Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za ugenini, Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za Nyumbani

    Na kubwa zaidi, Tuzo 3 za Man of The Match kazibeba kwenye MECHI 3 MFULULIZO

    Mabibi na Mabwana .. Huyu sio mwingine ni EL PROFFESSSSOR @pacom_zouzoua .. HE IS ON FIRE🫡

    Mungu aendelee kumpa afya njema Tukamilishe Jambo letu Msimu huu" - Ali Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.

    "Goli 8 Asisti 9 So Far .. Kabatini kwake kuna TUZO 6 za MAN OF THE MATCH. Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za ugenini, Tuzo 3 kazibeba kwenye mechi za Nyumbani Na kubwa zaidi, Tuzo 3 za Man of The Match kazibeba kwenye MECHI 3 MFULULIZO Mabibi na Mabwana .. Huyu sio mwingine ni EL PROFFESSSSOR @pacom_zouzoua .. HE IS ON FIRE🫡 Mungu aendelee kumpa afya njema Tukamilishe Jambo letu Msimu huu👑" - Ali Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·796 Views
  • kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9.

    1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari)
    2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia)
    3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi)

    4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data)
    5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta)
    6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari)

    7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo)
    8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini)
    9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga)

    10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara)
    11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi)
    12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji)

    13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati)
    14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly")
    15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga)

    16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu)
    17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo)
    18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano)

    19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu)
    20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano)
    21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha)

    22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya)
    23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)

    kwa mujibu wa Jarida la Forbes, hii hapa orodha ya Jamii ya Watu Weusi wenye utajiri mkubwa Duniani kwa Mwaka 2025 ambapo wanakadariwa kumiliki utajiri wa dola bilioni 96.2. Wengi wao utajiri wao unatokana sekta za teknolojia, fedha, nishati na burudani, huku Mfanyabiashara Aliko Dangote wa Nigeria 🇳🇬 akiongoza kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 23.9. 1. Aliko Dangote (Nigeria) : $23.9B (Saruji, sukari) 2. David Steward (Marekani) : $11.4B (Teknolojia) 3. Robert F. Smith (Marekani) : $10.8B (Uwekezaji binafsi) 4. Alexander Karp (Marekani) : $8.4B (Programu za uchambuzi wa data) 5. Mike Adenuga (Nigeria) : $6.8B (Mawasiliano, mafuta) 6. Abdulsamad Rabiu (Nigeria) : $5.1B (Saruji, sukari) 7. Michael Jordan (Marekani) : $3.5B (Michezo, matangazo) 8. Patrice Motsepe (Afrika Kusini) : $3B (Madini) 9. Oprah Winfrey (Marekani) : $3B (Runinga) 10. Jay-Z (Marekani) : $2.5B (Muziki, biashara) 11. Adebayo Ogunlesi (Marekani) :$2.2B (Uwekezaji binafsi) 12. Magic Johnson (Marekani) : $1.5B (Michezo, uwekezaji) 13. Femi Otedola (Nigeria) : $1.5B (Nishati) 14. Tope Awotona (Marekani) : $1.4B (Programu "Calendly") 15. Tyler Perry (Marekani) : $1.4B (Filamu, Runinga) 16. Tiger Woods (Marekani) : $1.4B (Gofu) 17. Rihanna (Barbados) : $1.4B (Muziki, urembo) 18. Mo Ibrahim (Uingereza) : $1.3B (Mawasiliano) 19. LeBron James (Marekani) : $1.3B (Kikapu) 20. Strive Masiyiwa (Zimbabwe) : $1.2B (Mawasiliano) 21. Michael Lee-Chin (Canada) : $1.1B (Uwekezaji wa fedha) 22. Herriot Tabuteau (Marekani) : $1.1B (Afya) 23. Sheila Johnson (Marekani) : $1B (Runinga, hoteli)
    0 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho.

    2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo
    Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana.

    3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8.

    4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo.

    5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki.

    6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa.

    7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza
    asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.

    Jarida la Forbes toleo la mwaka huu wa 2025 limemtaja Manyabiashara wa Tanzania Mohamed Dewjl, kuwa miongoni mwa Watu Matajiri Duniani, akiwa na utajiri wa USD 2.2 bilioni sawa na Shilingi Trilioni 5.7 za Kitanzania. Mo Dewji, anakuwa tajiri namba 12 barani Afrika na namba moja Afrika Mashariki kwa kiwango hicho. 2. Orodha ya mwaka huu inaonyesha utajiri wa Mo Dewji umeongezeka na kufikia, dola bilioni 2.2 kutoka dola bilioni 1.8 mwaka jana. 3. Orodha ya Forbes ya Matajiri wa Afrika kwa mwaka 2024 ilibainisha kuwa utajiri wa Mo Dewji umeongezeka kutoka dola bilioni 1.5 hadi bilioni 1.8. 4. Licha ya utajiri huo, MO Dewji kupitia kampuni ya Mohamed Entrprises Limited (MeTL) imezalisha ajira 40,000 kwa Watanzania, kupitia biashara 126 zinazofanywa na kampuni hiyo. 5. Lengo la Mo Dewji ni kuongeza ajira hadi kufikia laki moja kwa Watanzania na wana-Afrika Mashariki. 6. Mo Dewji kupitia MoDewjl Foundation, imeshirikiana na Serikali kupitia Wizara ya Maji, kuchimba visima, kukarabati na kutibu maji mkakati uliosaidia Watu zaidi ya 15,000 kupata maji salama ya kunywa. 7. Utajiri wa Mo Dewji haikushia kwenye maji na afya pekee, umekwenda zaidi na kuwekeza katika tasnia ya michezo ambako ni sehemu ya Mmiliki akiwekeza asilimia 49 kwenye klabu ya Simba SC.
    0 Comments ·0 Shares ·952 Views
More Results