• Alloyce Nyanda

    Mtani wangu @gersonmsigwa mbona umekanusha kwa herufi kubwa hivyo ku likes Picha ya Mange

    Unajua acha nikusaidie Mtani ufahamu kuwa katika Hii Dunia Serikali zote Duniani huwa zinajaribu kuhakikisha zina “control information

    Uki Control Informatio utakuwa na nguvu ya kumuita Malaika-Shetani na shetani ukamuita Malaika na dunia itatii na haitahoji.

    Wenye nguvu za utoaji wa taarifa za dunia waliwahi ku control Information na kuuambia ulimwengu kuwa Muammar al-Gaddafi ni gaidi na dunia ikatii amri

    Waliandika kwa lugha zao nasi tukatafsiri kwa lugha yetu na tukamuita mwana wa Afrika Gadafi ni Gaidi.

    “Information is power”. Sasa wewe badala ya Kupambana ku Control Information wewe unapambana Kukanusha haitakusaidia wewe wala serikali yetu.

    Na Ku control Information huwa sio kuzima Internet au kufunga Mitandao kwa sababu wanaotaka taarifa wameshajua watapataje ndio wana VPN na wapo tayari Kulipia

    nataka nikushauri Msemaji ukifanyie kazi kwa haraka badala ya kukanusha na kulalamika jenga uwezo wa kumiliki nguvu ya Taarifa iliyokaribu na umma.

    Jitaidi Pages za serikali zenye kutoa taarifa zifanye ziwe na nguvu ili ziwe karibu na jamii yake sasa haiwezekani Mange Kimambi awe na ukaribu na jamii kiasi hicho kuliko serikali yenyewe.

    Unakuta wizara ya Afya badala ya kutengeneza maudhui yenye kuisogeza jamii karibu nayo wao wanaweza hata kupost picha waziri anasalimiana na Dkt na kuigeuza kuwa jambo la maana kupeleka kwa watu .

    Sasa kwa hulka hiyo utawezaje Ku control Power ya Taarifa? ukimkuta Mange amechapa Hospital X haina Vifaa wananchi wanaona huyu ndiye anatusaidia na wewe @gersonmsigwa unabakiza kazi ya kukanusha tu wakati unayo nafasi ya kueleza situation ya Hospital hata kabla ya wengine kupost

    Lazima idara za serikali zigeuzwe kuwa na uwezo wa kufanya Visibility kubwa , unadhani wewe Msigwa utaweza peke yako? Utachekwa tu

    Utakanusha ma ngapi na utapinga Ma ngapi? maana hata leo kuonekana umelikes page umehaha mbaya why? Wewe Pambana kuifanya Jamii kuiamini serikali zaidi ili wampuuze Mange

    Unataka kweli U contol Information kwa mbinu ya Mwijaku au Mzee wangu au Mafufu? (Utaishia kuchekesha tu)

    Power of Informations
    Alloyce Nyanda ✍️ Mtani wangu @gersonmsigwa mbona umekanusha kwa herufi kubwa hivyo ku likes Picha ya Mange Unajua acha nikusaidie Mtani ufahamu kuwa katika Hii Dunia Serikali zote Duniani huwa zinajaribu kuhakikisha zina “control information Uki Control Informatio utakuwa na nguvu ya kumuita Malaika-Shetani na shetani ukamuita Malaika na dunia itatii na haitahoji. Wenye nguvu za utoaji wa taarifa za dunia waliwahi ku control Information na kuuambia ulimwengu kuwa Muammar al-Gaddafi ni gaidi na dunia ikatii amri Waliandika kwa lugha zao nasi tukatafsiri kwa lugha yetu na tukamuita mwana wa Afrika Gadafi ni Gaidi. “Information is power”. Sasa wewe badala ya Kupambana ku Control Information wewe unapambana Kukanusha haitakusaidia wewe wala serikali yetu. Na Ku control Information huwa sio kuzima Internet au kufunga Mitandao kwa sababu wanaotaka taarifa wameshajua watapataje ndio wana VPN na wapo tayari Kulipia nataka nikushauri Msemaji ukifanyie kazi kwa haraka badala ya kukanusha na kulalamika jenga uwezo wa kumiliki nguvu ya Taarifa iliyokaribu na umma. Jitaidi Pages za serikali zenye kutoa taarifa zifanye ziwe na nguvu ili ziwe karibu na jamii yake sasa haiwezekani Mange Kimambi awe na ukaribu na jamii kiasi hicho kuliko serikali yenyewe. Unakuta wizara ya Afya badala ya kutengeneza maudhui yenye kuisogeza jamii karibu nayo wao wanaweza hata kupost picha waziri anasalimiana na Dkt na kuigeuza kuwa jambo la maana kupeleka kwa watu . Sasa kwa hulka hiyo utawezaje Ku control Power ya Taarifa? ukimkuta Mange amechapa Hospital X haina Vifaa wananchi wanaona huyu ndiye anatusaidia na wewe @gersonmsigwa unabakiza kazi ya kukanusha tu wakati unayo nafasi ya kueleza situation ya Hospital hata kabla ya wengine kupost Lazima idara za serikali zigeuzwe kuwa na uwezo wa kufanya Visibility kubwa , unadhani wewe Msigwa utaweza peke yako? Utachekwa tu Utakanusha ma ngapi na utapinga Ma ngapi? maana hata leo kuonekana umelikes page umehaha mbaya why? Wewe Pambana kuifanya Jamii kuiamini serikali zaidi ili wampuuze Mange Unataka kweli U contol Information kwa mbinu ya Mwijaku au Mzee wangu au Mafufu? (Utaishia kuchekesha tu) Power of Informations
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·144 Visualizações
  • Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili .

    Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji .

    Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi"

    Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema .

    Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake

    #SportsElite
    Baada ya Kuitwa kwenye Kikosi cha Timu ya Taifa ya Hispania ..Ghafla taarifa kutoka vyombo vya Spain Kama Mundo ni kuwa Lamine Yamal amepata majeraha / Maumivu katika Jeraha ambalo lilikuwa limemuweka nje anaweza kuwa nje week moja mpaka mbili 😎. Ikumbukwe kocha Mkuu wa Barcelona alitoa malalamiko yake kwa Kocha Mkuu wa Hispania kuwa Pamoja na Kujua Dogo alikuwa na maumivu bado alimchezesha na kumlaumu kwa kushindwa kulinda Vipaji vya wachezaji . Jibu la Kocha wa Hispania lilikuwa "Timu ndiyo inapaswa kulinda Afya ya mchezaji ..kwenye timu taifa hakuna mapumziko mchezaji muhimu atacheza kila mechi" Jana Pia Kocha Huyo alipoulizwa Kuhusu kuitwa kwa Yamal na Maneno ya Kocha wa Barcelona alijibu kuwa hakumbuki Flick alichosema 😅😅. Pamoja na Kwamba Mchezaji inasemekana ana majeraha bado inasemekana atatakiwa kwenda Kufanya Vipimo na Madaktar wa timu ya taifa ili kujiridhisha na Jeraha lake #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·452 Visualizações
  • OFFICIAL Alejandro Garnacho atafanyiwa vipimo vya afya leo kama mchezaji mpya wa Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL Alejandro Garnacho atafanyiwa vipimo vya afya leo kama mchezaji mpya wa Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·349 Visualizações
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Dili la Victor Boniface (24) kwenda Milan! rasmi limekufa baada ya straika huyo kufeli vipimo vya afya
    🚨🇳🇬 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Dili la Victor Boniface (24) kwenda Milan! rasmi limekufa baada ya straika huyo kufeli vipimo vya afya ❌
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·269 Visualizações
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea

    Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032.

    Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032.

    Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 Julio Enciso to Strasbourg/Chelsea 🚨Kikundi cha BlueCo Kimefikia makubaliano kamili na Brighton kumsajili winga Julio Enciso kwa jumla ya ada ya £20m na mkataba wa miaka Saba hadi 2032. Julio Enciso atajiunga na Strasbourg msimu 2025-26 kisha atajiunga na Chelsea kwa mkataba hadi 2032. Enciso Atafanyiwa vipimo vya Afya Kesho #herewego Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·400 Visualizações
  • Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030.

    Source Sacha Tavolieri

    #SportsElite
    🚨Fahamu Arsenal na Crystal Palace wanakamilisha Kila kitu leo kuhusu Nyaraka zote za Eberechi Eze na Kisha kesho Ijumaa Atafanyiwa Vipimo vya afya kwa ada ya £68m na mkataba wa miaka mitano hadi 2030. Source Sacha Tavolieri #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·484 Visualizações
  • BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand..

    Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨 BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand.. Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·614 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Douglas Luiz atafanyiwa vipimo vya afya Leo ili kukamilisha uhamisho kwenda Nottingham Forest hadi 2030 na atakuwa analipwa €5M/mwaka pamoja na bonasi zote

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Douglas Luiz atafanyiwa vipimo vya afya Leo ili kukamilisha uhamisho kwenda Nottingham Forest hadi 2030 na atakuwa analipwa €5M/mwaka pamoja na bonasi zote #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·223 Visualizações
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Newcastle imekamilisha usajili wa Jacob Ramsey kutoka Aston Villa,

    Uhamisho huo umegharimu £40m na Ramsey atasafiri kuelekea Newcastle kwaajili ya vipimo vya afya

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Newcastle imekamilisha usajili wa Jacob Ramsey kutoka Aston Villa, 🤍🖤 Uhamisho huo umegharimu £40m na Ramsey atasafiri kuelekea Newcastle kwaajili ya vipimo vya afya 🔜 #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·316 Visualizações
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens

    Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5..

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! AS Roma imekamilisha uhamisho wa kiungo Neil El Aynaoui kutoka Lens ❤️💛🇲🇦 Ada ya uhamisho ikiwa ni €23m na nyongeza ya €2m kiungo huyo wa Morocco atasafiri kuelekea Roma Jumamosi hii kwaajili ya vipimo vya afya na mkataba wa miaka 5.. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·346 Visualizações
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! RB Leipzig imefikia makubaliano ya kumsaini winga Johan Bakayoko kutoka PSV

    Uhamisho huo umegharimu €22M na vipimo vya afya atafanyiwa ndani ya wiki hii..
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! RB Leipzig imefikia makubaliano ya kumsaini winga Johan Bakayoko kutoka PSV ❤️🤍 Uhamisho huo umegharimu €22M na vipimo vya afya atafanyiwa ndani ya wiki hii..
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·318 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County.

    Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇺🇸 Patrick Agyemang hato jumuishwa kwenye kikosi cha Charlotte FC kwenye mechi leo usku dhidi ya NYCFC na tayari yuko mbioni kukamilisha uhamisho kwenda Derby County. Vipimo vya afya tayari vimekamilika Alhamisi iliyo pita. Na dili limekamilika kwa ada ya $8M na nyongeza ya $2M...
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·396 Visualizações
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović

    Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m.

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Bournemouth imekamilisha usajili wa golikipa wa zamani wa Chelsea Djordje Petrović 🍒 Petrović atafanyiwa vipimo vya kiafya wiki ijayo kwa ada ya £25m. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·363 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho.

    Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Morgan Gibbs-White yuko mbioni kujiunga Tottenham Hotspur baada ya vipimo vya afya hapo kesho. ⚪⚫ Tottenham Hotspur itatakiwa kulipa £60m kama Ada ya uhamisho Nottingham Forest. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·315 Visualizações
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham

    Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs

    Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London
    @theathleticfc reports.

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎! Tottenham imefikia makubaliano ya £55m juu ya dili la kumsajiri Mohammed Kudus kutoka West Ham 🤍💣 Kudus lilikuwa ni chaguo la Tottenham kwa msimu ujao na amesaini miaka 6 ndani ya Spurs Vipimo vya afya atafanyiwa Alhamisi hii London @theathleticfc reports. #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·430 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mshambuliaji wa Villarreal Thierno Barry (22) amejiunga na Everton! Kwa Ada ya £27m Na vipimo vya afya atafanyiwa leo
    @SkySportsNews.

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: 🇫🇷 Mshambuliaji wa Villarreal Thierno Barry (22) amejiunga na Everton! Kwa Ada ya £27m Na vipimo vya afya atafanyiwa leo @SkySportsNews. ✈️ #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·530 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard.

    Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi.

    Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein].

    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Arsenal imekamilisha usajili wa kapteni na kiungo wa Brentford , Christian Nørgaard🇩🇰. Arsenal watalipa £10m na nyongeza ya £2m kama bonasi. Vipimo vya afya tayari vimekamilika na rasmi atatangazwa ndani ya hii wiki[Via - @David_Ornstein]. #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·387 Visualizações
  • Winga machachari raia wa Sweden Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark

    #SportsElite
    💈💈 Winga machachari raia wa Sweden 🇸🇪 Roony Bardghji amekamilisha vipimo vya afya na kuwa mchezaji mpya wa FC Barcelona akitokea FC Copenhagen ya Denmark 🇩🇰 🙌 #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·334 Visualizações
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M.

    Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya...

    #SportsElite
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Crystal Palace iko mbioni kukamilisha usajiri wa Borna Sosa kutoka Ajax kwa ada ya €4M. 🔴🔵 Na ndani ya massa 48 atakuwa amekamilisha taratibu za uhamisho pamoja na vipimo vya afya... #SportsElite
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·334 Visualizações
  • Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026!

    ⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo.

    Mapendekezo yao ni pamoja na:
    • Kupumzika kila baada ya dakika 15
    • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko
    • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani
    • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano
    • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa

    Follow us Elly Sport
    🌡️⚠️ Hatari ya Joto Kali Kombe la Dunia 2026! ⛔️ FIFPRO (umoja wa wachezaji duniani) wametoa wito wa mabadiliko ya haraka kuelekea Kombe la Dunia 2026 kutokana na joto kali linalotarajiwa kipindi cha mashindano hayo. ✅ Mapendekezo yao ni pamoja na: • Kupumzika kila baada ya dakika 15 🧊 • Mapumziko ya dakika 20 kipindi cha mapumziko ⏱️ • Mechi kuchezwa katika muda wa hali ya hewa ya wastani 🌥️ • Ukaguzi wa afya kwa kina kwa wachezaji kabla ya mashindano 🏥 • Mpango wa dharura endapo kutakuwa na onyo la hali ya hewa 🚨 Follow us Elly Sport
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·668 Visualizações
Páginas Impulsionadas