0 Commentarii
·0 Distribuiri
·292 Views
-
-
-
-
-
It's Holliday
Tag mahali ulipoIt's Holliday 🥂🍾🔥💫✨ Tag mahali ulipo🎁 -
-
Watu wenye kutoa sana misaada ni wale ambao walikuwa hawana kitu, Wanapenda sana kutoa kwa sababu wanayajua maumivu anayopitia yule aliyekosa kituWatu wenye kutoa sana misaada ni wale ambao walikuwa hawana kitu, Wanapenda sana kutoa kwa sababu wanayajua maumivu anayopitia yule aliyekosa kitu
-
Ukinunua line unalipa mtandao unakatwa ushuru. Ukinunua vocha unakatwa, ukituma hela unakatwa, ukitoa hela unakatwa, ukinunua umeme unakatwa ya umeme na nyingine, tozo unakatwa….. unakatwa unakatwa unakatwa “UNAKATWA”.Ukinunua line unalipa mtandao unakatwa ushuru. Ukinunua vocha unakatwa, ukituma hela unakatwa, ukitoa hela unakatwa, ukinunua umeme unakatwa ya umeme na nyingine, tozo unakatwa….. unakatwa unakatwa unakatwa “UNAKATWA”.
-
Ukweli ni kwamba kuna watu watakuja maishani mwako kukupa furaha ya muda tu Halafu wataondoka.Ukweli ni kwamba kuna watu watakuja maishani mwako kukupa furaha ya muda tu Halafu wataondoka.