• Usikubali siku moja mbaya ikuaminishe kuwa maisha yako yote ni mabaya
    Usikubali siku moja mbaya ikuaminishe kuwa maisha yako yote ni mabaya馃
    Love
    1
    0 Reacties 0 aandelen 520 Views
  • #exhuma
    #exhuma
    Like
    2
    2 Reacties 0 aandelen 760 Views
  • love social pop
    love social pop
    0 Reacties 0 aandelen 236 Views
  • Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.
    馃搳 Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.
    Like
    Love
    4
    1 Reacties 0 aandelen 97 Views
  • DEAL DONE

    RASMI: Vincent Kompany amesaini kama meneja mpya wa Bayern hadi Juni 2027!

    "Naangalia mbele changamoto ya FC Bayern".

    "Ni heshima kubwa kuweza kuitumikia klabu hii, FC Bayern ni taasisi ya mpira wa miguu daima".

    "Kama kocha, unapaswa kusimama kwa jinsi ulivyo kama mtu: Napenda kuwa na mpira, ubunifu na hivyo pia tunapaswa kuwa fujo uwanjani na kuwa jasiri".

    "Sasa ninatazamia mambo ya msingi zaidi: kufanya kazi na wachezaji, kujenga timu. Wakati msingi upo, mafanikio yatafuata", anasema.
    #Sportsview
    DEAL DONE 馃毃 RASMI: Vincent Kompany amesaini kama meneja mpya wa Bayern hadi Juni 2027! 馃敶馃嚙馃嚜 "Naangalia mbele changamoto ya FC Bayern". "Ni heshima kubwa kuweza kuitumikia klabu hii, FC Bayern ni taasisi ya mpira wa miguu daima". "Kama kocha, unapaswa kusimama kwa jinsi ulivyo kama mtu: Napenda kuwa na mpira, ubunifu na hivyo pia tunapaswa kuwa fujo uwanjani na kuwa jasiri". "Sasa ninatazamia mambo ya msingi zaidi: kufanya kazi na wachezaji, kujenga timu. Wakati msingi upo, mafanikio yatafuata", anasema. #Sportsview
    Like
    Love
    4
    3 Reacties 0 aandelen 1K Views
  • Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho.

    Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae.

    #Sportsview
    馃挜馃└Klabu ya Fenerbahce imefikia makubaliano na Kocha José Mourinho kwaajili ya kukinoa kikosi hicho. Mourinho atasaini mkataba wa miaka miwili hadi Juni 2026 wenye kipengele cha kuongeza mwingine baadae. #Sportsview
    Like
    Love
    Haha
    Yay
    Angry
    6
    3 Reacties 0 aandelen 1K Views
  • Kesho litakufa jitu,
    #CRDBFEDERATIONCUP
    Kesho litakufa jitu,馃弳馃弳馃弳馃弳 #CRDBFEDERATIONCUP
    Like
    Love
    4
    1 Reacties 0 aandelen 1K Views
  • Me : mushrooms






    #memoryofjosephcharles
    Me : mushrooms 馃槉馃榿馃榿 #memoryofjosephcharles
    Love
    Like
    Yay
    5
    2 Reacties 0 aandelen 92 Views
  • Penzi la kweli halifi kizembe
    Penzi la kweli halifi kizembe
    Love
    Haha
    2
    1 Reacties 1 aandelen 151 Views 90
  • Mood
    Mood
    Love
    2
    0 Reacties 1 aandelen 598 Views 85