• Charly hapo nyuma alikuwa ni safecracker, hakuna kufuli ambalo lilikuwa linamsumbua yani chap chap ashamaliza kazi na alikuwa anafanya kazi ya ujambazi. Lakini kwa sasa anaishi maisha ya kawaida, ana mke pamoja na mtoto.

    Akiwa anaendelea na maisha yake, gang yake ya kitambo inamtafuta awasaidie kazi. Mwanzo alizingua lakini wakaanza kumpa vitisho akaamua kukubali na ambacho aliwaomba ni hataki malipo yoyote bali aachwe kabisa yeye na familia yake.

    Sasa hiyo kazi ndio msala ulipoanzia hapo , ukitazama utajua mambo yalivyoenda kunuka huko. Mzigo huu hapa!
    Charly hapo nyuma alikuwa ni safecracker, hakuna kufuli ambalo lilikuwa linamsumbua yani chap chap ashamaliza kazi na alikuwa anafanya kazi ya ujambazi. Lakini kwa sasa anaishi maisha ya kawaida, ana mke pamoja na mtoto. Akiwa anaendelea na maisha yake, gang yake ya kitambo inamtafuta awasaidie kazi. Mwanzo alizingua lakini wakaanza kumpa vitisho akaamua kukubali na ambacho aliwaomba ni hataki malipo yoyote bali aachwe kabisa yeye na familia yake. Sasa hiyo kazi ndio msala ulipoanzia hapo 馃槉, ukitazama utajua mambo yalivyoenda kunuka huko. Mzigo huu hapa!
    Like
    Yay
    2
    1 Commenti 0 condivisioni 585 Views
  • Binadamu hawatumii tena nyama ile fresh ambayo unachinja mwenyewe au either unashuhudia ukichinjiwa.

    Ukitaka nyama kulikuwa na makampuni ambayo yanazalisha nyama kisayansi zaidi

    BF ndio kampuni kubwa zaidi Duniani kwenye biashara hiyo ya nyama. CEO wake ni bidada anaitwa Yun, anaanza kupata matukio ya hapa na pale kama mashambulio, kutishiwa maisha etc.

    Anaamua kumuajiri Bodyguard, ndio huyo mwana hapo . Mzigo una episodes 10 tu.
    Binadamu hawatumii tena nyama ile fresh ambayo unachinja mwenyewe au either unashuhudia ukichinjiwa. Ukitaka nyama kulikuwa na makampuni ambayo yanazalisha nyama kisayansi zaidi 馃樁 BF ndio kampuni kubwa zaidi Duniani kwenye biashara hiyo ya nyama. CEO wake ni bidada anaitwa Yun, anaanza kupata matukio ya hapa na pale kama mashambulio, kutishiwa maisha etc. Anaamua kumuajiri Bodyguard, ndio huyo mwana hapo 馃槉. Mzigo una episodes 10 tu.
    Like
    Love
    4
    3 Commenti 1 condivisioni 733 Views
  • Haha
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 518 Views

  • vile Azam watakapo fanywa champion league

    vile Azam watakapo fanywa champion league 馃ぃ馃ぃ馃ぃ
    Like
    Love
    Wow
    3
    1 Commenti 1 condivisioni 136 Views 54
  • Love
    Haha
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 510 Views
  • A House girl asked her madam to increase her salary. The madam ask her to give 3 reasons why she need her salary to be increased.

    HOUSE GIRL: I can cook better than you.

    MADAM: Who told you that?

    HOUSE GIRL: Your husband told me.

    MADAM: Okay, second reason....!

    HOUSE GIRL: I can iron better than you.

    MADAM: Who told you that?

    HOUSE GIRL: Your husband told me.

    MADAM: Okay, last reason.

    HOUSE GIRL: I am also better than you in b膿d

    (Madam got furious, gr膩b a st墨ck to sm膩sh her head)

    MADAM: Did my husband say that?

    HOUSE GIRL: NO, the driver told me I'm better than you in b膿d.

    MADAM: Shhhh! Lower your voice please! I will increase it

    #memoryofjosephcharles
    A House girl asked her madam to increase her salary. The madam ask her to give 3 reasons why she need her salary to be increased. HOUSE GIRL: I can cook better than you. MADAM: Who told you that? HOUSE GIRL: Your husband told me. MADAM: Okay, second reason....! HOUSE GIRL: I can iron better than you. MADAM: Who told you that? HOUSE GIRL: Your husband told me. MADAM: Okay, last reason. HOUSE GIRL: I am also better than you in b膿d (Madam got furious, gr膩b a st墨ck to sm膩sh her head) MADAM: Did my husband say that? HOUSE GIRL: NO, the driver told me I'm better than you in b膿d. MADAM: Shhhh! Lower your voice please! I will increase it 馃グ馃檹馃檹 #memoryofjosephcharles
    Love
    Like
    Haha
    Wow
    6
    1 Commenti 0 condivisioni 115 Views
  • Usikubali siku moja mbaya ikuaminishe kuwa maisha yako yote ni mabaya
    Usikubali siku moja mbaya ikuaminishe kuwa maisha yako yote ni mabaya馃
    Love
    1
    0 Commenti 0 condivisioni 486 Views
  • #exhuma
    #exhuma
    Like
    2
    2 Commenti 0 condivisioni 709 Views
  • love social pop
    love social pop
    0 Commenti 0 condivisioni 217 Views
  • Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.
    馃搳 Kwa mara ya mwisho Simba kushiriki moja kwa moja kombe la Shirikisho ilikuwa msimu wa 2017/2018 na iliondolewa hatua za mwazo na Al Masri ya Misri kwa sheria ya bao la ugenini baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 Uwanja wa Mkapa na kutoa suluhu (0-0) ugenini. . Msimu wa 2021/2022 Simba ilishiriki Kombe la Shirikisho lakini hapo haikuwa moja kwa moja bali ilidondokea huko baada ya kutolewa Ligi ya mabingwa katika hatua ya pili ya mtoano na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwa sheria ya bao la ugenini na ‘Mnyama’ alishinda 2-0 ugenini lakini bila kuamini akachapwa 3-1 Uwanja wa Mkapa na matokeo ya jumla kuwa 3-3.
    Like
    Love
    4
    1 Commenti 0 condivisioni 94 Views