0 Kommentare
·0 Anteile
·205 Ansichten
-
¤¤"Wakati mwingine.. inakulazimu kusahau mambo mabaya waliyokufanyia◆◆ Wengine ili utende mema kwa watu wengine."
Wema hauozi ndugu zangu
#motivation
#truelife¤¤"Wakati mwingine..🙄 inakulazimu kusahau mambo mabaya waliyokufanyia◆◆ Wengine ili utende mema kwa watu wengine." 😇☠️ Wema hauozi ndugu zangu #motivation #truelife -
-
-
Ni bahati mbaya au makusudi #laugh #socialpop #trending
-
-
-
-
Kuna wakati utaona hujibiwi maombi yako, sio kwa sababu hau stahili ila ni kwa kuwa MUNGU ana mipango mikubwa kuliko maombi yako! Endela kuwa na imani, endelea kufanya.Kuna wakati utaona hujibiwi maombi yako, sio kwa sababu hau stahili ila ni kwa kuwa MUNGU ana mipango mikubwa kuliko maombi yako! Endela kuwa na imani, endelea kufanya.
-
Maisha ni mafupi sana, ishi na wanao jali thamani ya uwepo wako, usi poteze mda kwa mtu asiye na mda na wewe.Maisha ni mafupi sana, ishi na wanao jali thamani ya uwepo wako, usi poteze mda kwa mtu asiye na mda na wewe.