BREAKING.
Rasmi Ligi kuu Tanzania NBCPL msimu ujao Itatumia VAR katika mashindano yote.
Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha ilo na kuomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR.
MSIMU UJAO TUTAONA MENGI
🚨BREAKING.
Rasmi Ligi kuu Tanzania NBCPL 🇹🇿 msimu ujao Itatumia VAR katika mashindano yote.
Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha ilo na kuomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR.
MSIMU UJAO TUTAONA MENGI 🇹🇿🚨