• Manchester United wanataka kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Ollie Watkins kutoka Aston Villa kwani mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 analingana na wasifu wa mchezaji ambaye wanataka kumsajili.
    Manchester United wanataka kumsajili mshambuliaji wa Uingereza Ollie Watkins kutoka Aston Villa kwani mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 analingana na wasifu wa mchezaji ambaye wanataka kumsajili.
    Like
    Love
    6
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·87 مشاهدة
  • 0 التعليقات ·0 المشاركات ·248 مشاهدة
  • Mashujaa wa imani
    Mashujaa wa imani
    Love
    Like
    5
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·102 مشاهدة
  • Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·257 مشاهدة
  • #crayz
    😜😜😜 #crayz
    Like
    2
    · 2 التعليقات ·0 المشاركات ·496 مشاهدة
  • Manchester City ilipata shujaa mpya kutoka kwa nyota wao wakubwa katika harakati zao za kunyakua taji la nne mfululizo la ligi ya Premier.

    Pep Guardiola alichukua hatua ya tahadhari alipomtoa kipa Ederson, huku City wakiwa kifua mbele kwa bao 1-0, baada ya mlinda lango namba moja kupata pigo baya kichwani baada ya kugongana na beki wa Tottenham, Cristian Romero.

    Ederson, ambaye alikuwa na tatizo la jicho lake, hakuonekana kufurahishwa na uamuzi huo - uliotokana na ushauri wa daktari wa klabu - lakini meneja wake alikuwa na haki kabisa, sio tu kumlinda kipa huyo wa Brazil lakini pia alikuwa na imani na mbadala wake Stefan Ortega.

    Na katika kipindi cha dakika 21 cha mchezo wa hali ya juu, Ortega - ambaye amefanya vyema kila anapotoka benchi kuchukua mahala pake Ederson msimu huu – huenda amekaribia kuipatia City taji lake la sita katika misimu saba.

    Wakati filimbi ya mwisho ilipolia na klabu ikasalia na ushindi mmoja kabla ya kutawazwa mabingwa kwa mara ya nne mfululizo, Guardiola alielekea moja kwa moja kwa Ortega na kumsalimia Mjerumani huyo kwa busu shavuni kwa mchango wake muhimu.

    Guardiola hakujizuia kwani alisema: "Ortega ni kipa wa kiwango cha kimataifa. Kipa wa kipekee. Ederson hakupata mtikisiko, alikuwa na tatizo kwenye jicho lake. Hakuona vizuri hivyo daktari alisema. Ninapaswa kumbadilisha."

    Spurs waliwafanyia dhihaka wakosoaji ambao walipendekeza wanaweza kutocheza vizuri kimakusudi kwa sababu matokeo yoyote chanya yanaweza kuwapa wapinzani wao Arsenal taji lao la kwanza la Ligi ya Premia ndani ya miaka 20.

    Athari ya Ortega ilikuwa ya papo hapo, akimnyima goli mchezaji wa akiba wa Spurs, Dejan Kulusevski , halafu akaokoa shambulio jingine la mchezaji huyo huyo muda mfupi baadaye.

    Hatari kubwa zaidi ilikuwa katika dakika za lala salama, huku City wakiwa mbele kwa bao moja, wakati Son Heung-min alipouchukua mpira na kusalia na Ortega pekee.

    Ilikuwa ni aina ya fursa ambayo Mkorea Kusini huyo angetumia kwa ustadi mara nyingi katika maisha yake ya Spurs.

    .
    Manchester City ilipata shujaa mpya kutoka kwa nyota wao wakubwa katika harakati zao za kunyakua taji la nne mfululizo la ligi ya Premier. Pep Guardiola alichukua hatua ya tahadhari alipomtoa kipa Ederson, huku City wakiwa kifua mbele kwa bao 1-0, baada ya mlinda lango namba moja kupata pigo baya kichwani baada ya kugongana na beki wa Tottenham, Cristian Romero. Ederson, ambaye alikuwa na tatizo la jicho lake, hakuonekana kufurahishwa na uamuzi huo - uliotokana na ushauri wa daktari wa klabu - lakini meneja wake alikuwa na haki kabisa, sio tu kumlinda kipa huyo wa Brazil lakini pia alikuwa na imani na mbadala wake Stefan Ortega. Na katika kipindi cha dakika 21 cha mchezo wa hali ya juu, Ortega - ambaye amefanya vyema kila anapotoka benchi kuchukua mahala pake Ederson msimu huu – huenda amekaribia kuipatia City taji lake la sita katika misimu saba. Wakati filimbi ya mwisho ilipolia na klabu ikasalia na ushindi mmoja kabla ya kutawazwa mabingwa kwa mara ya nne mfululizo, Guardiola alielekea moja kwa moja kwa Ortega na kumsalimia Mjerumani huyo kwa busu shavuni kwa mchango wake muhimu. Guardiola hakujizuia kwani alisema: "Ortega ni kipa wa kiwango cha kimataifa. Kipa wa kipekee. Ederson hakupata mtikisiko, alikuwa na tatizo kwenye jicho lake. Hakuona vizuri hivyo daktari alisema. Ninapaswa kumbadilisha." Spurs waliwafanyia dhihaka wakosoaji ambao walipendekeza wanaweza kutocheza vizuri kimakusudi kwa sababu matokeo yoyote chanya yanaweza kuwapa wapinzani wao Arsenal taji lao la kwanza la Ligi ya Premia ndani ya miaka 20. Athari ya Ortega ilikuwa ya papo hapo, akimnyima goli mchezaji wa akiba wa Spurs, Dejan Kulusevski , halafu akaokoa shambulio jingine la mchezaji huyo huyo muda mfupi baadaye. Hatari kubwa zaidi ilikuwa katika dakika za lala salama, huku City wakiwa mbele kwa bao moja, wakati Son Heung-min alipouchukua mpira na kusalia na Ortega pekee. Ilikuwa ni aina ya fursa ambayo Mkorea Kusini huyo angetumia kwa ustadi mara nyingi katika maisha yake ya Spurs. .
    Like
    Love
    5
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·198 مشاهدة
  • Like
    3
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·103 مشاهدة
  • Muda mwingne tunapaswa kuheshimu adui zetu kwakile kizuri wanacho fanya
    Muda mwingne tunapaswa kuheshimu adui zetu kwakile kizuri wanacho fanya
    Like
    Love
    3
    · 22 التعليقات ·0 المشاركات ·106 مشاهدة
  • Enjoying the new moments with
    #SocialPop
    Enjoying the new moments with #SocialPop ✨
    Like
    Love
    6
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·441 مشاهدة
  • Top 29 trending on playstore
    #socialpop
    Top 29 trending on playstore #socialpop
    Like
    Love
    Haha
    Yay
    27
    · 25 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة