
-
-
-
wanasota kutunga rhymes, freestyle nazikatia dengE
wakinikuta maskani, wanasema ni la wahuni gengE
au imekuwa kosa sisi Masela kuvuta bangE
msifananishe mtindo wa Rap na miziki ya WengE
au Maskani East zoo na Arusha pale KijengE
...bundle limemanda but........2B Continued...wanasota kutunga rhymes, freestyle nazikatia dengE wakinikuta maskani, wanasema ni la wahuni gengE au imekuwa kosa sisi Masela kuvuta bangE msifananishe mtindo wa Rap na miziki ya WengE au Maskani East zoo na Arusha pale KijengE ...bundle limemanda but........2B Continued... -
kabla hujasoma hapa jiandae kwa bero zinazokuja kukuchapA
halafu kabla hujaingia kwenye bed vua viatu au malapA
jiandae kumezwa na papa,ama kuchapwa na rapAkabla hujasoma hapa jiandae kwa bero zinazokuja kukuchapA halafu kabla hujaingia kwenye bed vua viatu au malapA jiandae kumezwa na papa,ama kuchapwa na rapA -
-
wanatupeleka wapi wanajifafanya wao ndio mambo yotE
nachukia kishenzi tabia ya wengi wao ingawa sio wotE
amtaki kupiga nyimbo paka mpewe chochotE
emcee mwenyewe hana hata bati ya dopE
halafu akupe ukanywe pombE
nadhani wakati umefika wakumtumia hata general KombE
east zoo ndiko nilko hiphop ndio chimbukO
vina ndio mwongozo.hakuna wa kunisukuma ka kondoO
redioni magazetini wanadhani wamemaliza mambO
hawa taki tena hiphop wanang`ang`aniza mapianOwanatupeleka wapi wanajifafanya wao ndio mambo yotE nachukia kishenzi tabia ya wengi wao ingawa sio wotE amtaki kupiga nyimbo paka mpewe chochotE emcee mwenyewe hana hata bati ya dopE halafu akupe ukanywe pombE nadhani wakati umefika wakumtumia hata general KombE east zoo ndiko nilko hiphop ndio chimbukO vina ndio mwongozo.hakuna wa kunisukuma ka kondoO redioni magazetini wanadhani wamemaliza mambO hawa taki tena hiphop wanang`ang`aniza mapianO -
-
-
ni sawa kupiga kelele jukwani bila kipaza sauti
ukija mjini njoo smart lakini husi chomekee suti
jipulizie perfum husije unanuka hudi
kama unataka utiifu hiki kichwa cha chief
si pendi vita na wenye game dhaifu
uwa nazoa point bila kufika uwanja wa beefni sawa kupiga kelele jukwani bila kipaza sauti ukija mjini njoo smart lakini husi chomekee suti jipulizie perfum husije unanuka hudi kama unataka utiifu hiki kichwa cha chief si pendi vita na wenye game dhaifu uwa nazoa point bila kufika uwanja wa beef