• Angalia watu ambao wana furahia furaha yako na kuhuzunika kwa huzuni yako. Hao ndio zaidi wanaostahili nafasi maalum katika moyo wako.
    Angalia watu ambao wana furahia furaha yako na kuhuzunika kwa huzuni yako. Hao ndio zaidi wanaostahili nafasi maalum katika moyo wako.
    Like
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·237 Просмотры
  • sina baya na mTU muhun ntaendeshwa na kiPI
    niliona bora liote kuTU kuliko kuendeshwa na ***PI
    sina cha kupoteZA naendeshwa na rOO
    usishangae nikipendeZA muhun naendeshwa na dOO
    nakuchek unavyohaHA wakuja unaendeshwa na peNZI
    saa hiyo napata raHA muhun ninavyoendeshwa na beNZI
    uko bar chupa na glaSS unavyomimina bIA
    ni kama uko driving a car claSS unajifunza kubadil gIA
    nilianza kitaMBO nawaeleza sikwepeSHI
    kumaanisha ata migaMBO apa mnaendeshwa kijeSHI
    sina baya na mTU muhun ntaendeshwa na kiPI niliona bora liote kuTU kuliko kuendeshwa na ***PI sina cha kupoteZA naendeshwa na rOO usishangae nikipendeZA muhun naendeshwa na dOO nakuchek unavyohaHA wakuja unaendeshwa na peNZI saa hiyo napata raHA muhun ninavyoendeshwa na beNZI uko bar chupa na glaSS unavyomimina bIA ni kama uko driving a car claSS unajifunza kubadil gIA nilianza kitaMBO nawaeleza sikwepeSHI kumaanisha ata migaMBO apa mnaendeshwa kijeSHI
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·273 Просмотры
  • dini ni Pumzi ivute kwa umakini
    Wanaita Meditation wa nini?
    Sio Padri sio Shekh wengine magirini
    Waambie upo Giza Pyramidini






    dini ni Pumzi ivute kwa umakini Wanaita Meditation wa nini? Sio Padri sio Shekh wengine magirini Waambie upo Giza Pyramidini
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·56 Просмотры

  • Walianza Enril, Annunaki na Enki
    Ndio ikaja Bible, Quran na Torati
    Ukitaka kujifunza usianzi katikati
    Anaanzaje mtoto kabla ya wazazi?








    Walianza Enril, Annunaki na Enki Ndio ikaja Bible, Quran na Torati Ukitaka kujifunza usianzi katikati Anaanzaje mtoto kabla ya wazazi?
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·256 Просмотры
  • Mabadiliko Huja Siolazima Uyaone Pia...
    Wengi Mpaka Wasukumwe Ndio Waione Njia...
    Wanadam Wengi.. Pesa pande Mbili Tu Sikia...
    Maendeleo Bila Shilingi... Duniani Yamebaki Kwenye Biblia...



    Mabadiliko Huja Siolazima Uyaone Pia... Wengi Mpaka Wasukumwe Ndio Waione Njia... Wanadam Wengi.. Pesa pande Mbili Tu Sikia... Maendeleo Bila Shilingi... Duniani Yamebaki Kwenye Biblia...
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·51 Просмотры
  • >Kurap Sio Fashion...
    >Jua Kurap Ni Passion...
    >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen...
    >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen...
    #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_
    #Set_yr_brain




    >Kurap Sio Fashion... >Jua Kurap Ni Passion... >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen... >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen... #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_ #Set_yr_brain
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры
  • Sihitaji Hasara Faidi Njoo Vyema...
    Giza Njoo Na Sala Ibilisi Nimshinde Vyema...
    Isiwe Mbinde, Kujua Adui Zangu...
    Tena Bila Upinde Ulinde Uhai Wangu...
    Asila Niweke Upande Niwapende Adui Zangu...
    Changu Nikipende Na Nitambue Wew Ni Mungu...
    Sihitaji Hasara Faidi Njoo Vyema... Giza Njoo Na Sala Ibilisi Nimshinde Vyema... Isiwe Mbinde, Kujua Adui Zangu... Tena Bila Upinde Ulinde Uhai Wangu... Asila Niweke Upande Niwapende Adui Zangu... Changu Nikipende Na Nitambue Wew Ni Mungu...
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·50 Просмотры
  • Street rap made movement 4real Hiphop...
    Revolution rapper dspute 4rap...
    Bitch talk much them lov in gun...
    Spread Lov Nigga catch em...
    Hiphop iz nation **** get out...
    U must listen union Hiphop revolution consult...
    Street rap made movement 4real Hiphop... Revolution rapper dspute 4rap... Bitch talk much them lov in gun... Spread Lov Nigga catch em... Hiphop iz nation fuck get out... U must listen union Hiphop revolution consult...
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·498 Просмотры
  • Napinga Goti Nasali, Eeh Mungu Niepushe Na Hatari/
    Mi Mwana Wako Niko Tayari, Kukuabudu Kwa Iyari/
    Sina Paku kimbilia, Naja Kwako Natubu/
    Nayosha Mkono Nishikilie, Mi Myonge Tena Sina Aibu/



    Napinga Goti Nasali, Eeh Mungu Niepushe Na Hatari/ Mi Mwana Wako Niko Tayari, Kukuabudu Kwa Iyari/ Sina Paku kimbilia, Naja Kwako Natubu/ Nayosha Mkono Nishikilie, Mi Myonge Tena Sina Aibu/
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·100 Просмотры
  • wanasema chimpanzee ndo binadamu wazamani,,,
    kweli mchagua jembe awezi kwenda shambani,,,,
    alishapotea njia yule aliegundua ramani,,,,
    jua kutofautisha kupenda na kutamani,,,
    dayle nyingi harakati lakini atujulikani,,,,
    chini mpaka kati ambakati ngumi kichwani,,,,
    asira za mmang'ati masai anakula jani,,,
    wanasema chimpanzee ndo binadamu wazamani,,, kweli mchagua jembe awezi kwenda shambani,,,, alishapotea njia yule aliegundua ramani,,,, jua kutofautisha kupenda na kutamani,,, dayle nyingi harakati lakini atujulikani,,,, chini mpaka kati ambakati ngumi kichwani,,,, asira za mmang'ati masai anakula jani,,,
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·109 Просмотры