Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-23 16:19:07 ·
    Hali Inatisha, Ngoja Tuone Wetu MwiSHO
    Maana Leo Tumefika, Mola Ndiye anajua Mtoro Wa KeSHO
    Nakusanya Vyangu, Ntarudi Badae BadAE
    Aman Kwa Watu Wangu, Oi Harakat ZipAE

    Hali Inatisha, Ngoja Tuone Wetu MwiSHO Maana Leo Tumefika, Mola Ndiye anajua Mtoro Wa KeSHO Nakusanya Vyangu, Ntarudi Badae BadAE Aman Kwa Watu Wangu, Oi Harakat ZipAE
    Like
    3
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·71 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Enea Marko @eneamarko0 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-23 18:01:47 ·
    Like
    4
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·494 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Enea Marko @eneamarko0 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-23 18:02:49 ·
    Dinner
    Dinner
    Like
    4
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·483 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Enea Marko @eneamarko0 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-23 18:07:46 ·
    Like
    Love
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·475 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-23 19:48:17 ·
    Hauwezi kuacha kama hauja anza??
    Hautambui pancha kama hauja jaza!!
    Kuitwa hanisi mwisho wa ufather??
    Kama haulegezi huwezi kaza!!
    Risasi inapo mu UA sniper!!
    Nisawa na kutunza kisasi kwa manufaa ya Lucifer!!
    Jemedari na mchukuzi!!
    who is future kati ya rijali na mkufunzi!!
    Mpe habari na mnunuzi??
    Yupi bora kati ya mtunzaji na mgundunzi!!
    Kupuuza au kutafakali upuuzi!!
    Chagua moja kujuzwa au kujifanya mjuzi!!
    Na ndio maana kamili!!
    Dunia inakwenda mbio na haichi muhimiri!!
    Kuruta na mjeda!!
    Haiwezi kuwa sawa alpha na omega!!
    Mara angekuepo nyerere!!
    Kamongo Veep angekuepo pegere!!
    Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu?? Hata wanawake wakabadili matumizi ya asili!!
    Kwa matumizi yasiyo ya asili!!

    Warumi 1:26-27
    Hauwezi kuacha kama hauja anza?? Hautambui pancha kama hauja jaza!! Kuitwa hanisi mwisho wa ufather?? Kama haulegezi huwezi kaza!! Risasi inapo mu UA sniper!! Nisawa na kutunza kisasi kwa manufaa ya Lucifer!! Jemedari na mchukuzi!! who is future kati ya rijali na mkufunzi!! Mpe habari na mnunuzi?? Yupi bora kati ya mtunzaji na mgundunzi!! Kupuuza au kutafakali upuuzi!! Chagua moja kujuzwa au kujifanya mjuzi!! Na ndio maana kamili!! Dunia inakwenda mbio na haichi muhimiri!! Kuruta na mjeda!! Haiwezi kuwa sawa alpha na omega!! Mara angekuepo nyerere!! Kamongo Veep angekuepo pegere!! Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu?? Hata wanawake wakabadili matumizi ya asili!! Kwa matumizi yasiyo ya asili!! Warumi 1:26-27
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·672 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-23 20:27:38 ·
    Nashangaaa unanikatikia saNA staki leo maana ulinikatikia jaNA
    Huogopi jua unavyonikatikia mchaNA huchoki kuzingua unavyonikatikia saNA
    Hivi kwanini unakatika katiKA lakini hii wiki ya sita unakatiKA
    Patashika ukikatika kaziNI ofisi zinafungwa ulikatika yaniNI
    Nashangaaa siku hizi sio tu nyumbani unakatika hadi BAR
    Umekuwa gumzo we ndo habari ya mtAA ebu katika bungeni ukiweza hata kwa lisAA
    Unanitesa me mwananchi haukatiki serikaliNI jaribu fanya vimbwanga ukatike hata jeshiNI
    Umekuwa wa mgao umeme hivi we waniNI
    Nashangaaa unanikatikia saNA staki leo maana ulinikatikia jaNA Huogopi jua unavyonikatikia mchaNA huchoki kuzingua unavyonikatikia saNA Hivi kwanini unakatika katiKA lakini hii wiki ya sita unakatiKA Patashika ukikatika kaziNI ofisi zinafungwa ulikatika yaniNI Nashangaaa siku hizi sio tu nyumbani unakatika hadi BAR Umekuwa gumzo we ndo habari ya mtAA ebu katika bungeni ukiweza hata kwa lisAA Unanitesa me mwananchi haukatiki serikaliNI jaribu fanya vimbwanga ukatike hata jeshiNI Umekuwa wa mgao umeme hivi we waniNI
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·248 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-23 20:56:19 ·
    Kiukweli kwako nimekuwa km kero/
    Ukizingatia sijawahi kukup hata jero/
    Nilikuzingua ukawazuia wazazi wasiniweke sero/
    Au ndo umedata na ile yangu katelero/

    Kiukweli kwako nimekuwa km kero/ Ukizingatia sijawahi kukup hata jero/ Nilikuzingua ukawazuia wazazi wasiniweke sero/ Au ndo umedata na ile yangu katelero/
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·70 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-23 21:01:27 ·
    Unataka niachane na maisha ya ujana/
    Kwako kabisa sijawahi kuwa mtwana/
    Kitu kidogo tu unakula makofi nakutukana/
    Lkn bado unanipenda sana/

    Unataka niachane na maisha ya ujana/ Kwako kabisa sijawahi kuwa mtwana/ Kitu kidogo tu unakula makofi nakutukana/ Lkn bado unanipenda sana/
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·71 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-23 21:09:31 ·
    Ulisema hupendi vya ku share/
    Na bado marafiki zako nikawatokea/
    Ulipogundua still me I don't care/
    Yote hukujali ukapotezea/

    Ulisema hupendi vya ku share/ Na bado marafiki zako nikawatokea/ Ulipogundua still me I don't care/ Yote hukujali ukapotezea/
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·681 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-23 21:16:02 ·
    Mara kibao umeshanifumania/
    Viuno vichochoroni nimekamatia/
    Hukusema kitu ukabaki tu kulia/
    Nisamehe maana mara nyingi nimekufanya kuumia/

    Mara kibao umeshanifumania/ Viuno vichochoroni nimekamatia/ Hukusema kitu ukabaki tu kulia/ Nisamehe maana mara nyingi nimekufanya kuumia/
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·70 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (6711-6720 από 29811)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 670
  • 671
  • 672
  • 673
  • 674
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers