نتائج البحث
عرض كل النتائج
Socialpop Socialpop Socialpop
الرئيسية
المجموعات
الصفحات
سوق المنتجات
شاهد المزيد
المجموعات الصفحات سوق المنتجات المناسبات المدونات التمويل مفاوضاتي وظائف Courses المنتديات الافلام
انضم إلينا
تسجيل الدخول تسجيل
Theme Switcher
الوضع المظلم
الدليل
المستخدمون
المنشورات
الصفحات
المجموعات
المناسبات
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:25:45 ·
    kuna jamaa yangu leo siku ya sita ktk week namkuta anakula dagaa wa mwanza nae akiwa dodoma!!
    NIMEMWAMBIA NATAKA KUFANYA BIASHARA YA DAGAA KANIJIBU hailipi na hakuna wateja hapa dodoma!!
    kuna jamaa yangu leo siku ya sita ktk week namkuta anakula dagaa wa mwanza nae akiwa dodoma!! NIMEMWAMBIA NATAKA KUFANYA BIASHARA YA DAGAA KANIJIBU hailipi na hakuna wateja hapa dodoma!!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·834 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:30:09 ·
    Mwanaume tajiri ni yule aliye na akiba ya mke msikivu,muelevu,mvumilivu,mgunduzi,mwenye hekima....mwisho mwishoni AWE MCHA MUNGU.
    #tatizo yesu akuoa kwenye ule mkanda wa maigizo
    Mwanaume tajiri ni yule aliye na akiba ya mke msikivu,muelevu,mvumilivu,mgunduzi,mwenye hekima....mwisho mwishoni AWE MCHA MUNGU. #tatizo yesu akuoa kwenye ule mkanda wa maigizo
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·297 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:32:35 ·
    muda mwingine tuache kuziwaza shida!!
    zinaishi milele ka marehemu Remmy Ongala track ya shida!!
    muda mwingine tuache kuziwaza shida!! zinaishi milele ka marehemu Remmy Ongala track ya shida!!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·79 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:36:56 ·
    muajiri anataka wafanyakazi wenye uzoefu wa miaka 4 lkn wawe na miaka 20......kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vya experience kuanzia tumboni/chekechea ili kuendana na akili #finyu za waafrica wenye kazi zao.
    muajiri anataka wafanyakazi wenye uzoefu wa miaka 4 lkn wawe na miaka 20......kuna umuhimu wa kuanzisha vyuo vya experience kuanzia tumboni/chekechea ili kuendana na akili #finyu za waafrica wenye kazi zao.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·141 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:39:56 ·
    Tatizo tunaupenda umaskini, na tunawakataa maskini!!
    suluhisho
    Tuwapende maskini, na tuukatae umaskini!!
    Tatizo tunaupenda umaskini, na tunawakataa maskini!! 😥😥suluhisho Tuwapende maskini, na tuukatae umaskini!!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·78 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:49:44 ·
    Mi navunja kibubu cha mistari, we unavunjika moyo!!
    Wanasema ben kimichano singati, wananiitA kibogoyo!!
    I believe kwenye hip hop, naamini one day yes!!
    Eti sisomeki KWA map, lakini kwangu sio kesi!!
    Mi ni tajiri wa mistari, lakini sio pundamilia!!
    Naunguza ka sigara kali, kama vipodozi na kemikali!!
    Niite nyuki kwenye rap, tungo zangu ndo asali!!
    Mi navunja kibubu cha mistari, we unavunjika moyo!! Wanasema ben kimichano singati, wananiitA kibogoyo!! I believe kwenye hip hop, naamini one day yes!! Eti sisomeki KWA map, lakini kwangu sio kesi!! Mi ni tajiri wa mistari, lakini sio pundamilia!! Naunguza ka sigara kali, kama vipodozi na kemikali!! Niite nyuki kwenye rap, tungo zangu ndo asali!!
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·290 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:53:06 ·
    Penzi kaa mswaki...sipendi kushare..
    Penzi la kiwaki....me nilimcare.
    Kuvutana mashati...me i don't care..
    Kuchepuka staki...hyo is no fair..
    Penzi kaa mswaki...sipendi kushare.. Penzi la kiwaki....me nilimcare. Kuvutana mashati...me i don't care.. Kuchepuka staki...hyo is no fair..
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·212 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 19:59:17 ·
    kwa baràka zà jaah,, na love na wana wa mtaa//
    maombi ya ndugu zangu,, yanioñgoze kishujaa//

    natengà ràph kwa mafungu,, nsije shinda njaaa//
    naaso kutafutà làngu fungu,,ili niishi kishujaa//

    kila koñà ya jiji,, tuñàfight balaa,,//
    ili kupata ulaji,, nakuteñgeneza çhapaa//

    life imekuwa ngumu,, mitaan hatushikiki//
    yametubàna majukumu,, ya mengi na mikikimikiki//
    kwa baràka zà jaah,, na love na wana wa mtaa// maombi ya ndugu zangu,, yanioñgoze kishujaa// natengà ràph kwa mafungu,, nsije shinda njaaa// naaso kutafutà làngu fungu,,ili niishi kishujaa// kila koñà ya jiji,, tuñàfight balaa,,// ili kupata ulaji,, nakuteñgeneza çhapaa// life imekuwa ngumu,, mitaan hatushikiki// yametubàna majukumu,, ya mengi na mikikimikiki//
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·265 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 20:03:33 ·
    Nimepitia vingi vigingi/
    Kwenye mnvua jua nabalidi/
    Kidume kwenye haso nikajitaidi/
    Nusura ata kopeza uhai/
    Asubui mchana nasaka kama ndege tai/
    Majukumu ndio yaliyo nipa ujasili/
    Sasa basi naitaji mtaji nijiajili/
    Ingawa bado sio tajiri/
    Nauvaa ujasilia mali/
    Nimepitia vingi vigingi/ Kwenye mnvua jua nabalidi/ Kidume kwenye haso nikajitaidi/ Nusura ata kopeza uhai/ Asubui mchana nasaka kama ndege tai/ Majukumu ndio yaliyo nipa ujasili/ Sasa basi naitaji mtaji nijiajili/ Ingawa bado sio tajiri/ Nauvaa ujasilia mali/
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·68 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-25 20:04:04 ·
    Nimepitia vingi vigingi/
    Kwenye mnvua jua nabalidi/
    Kidume kwenye haso nikajitaidi/
    Nusura ata kopeza uhai/
    Asubui mchana nasaka kama ndege tai/
    Majukumu ndio yaliyo nipa ujasili/
    Sasa basi naitaji mtaji nijiajili/
    Ingawa bado sio tajiri/
    Nauvaa ujasilia mali/
    Nimepitia vingi vigingi/ Kwenye mnvua jua nabalidi/ Kidume kwenye haso nikajitaidi/ Nusura ata kopeza uhai/ Asubui mchana nasaka kama ndege tai/ Majukumu ndio yaliyo nipa ujasili/ Sasa basi naitaji mtaji nijiajili/ Ingawa bado sio tajiri/ Nauvaa ujasilia mali/
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·73 مشاهدة
    الرجاء تسجيل الدخول , للأعجاب والمشاركة والتعليق على هذا!
  • عرض (6851-6860 من 29861)
  • «
  • السابق
  • 684
  • 685
  • 686
  • 687
  • 688
  • التالي
  • »
ترقية الحساب
اختر الخطة التي تناسبك
ترقية
© 2025 Socialpop
Arabic
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
الشروط الخصوصية اتصل بنا الدليل المطوريين