• Ukinipa uhai nipe na mishe..
    Tabasam alionekan sura imekosa lishe..
    Sina nafuu had baridi ina choma..
    Mawazo yameniandama mpka yana leta homa..
    Mfuko aucheki mpka mia naitaman..
    Au mjini ninagundu nyota yangu mi ya shambani..
    Fanya kieleweke.. iweje niteseke..
    Baraka kila atua.. Nikumbushe kuomba dua..
    Hii life aicheki nipe nguvu ya kutusua..
    Cjal kukonda kunenepa kunakuja..
    Cfi uwanja wa vta ntasimama kama soja..
    Ibaliki elfu tatu kesho iwe million..
    Nipe maarifa nisiote magari ya ndotoni..
    Ata majilani wananiona kama mwizi..
    Wanawaambia watoto wao wasi mzoee uyu chizi..
    Handsome boy muonekana uliojificha..
    Shida zimetawala na changamoto za maisha..
    Ukinipa uhai nipe na mishe.. Tabasam alionekan sura imekosa lishe.. Sina nafuu had baridi ina choma.. Mawazo yameniandama mpka yana leta homa.. Mfuko aucheki mpka mia naitaman.. Au mjini ninagundu nyota yangu mi ya shambani.. Fanya kieleweke.. iweje niteseke.. Baraka kila atua.. Nikumbushe kuomba dua.. Hii life aicheki nipe nguvu ya kutusua.. Cjal kukonda kunenepa kunakuja.. Cfi uwanja wa vta ntasimama kama soja.. Ibaliki elfu tatu kesho iwe million.. Nipe maarifa nisiote magari ya ndotoni.. Ata majilani wananiona kama mwizi.. Wanawaambia watoto wao wasi mzoee uyu chizi.. Handsome boy muonekana uliojificha.. Shida zimetawala na changamoto za maisha..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·396 Views
  • Sawa we nenda Nakuatakia baraka..
    Uendako uwe na baraka.. wala usiwe na mashaka..
    Najua ahadi zangu Ndio zilikuumiza..
    Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza..
    Leo unandoka Auachi ata ndala..
    Niachie ata picha Usiku niweze lala..
    Ntamic harufu yako.. Mafuta yako..
    Ntamic hadi macho pia napenz lako..
    Usione siumii.. ila ndio bac..
    Najikaza kishababi.. Kama cna wac wac..
    Mpk nyau piaa atakukumbuka..
    Kwa yako mapishi Naona jikoni pata umbuka..
    Ntamic cheko lako.. Furaha yangu ipo kwako..
    Sawa we nenda Nakuatakia baraka.. Uendako uwe na baraka.. wala usiwe na mashaka.. Najua ahadi zangu Ndio zilikuumiza.. Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza.. Leo unandoka Auachi ata ndala.. Niachie ata picha Usiku niweze lala.. Ntamic harufu yako.. Mafuta yako.. Ntamic hadi macho pia napenz lako.. Usione siumii.. ila ndio bac.. Najikaza kishababi.. Kama cna wac wac.. Mpk nyau piaa atakukumbuka.. Kwa yako mapishi Naona jikoni pata umbuka.. Ntamic cheko lako.. Furaha yangu ipo kwako..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·153 Views
  • Nn utake moyo Acha kunishawishi..
    Nimependa chakula We unamtaka shishi..
    ulitaman pombe Nikanywa had na gongo..
    nikalewa nikaanza kuongea pumba fyongo..
    We moyo acha izo Ntachoka mwenzako..
    Niache nipumzike nmechoka mambo yako..
    nimechoka mambo yako Moyo una shukurani..
    mm na ndevu zangu naiba mke wa jilani...
    we moyo kuwa care.. Utakuja kuniua..
    Sahv cpo powa.. Nikilud omba dua..
    Makovu yote We moyo why this..
    nta kung'oa nikutupe niiamini filigisi..
    Ebu acha tamaa.. Moyo kuwa shujaa..
    Usipende kira mtu wengine huwa vichaa..
    Nn utake moyo Acha kunishawishi.. Nimependa chakula We unamtaka shishi.. ulitaman pombe Nikanywa had na gongo.. nikalewa nikaanza kuongea pumba fyongo.. We moyo acha izo Ntachoka mwenzako.. Niache nipumzike nmechoka mambo yako.. nimechoka mambo yako Moyo una shukurani.. mm na ndevu zangu naiba mke wa jilani... we moyo kuwa care.. Utakuja kuniua.. Sahv cpo powa.. Nikilud omba dua.. Makovu yote We moyo why this.. nta kung'oa nikutupe niiamini filigisi.. Ebu acha tamaa.. Moyo kuwa shujaa.. Usipende kira mtu wengine huwa vichaa..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·238 Views
  • Sasa nimekuwa ngwiji.. siku hizi ninapaa..
    Huu ulidhi wa bibi.. So siwez kuzubaa..
    Nimekuwa atari.. Nawanga had mchana..
    Nawatesa majilani.. wanaumwa wiki mzima..
    Naona raha.. Natembea niko uchi..
    Ningekuwa na simu ninge piga ata selfi..
    Uchawi umenoga.. Na loga hadi wakubwa..
    Nawao wanakimbia Nimekuwa babu kubwa..
    Nachunga misukule.. nawafanya kama ng'ombe..
    Naloga hadi kanisa ata waumini waombe..
    Nasababisha ajali.. Natoa hadi kafara..
    Shetani afulahi.. Kwangu azidi kuchachawa..
    Naloga hadi waganga.. mwamposa amesanda..
    Naloga hadi wanyama.. Siachi kuku wala kanga..
    Usiku napaa Kama npo kwenye ndege..
    Japo aina mziki Nasafili kimawenge..
    Nilimloga ex wangu kalio likaisha..
    Nikawa na mcheka ni nini atatingisha..
    Sasa nimekuwa ngwiji.. siku hizi ninapaa.. Huu ulidhi wa bibi.. So siwez kuzubaa.. Nimekuwa atari.. Nawanga had mchana.. Nawatesa majilani.. wanaumwa wiki mzima.. Naona raha.. Natembea niko uchi.. Ningekuwa na simu ninge piga ata selfi.. Uchawi umenoga.. Na loga hadi wakubwa.. Nawao wanakimbia Nimekuwa babu kubwa.. Nachunga misukule.. nawafanya kama ng'ombe.. Naloga hadi kanisa ata waumini waombe.. Nasababisha ajali.. Natoa hadi kafara.. Shetani afulahi.. Kwangu azidi kuchachawa.. Naloga hadi waganga.. mwamposa amesanda.. Naloga hadi wanyama.. Siachi kuku wala kanga.. Usiku napaa Kama npo kwenye ndege.. Japo aina mziki Nasafili kimawenge.. Nilimloga ex wangu kalio likaisha.. Nikawa na mcheka ni nini atatingisha..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·100 Views
  • Baba nibaliki nitoboe hiii life..
    Hal yangu siyo mzuri ame left hadi wife..
    Sina njia nyingi.. nakuomba uni bless..
    Harakati ziwe nyingi.. nipe na njia nyepesi..
    Nipe liziki ya kushiba niijaze pochi..
    Mishe zisizo isha life yangu iwe soft..
    Baba wambinguni nibaliki kira atua..
    Kira mishe isifeli ili niweze kutusua..
    Baba wachome wanga.. Wachawi wakimbize nipe nguvu ya ushindi..
    Baba usiniache.. Wanga wakafulai..
    Nizunguke kira kona.. hadi waseme najidai..
    Nipe macho ya hekima naya kuona vema..
    Dunia ina mengi ili nipate mke mwema..
    Baba kaa nami ni usiku tena..
    Dunia inagiza nisije nikazama tenaa..
    Hee mungu wa mbinguni... Usiluhusu uzuni.. Nataka ni fulahi unikumbuke na mbinguni..
    Nipe kichwa chepesi nilijue neno lako..
    Hee baba nibaliki nitokapo niingiapo pasipo bila uwepo wako..
    Ameeen
    Baba nibaliki nitoboe hiii life.. Hal yangu siyo mzuri ame left hadi wife.. Sina njia nyingi.. nakuomba uni bless.. Harakati ziwe nyingi.. nipe na njia nyepesi.. Nipe liziki ya kushiba niijaze pochi.. Mishe zisizo isha life yangu iwe soft.. Baba wambinguni nibaliki kira atua.. Kira mishe isifeli ili niweze kutusua.. Baba wachome wanga.. Wachawi wakimbize nipe nguvu ya ushindi.. Baba usiniache.. Wanga wakafulai.. Nizunguke kira kona.. hadi waseme najidai.. Nipe macho ya hekima naya kuona vema.. Dunia ina mengi ili nipate mke mwema.. Baba kaa nami ni usiku tena.. Dunia inagiza nisije nikazama tenaa.. Hee mungu wa mbinguni... Usiluhusu uzuni.. Nataka ni fulahi unikumbuke na mbinguni.. Nipe kichwa chepesi nilijue neno lako.. Hee baba nibaliki nitokapo niingiapo pasipo bila uwepo wako.. Ameeen🤔
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·715 Views
  • tupo motoni tuna ungua .....kira mtu ana lia
    Namuona hadi pastor ...... Nayeye ana ungua....//

    Aiseee cyo powaa ... Raia naona wengi
    Namuona hadi wife .... Aisee naona mengi.....//

    Vilio vmetawala..... Wanaume wanawake
    Kira mtu ana lia .... Kwajili ya zambi zake......//

    machoz yamejaa... Ayazimi ata moto
    Sio wakubwa ndugu .....wanaungua hadi watoto.......//

    Namuona shetani .....ana ungua akicheka
    Anaonekana ana amani .... Sisi tunateseka ......//

    Inatisha sanaa...... Jehanam sio powa
    Aichagui mwenye zambi ....ata uwe changu doa......//

    Wote tumeungua .... Tuna rangi moja
    tumefunikwa na moto ..... Tunalia kira mmoja.....//

    Akuna uokoaji ..... Huu moto unatisha
    Ata uwe zima moto..... Kwa huu moto unasepa......//
    tupo motoni tuna ungua .....kira mtu ana lia Namuona hadi pastor ...... Nayeye ana ungua....// Aiseee cyo powaa ... Raia naona wengi Namuona hadi wife .... Aisee naona mengi.....// Vilio vmetawala..... Wanaume wanawake Kira mtu ana lia .... Kwajili ya zambi zake......// machoz yamejaa... Ayazimi ata moto Sio wakubwa ndugu .....wanaungua hadi watoto.......// Namuona shetani .....ana ungua akicheka Anaonekana ana amani .... Sisi tunateseka ......// Inatisha sanaa...... Jehanam sio powa Aichagui mwenye zambi ....ata uwe changu doa......// Wote tumeungua .... Tuna rangi moja tumefunikwa na moto ..... Tunalia kira mmoja.....// Akuna uokoaji ..... Huu moto unatisha Ata uwe zima moto..... Kwa huu moto unasepa......//
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·194 Views
  • Sawa we nenda .. Nakuatakia baraka
    Uendako uwe good wala usiwe na mashaka.....***

    ~najua ahadi zangu .... Ndio zilikuumiza
    Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza .....//

    Leo unandoka..... Auchi ata ndala
    Niachie ata picha .... Usiku niweze lala.....//

    Ntamic harufu yako .... Mafuta yako
    Ntamic hadi macho pia napenz lako......//

    Usione siumii .....ira ndio bac
    Najikaza kishababi.... Kama cna wac wac......//

    Mpk nyau piaa...... atakukumbuka
    Kwa yako mapishi ......Naona jikoni pata umbuka ....//

    Malkia wangu ... Nyonga Mkalia ini
    Leo una ndoka....... nabak alone mm.....//

    Fanya kama uend .....ludi mpenz
    Usiniache nitachekwa ....ntateseka na mapenz.....//

    Ntamic cheko rako .... Fulaha yangu ipo kwako
    Ukifika uendako ..... Nisikie sauti yako ......//

    inamaana leo mwisho.......ata kunikumbatia
    Lile busu ra shavuni nani nitampatia.....//

    Nalia na mengi..... Usiseme niwe sawa
    Mm kwako nlifika .... Napia nilipagawa.....//

    My love pliz .....usinyanyue ata begi
    Mtalia kama mtoto.. .... aliye pigwa mijeledi.....//
    Sawa we nenda .. Nakuatakia baraka Uendako uwe good wala usiwe na mashaka.....*** ~najua ahadi zangu .... Ndio zilikuumiza Hali yangu ya kimaisha pia ilikuliza .....// Leo unandoka..... Auchi ata ndala Niachie ata picha .... Usiku niweze lala.....// Ntamic harufu yako .... Mafuta yako Ntamic hadi macho pia napenz lako......// Usione siumii .....ira ndio bac Najikaza kishababi.... Kama cna wac wac......// Mpk nyau piaa...... atakukumbuka Kwa yako mapishi ......Naona jikoni pata umbuka ....// Malkia wangu ... Nyonga Mkalia ini Leo una ndoka....... nabak alone mm.....// Fanya kama uend .....ludi mpenz Usiniache nitachekwa ....ntateseka na mapenz.....// Ntamic cheko rako .... Fulaha yangu ipo kwako Ukifika uendako ..... Nisikie sauti yako ......// inamaana leo mwisho.......ata kunikumbatia Lile busu ra shavuni nani nitampatia.....// Nalia na mengi..... Usiseme niwe sawa Mm kwako nlifika .... Napia nilipagawa.....// My love pliz .....usinyanyue ata begi Mtalia kama mtoto.. .... aliye pigwa mijeledi.....//
    Like
    Love
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·115 Views
  • Unaye mdai ana hela.. Lakini auamini..
    Wewe mwenyewe una njaa.. Ujui utakufa lini..
    Shida ipo ndani.... Kchwa kimejaa mawazo..
    Watoto wanalia njaa mke amelazwa wazo..
    Unalia chinichini.. Ujui utafanya nini..
    Ndugu uliowaamini.. Wamekuchinjaa baharini..
    Rafiki zako wafaida.. Una waona hasara..
    Wako bar wanalewa ....kwenye shida awana hela..
    Mwenye nyumba ana kuona.. Kukudai anaogopa..
    Akiona shida zako yeye mwenyewe anachoka..
    Cyo kwamba ana shida.. Na yeye anasomesha..
    Ila kwako zimezidi kama vumbi kwenye taka..
    unabaki unalia machozi yanakutoka..
    Huo ndio ukubwa ndevu kama ukoka..
    Unaye mdai ana hela.. Lakini auamini.. Wewe mwenyewe una njaa.. Ujui utakufa lini.. Shida ipo ndani.... Kchwa kimejaa mawazo.. Watoto wanalia njaa mke amelazwa wazo.. Unalia chinichini.. Ujui utafanya nini.. Ndugu uliowaamini.. Wamekuchinjaa baharini.. Rafiki zako wafaida.. Una waona hasara.. Wako bar wanalewa ....kwenye shida awana hela.. Mwenye nyumba ana kuona.. Kukudai anaogopa.. Akiona shida zako yeye mwenyewe anachoka.. Cyo kwamba ana shida.. Na yeye anasomesha.. Ila kwako zimezidi kama vumbi kwenye taka.. unabaki unalia machozi yanakutoka.. Huo ndio ukubwa ndevu kama ukoka..
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·67 Views
  • Sehemu ya siri.. hii sehemu huwa siri..
    Hii sehemu ina fichwa ili kubaki siri..
    Hii sehem adim.. Siri tamu sio ndim..
    Ata ukiwa umepinda hii sehemu utaiheshim..
    Ogopa kuuza siri.. Ogopa kutoa siri..
    Hii sehem ina heshima.. Basi onja kisiri siri..
    Ukijua sehem siri.. Ukila sehem siri..
    Usitangeze yake siri.. Utafanya ukatili..
    Baadhi ya nguo nazo azina siri..
    Azifichi kama dela zina weka wazi siri..
    Chunga yako siri.. Hiyo yako namba siri..
    Ukijidai washa washa utajikuna kisiri siri..
    Tulia kama moja makumi utoa siri..
    Wa heshim warembo madada wanayo siri..
    Danga ana jua.. Siri yake naijua..
    Ata akigoma powa Mambo yake naya jua..
    Tunza iyo siri.. Makinii kuwa msiri..
    Usionyeshe sehem siri.. Wasije kutoa siri..
    Nimemalizaa#
    Sehemu ya siri.. hii sehemu huwa siri.. Hii sehemu ina fichwa ili kubaki siri.. Hii sehem adim.. Siri tamu sio ndim.. Ata ukiwa umepinda hii sehemu utaiheshim.. Ogopa kuuza siri.. Ogopa kutoa siri.. Hii sehem ina heshima.. Basi onja kisiri siri.. Ukijua sehem siri.. Ukila sehem siri.. Usitangeze yake siri.. Utafanya ukatili.. Baadhi ya nguo nazo azina siri.. Azifichi kama dela zina weka wazi siri.. Chunga yako siri.. Hiyo yako namba siri.. Ukijidai washa washa utajikuna kisiri siri.. Tulia kama moja makumi utoa siri.. Wa heshim warembo madada wanayo siri.. Danga ana jua.. Siri yake naijua.. Ata akigoma powa Mambo yake naya jua.. Tunza iyo siri.. Makinii kuwa msiri.. Usionyeshe sehem siri.. Wasije kutoa siri.. Nimemalizaa#
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·872 Views
  • Nko juu...kiupendo
    Taratibu. ..ndio mwendo......
    Nmenasa kwako mama ...nmeziba ilo pengo.....//

    Wewe ndio wamalengo ...napenda wako upendo
    Umesimama kama moja ...huna mapepe wala zengo....//

    Askali wa moyo.....asali wa moyo
    Vile ukinanilii...mi nakuwa kibogoyo....//

    Ufundi wako naujua....kwa mapishi unajua
    Kiukweli unatisha kama maradi na mvua..../.

    Malaika wa ubavu .....ata nipige kavu
    Cna ofu na wwe ....kama paper na kitabu.....//

    Cna mbadala wako....kwangu uko peke yako
    Amin ninakupenda ....tuwe wote mpak kifo.....//

    My wushu nakagawa.....ndan ya tempo napagawa
    Nakuwa kama kichaa milembe na we ndio dawa....//
    Nko juu...kiupendo Taratibu. ..ndio mwendo...... Nmenasa kwako mama ...nmeziba ilo pengo.....// Wewe ndio wamalengo ...napenda wako upendo Umesimama kama moja ...huna mapepe wala zengo....// Askali wa moyo.....asali wa moyo Vile ukinanilii...mi nakuwa kibogoyo....// Ufundi wako naujua....kwa mapishi unajua Kiukweli unatisha kama maradi na mvua..../. Malaika wa ubavu .....ata nipige kavu Cna ofu na wwe ....kama paper na kitabu.....// Cna mbadala wako....kwangu uko peke yako Amin ninakupenda ....tuwe wote mpak kifo.....// My wushu nakagawa.....ndan ya tempo napagawa Nakuwa kama kichaa milembe na we ndio dawa....//
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·877 Views