Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Paul Swai @paulswai πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-29 11:02:41 ·
    Remove two apps … ?
    Remove two apps … ?
    Like
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·61 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 12:03:26 ·
    Natumia mda Huu... kuwakumbusha Msali...

    Nilitumia mda Ule.... kwa bebe na Pisi Kali..

    Huu Ndo mda Ambao.... muhun Napiga.... Goti...ll

    Nilitumia Muda mwingi.... Kutafta ustaa..Babu..

    Nikakosa Vya Msingi.. Nikakosa Adi Ustaa..Rabu..

    Nikawa Mtu Wa Tungi... kushi na Matap.... Tapu..

    Skujal Mda Dingi.... any Time Narap... Rapu...

    Mda Huo Wakanipa sifa... wakashindwa Kunipa... Ajira...

    Na walijua Fika... bwege Nadhalilisha.... Hadhira...

    Sifa Imenijengea Chuki.... manyanyaso... na Masimango...

    Mda wao wanapiga Hatua... mm Nilipigania.... Warembo....

    Leo Hii Napiga Dua.... na Machiz Tukipigania.... Makombo...

    Piga swaga.. Mraka... Utaskia Nipe Mda...
    Natumia mda Huu... kuwakumbusha Msali... Nilitumia mda Ule.... kwa bebe na Pisi Kali.. Huu Ndo mda Ambao.... muhun Napiga.... Goti...ll Nilitumia Muda mwingi.... Kutafta ustaa..Babu.. Nikakosa Vya Msingi.. Nikakosa Adi Ustaa..Rabu.. Nikawa Mtu Wa Tungi... kushi na Matap.... Tapu.. Skujal Mda Dingi.... any Time Narap... Rapu... Mda Huo Wakanipa sifa... wakashindwa Kunipa... Ajira... Na walijua Fika... bwege Nadhalilisha.... Hadhira... Sifa Imenijengea Chuki.... manyanyaso... na Masimango... Mda wao wanapiga Hatua... mm Nilipigania.... Warembo.... Leo Hii Napiga Dua.... na Machiz Tukipigania.... Makombo... Piga swaga.. Mraka... Utaskia Nipe Mda...
    Like
    Love
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·206 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 12:19:16 ·
    Watabir... Wakatabiri... Nitakuja kuwa Muhubir...

    Walichotabir... Nikaghahir... Apo kichwa Ndo Sifuri...

    Kwenye moja... hakuna Mbili... Pasipo na Juhudiii..

    Nivunge Ndan... nje hawanioni... Nikichambua Mmea....

    Ndo Muda Ambao... Nasiz... Nakufrestyle like A Ngweaa...

    Muda We Unafrah... Kwenye fredge... Moyo Uwe Shwar...

    Ndo Muda Mwenzio Analia... Kwenye Fredge... Uko Mochwar...
    Watabir... Wakatabiri... Nitakuja kuwa Muhubir... Walichotabir... Nikaghahir... Apo kichwa Ndo Sifuri... Kwenye moja... hakuna Mbili... Pasipo na Juhudiii.. Nivunge Ndan... nje hawanioni... Nikichambua Mmea.... Ndo Muda Ambao... Nasiz... Nakufrestyle like A Ngweaa... Muda We Unafrah... Kwenye fredge... Moyo Uwe Shwar... Ndo Muda Mwenzio Analia... Kwenye Fredge... Uko Mochwar...
    Like
    Love
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·74 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Johnson Yaredi @123 ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2024-06-29 12:25:35 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·304 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-29 12:30:46 ·
    Chakula kipo mezani...uje...chapu...
    Njoo na sahani..tupakue...App...
    Chakula kipo mezani...uje...chapu... Njoo na sahani..tupakue...App...
    Like
    Love
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·69 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Ignas Raymond @Mligo001 ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2024-06-29 12:38:44 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·299 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 12:40:40 ·
    Unajiita pisi kali kilo sabini unakitambi...
    Dada acha ufala wewe furushi la magimbi...
    Wakikuuliza Shillah why ana single moja tangia elfu mbili...
    Shororo kung'atwa na mbu uvumilivu duni...
    Maninja kunang'atwa na mbung'o na hatujikuni...
    Ukitaka kunielewa mimi kwanza towa mawazo duni...
    𝚋𝚘𝚜𝚜 𝚠𝚊 𝚙𝚒𝚜𝚒 𝚔𝚊𝚕𝚒 𝚣𝚎𝚗𝚞Ꙭ
    Unajiita pisi kali kilo sabini unakitambi... Dada acha ufala wewe furushi la magimbi... Wakikuuliza Shillah why ana single moja tangia elfu mbili... Shororo kung'atwa na mbu uvumilivu duni... Maninja kunang'atwa na mbung'o na hatujikuni... Ukitaka kunielewa mimi kwanza towa mawazo duni... 𝚋𝚘𝚜𝚜 𝚠𝚊 𝚙𝚒𝚜𝚒 𝚔𝚊𝚕𝚒 𝚣𝚎𝚗𝚞Ꙭ
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·356 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • GODFREY HAICHA @HI_69 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-29 12:49:06 ·
    Like
    Love
    Haha
    6
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·461 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666
    2024-06-29 12:50:59 ·
    Demu ukimwita getto basi atataka chipsi...
    Sio kavu atakuteta uweke na mishikaki...
    Pembeni ya baridi Pepsi au Mango juice...
    Mara atamisi kuku mazee wizi mtupu...
    Atajifanya amekolea kumbe boda tukutuku...
    Mchizi umejichochea yapweza yamoto supu...
    Muda ukisubilia umchakaze chukuchuku...
    Kabla ya game kuanza atasema subiri kwanza...
    Nadaiwa kikoba ela ya wanja kijora kwa mama sanga...
    Si ushavua mkanda utatoa mkwanja...
    Utampa ela ya kodi nyumba mpka na shamba...
    Atakubeza kwa miguno ili ufungue pochi...
    Umgande konokono mwisho upige saluti...
    Atakuunga mkono akisema baby sikuachi...
    Anaeweza kuflow anipagawishe na verse ya pili
    Nita share screenshot
    𓀬
    Demu ukimwita getto basi atataka chipsi... Sio kavu atakuteta uweke na mishikaki... Pembeni ya baridi Pepsi au Mango juice... Mara atamisi kuku mazee wizi mtupu... Atajifanya amekolea kumbe boda tukutuku... Mchizi umejichochea yapweza yamoto supu... Muda ukisubilia umchakaze chukuchuku... Kabla ya game kuanza atasema subiri kwanza... Nadaiwa kikoba ela ya wanja kijora kwa mama sanga... Si ushavua mkanda utatoa mkwanja... Utampa ela ya kodi nyumba mpka na shamba... Atakubeza kwa miguno ili ufungue pochi... Umgande konokono mwisho upige saluti... Atakuunga mkono akisema baby sikuachi... Anaeweza kuflow anipagawishe na verse ya pili Nita share screenshot 𓀬
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·636 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Bernard John @Ben666 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-06-29 12:59:24 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·66 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (7381-7390 από 30026)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 737
  • 738
  • 739
  • 740
  • 741
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers