0 Commenti
·0 condivisioni
·467 Views
-
-
-
-
-
-
Nawatangazia Shem Wenu, Nimeoa Familia Ya Mzee MUZIKI Mrembo Aitwaye HIP HOP.
Nimezaa Nae Watoto Wanne Ambao IDEA, VERSE, CHORUS na VINA.
to be continued...Nawatangazia Shem Wenu, Nimeoa Familia Ya Mzee MUZIKI Mrembo Aitwaye HIP HOP. Nimezaa Nae Watoto Wanne Ambao IDEA, VERSE, CHORUS na VINA. to be continued... -
Hakuna siku utakayomaliza matatizo yako yote, Jipe muda wa kufurahia machache uliyofanikisha .
Make yourself busy enough so that you have no time to worry .Hakuna siku utakayomaliza matatizo yako yote, Jipe muda wa kufurahia machache uliyofanikisha 🙏. Make yourself busy enough so that you have no time to worry 😌. -
Palipo namimi.jua kunababa...
Hata akiwa kabulini.ntamfanyia ibada...
Wote tupo safalini.sijui siku yakumfata baba...
Tulio hai kujifunza kwamakini.nakutoa msada...
Usishangae ujinga wa mwenda wazimu.kukosa msada...
Nyumbani hakuwa muhimu.kwanyingi lazi Zababa...Palipo namimi.jua kunababa... Hata akiwa kabulini.ntamfanyia ibada... Wote tupo safalini.sijui siku yakumfata baba... Tulio hai kujifunza kwamakini.nakutoa msada... Usishangae ujinga wa mwenda wazimu.kukosa msada... Nyumbani hakuwa muhimu.kwanyingi lazi Zababa...