• Mengi yamekuwa mwiba, na wanyonge tuko,, peku...
    Maisha yamekuwa shida, kwa vibonde huko,, kwetu...
    Tusonge yupo, yesu...
    Ama tupondwe nyuso, zetu...
    Basi, imekuwa funzo...
    Haki, imekuwa fumbo...
    Hata kweny miamala Vat, imekuwa nyundo...
    Msipolegeza nauli BASI, zitakua ungo...
    Mvua ya Bei inanyesha bati, zinaleta fujo...
    Madem mnavaa vikuku mnasifiwa, kwa mabusu...
    Ila vijana tukifuga viduku tunaishia, mahabusu...
    Maisha magumu Sana nying stress, za kodi...
    Bless, to God...
    Kidume nna uchungu Sana wala scheki, ka zombi...
    Mmeua mziki kwa ushabiki wa jeshi, na mond...
    Furaha haileti, majonzi...
    Wengi tunajifariji kwa kubet, matozi...
    Maisha hayatabiriki Mana mengi, Ni loss...
    Ni vipi nikamiliki hata range, na rolls...
    Tutabaki kunywa tungi, tukifa pia Ni yechu...
    Mana sisi Ni mavumbi, Hakika njia Ni yetu...
    Mengi yamekuwa mwiba, na wanyonge tuko,, peku... Maisha yamekuwa shida, kwa vibonde huko,, kwetu... Tusonge yupo, yesu... Ama tupondwe nyuso, zetu... Basi, imekuwa funzo... Haki, imekuwa fumbo... Hata kweny miamala Vat, imekuwa nyundo... Msipolegeza nauli BASI, zitakua ungo... Mvua ya Bei inanyesha bati, zinaleta fujo... Madem mnavaa vikuku mnasifiwa, kwa mabusu... Ila vijana tukifuga viduku tunaishia, mahabusu... Maisha magumu Sana nying stress, za kodi... Bless, to God... Kidume nna uchungu Sana wala scheki, ka zombi... Mmeua mziki kwa ushabiki wa jeshi, na mond... Furaha haileti, majonzi... Wengi tunajifariji kwa kubet, matozi... Maisha hayatabiriki Mana mengi, Ni loss... Ni vipi nikamiliki hata range, na rolls... Tutabaki kunywa tungi, tukifa pia Ni yechu... Mana sisi Ni mavumbi, Hakika njia Ni yetu...
    Like
    2
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·753 Views
  • Mengi yamekuwa mwiba, na wanyonge tuko,, peku...
    Maisha yamekuwa shida, kwa vibonde huko,, kwetu...
    Tusonge yupo, yesu...
    Ama tupondwe nyuso, zetu...
    Basi, imekuwa funzo...
    Haki, imekuwa fumbo...
    Hata kweny miamala Vat, imekuwa nyundo...
    Msipolegeza nauli BASI, zitakua ungo...
    Mvua ya Bei inanyesha bati, zinaleta fujo...
    Madem mnavaa vikuku mnasifiwa, kwa mabusu...
    Ila vijana tukifuga viduku tunaishia, mahabusu...
    Maisha magumu Sana nying stress, za kodi...
    Bless, to God...
    Kidume nna uchungu Sana wala scheki, ka zombi...
    Mmeua mziki kwa ushabiki wa jeshi, na mond...
    Furaha haileti, majonzi...
    Wengi tunajifariji kwa kubet, matozi...
    Maisha hayatabiriki Mana mengi, Ni loss...
    Ni vipi nikamiliki hata range, na rolls...
    Tutabaki kunywa tungi, tukifa pia Ni yechu...
    Mana sisi Ni mavumbi, Hakika njia Ni yetu...
    Mengi yamekuwa mwiba, na wanyonge tuko,, peku... Maisha yamekuwa shida, kwa vibonde huko,, kwetu... Tusonge yupo, yesu... Ama tupondwe nyuso, zetu... Basi, imekuwa funzo... Haki, imekuwa fumbo... Hata kweny miamala Vat, imekuwa nyundo... Msipolegeza nauli BASI, zitakua ungo... Mvua ya Bei inanyesha bati, zinaleta fujo... Madem mnavaa vikuku mnasifiwa, kwa mabusu... Ila vijana tukifuga viduku tunaishia, mahabusu... Maisha magumu Sana nying stress, za kodi... Bless, to God... Kidume nna uchungu Sana wala scheki, ka zombi... Mmeua mziki kwa ushabiki wa jeshi, na mond... Furaha haileti, majonzi... Wengi tunajifariji kwa kubet, matozi... Maisha hayatabiriki Mana mengi, Ni loss... Ni vipi nikamiliki hata range, na rolls... Tutabaki kunywa tungi, tukifa pia Ni yechu... Mana sisi Ni mavumbi, Hakika njia Ni yetu...
    Like
    3
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·739 Views
  • Nacho kifanya iga uone...
    Hakuna anae miliki ramani ya Money...
    Kama pesa makaratasi Yachane tuone...
    Miliki heshima speed Kwenye mapene...
    Zuga kama umenimiss....
    Pis kama unanipenda shusha kiss...
    Chata ya kilimanjaro mchaga halis...
    Tena munigga tiih tiih Mweus...
    Pambana maisha magumu yawe Hadith...
    Nacho kifanya iga uone... Hakuna anae miliki ramani ya Money... Kama pesa makaratasi Yachane tuone... Miliki heshima speed Kwenye mapene... Zuga kama umenimiss.... Pis kama unanipenda shusha kiss... Chata ya kilimanjaro mchaga halis... Tena munigga tiih tiih Mweus... Pambana maisha magumu yawe Hadith...
    Like
    3
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·988 Views
  • Wagum 2naish...ndo kaul ya wanahip hop..
    kifleva siwez ish...naogopa lockup..
    kuacha hip hop so easy...never give up..
    wabana pua ni makuz...ndo maana wanapgwa lockup..
    m n mbish toka bush...na cjui hata makerup..
    nimekuja twn bila cash...sasa daily nawakeup..
    jion ikifka desh...n den kwa mang chap chap..
    namwambia kexho flexh...nikiuza hata moja kapu..
    dem akinidai malaxh...yan n xhda 2pu..
    naenda kwa mang kiuchesh...nisilud mkono m2pu..
    na likiyumba dixh...nakuwa busy what'supp..
    Wagum 2naish...ndo kaul ya wanahip hop.. kifleva siwez ish...naogopa lockup.. kuacha hip hop so easy...never give up.. wabana pua ni makuz...ndo maana wanapgwa lockup.. m n mbish toka bush...na cjui hata makerup.. nimekuja twn bila cash...sasa daily nawakeup.. jion ikifka desh...n den kwa mang chap chap.. namwambia kexho flexh...nikiuza hata moja kapu.. dem akinidai malaxh...yan n xhda 2pu.. naenda kwa mang kiuchesh...nisilud mkono m2pu.. na likiyumba dixh...nakuwa busy what'supp..
    Like
    3
    · 0 Commenti ·0 condivisioni ·94 Views
  • jinsi gan alivyoweza kutangaza kinywaj chake kisicho na kilevi..
    kikakubaliwa mpaka na walevi..
    licha kwamba hakikuwa na kilevi..
    jinsi gan alivyoweza kutangaza kinywaj chake kisicho na kilevi.. kikakubaliwa mpaka na walevi.. licha kwamba hakikuwa na kilevi..
    Like
    3
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·95 Views
  • Na haya ni majukumu yakuteleza na hii rap...
    Ulie ndotoni ucjihukum you have to wake up...
    Huku majuu maisha magumu never give up...
    Tungo tata sio ngumu masela mmeketch it up...
    Life ni tough na hakuna was kupiga taff...
    kam nyambafu tafsiri zaid ya mkandala lufufu... mnyonge MPE dafu mbabe karate awe commando hio kwangu hafui dafu...
    hii ni tungo tata tafsiri hata ule nyamafu...
    utapiga kwata hata ukiwa unacheza rafu...
    nimemaliza kunielewa sio lazima mpk ule ndaf...
    Na haya ni majukumu yakuteleza na hii rap... Ulie ndotoni ucjihukum you have to wake up... Huku majuu maisha magumu never give up... Tungo tata sio ngumu masela mmeketch it up... Life ni tough na hakuna was kupiga taff... kam nyambafu tafsiri zaid ya mkandala lufufu... mnyonge MPE dafu mbabe karate awe commando hio kwangu hafui dafu... hii ni tungo tata tafsiri hata ule nyamafu... utapiga kwata hata ukiwa unacheza rafu... nimemaliza kunielewa sio lazima mpk ule ndaf...
    Like
    3
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·544 Views
  • Sikati tamaa kijinga..
    Hata nikiwa fresh sina itikadi za kuringa..
    Niko cool siyo player kama dirunga..
    Time will tell sijutii hapa nilipo..
    Ndomana yaliumbwa Maputo..
    Hip hop kwangu ni wito..
    Naifanya bila mchecheto..
    Nasambaza ujuzi mpaka nchi za mbali..
    Sijaanza ku be paid bado napambana na safari..
    Info za kukata tamaa longtime nime mute..
    I wanna do more than commando mpaka haters watapo salute..
    Harakati kama nyerere.. nitakumbukwa Milele..
    Tofauti sana na mcz wako wanaojigamba..
    Mi ni mpole sana ila ukinchokoza nakuwa na sumu zaidi nyongo ya mamba..
    Yeah siyo shabiki wa siasa Mimi..
    Sihusiki na chuki za kidini mimi..
    Niko huru dhidi ya uhasama..
    Sina pande niliyo egemea kati kati nimesimama..
    Then na look forward..
    Nawish kufanya yangu..
    I gotta heavy duty..
    Kiasi sitaki u feel my pain hommie..
    Usione nacheza kibindankoi..
    Ukadhani life liko powa na enjoy..
    Kumbe napunguza stress nime breeze kush..
    Mana kuna time nahaso afu sioni cash..
    Ndomana waweza niona usoni nacheka nakumbe tumboni desh..
    Sikati tamaa kijinga.. Hata nikiwa fresh sina itikadi za kuringa.. Niko cool siyo player kama dirunga.. Time will tell sijutii hapa nilipo.. Ndomana yaliumbwa Maputo.. Hip hop kwangu ni wito.. Naifanya bila mchecheto.. Nasambaza ujuzi mpaka nchi za mbali.. Sijaanza ku be paid bado napambana na safari.. Info za kukata tamaa longtime nime mute.. I wanna do more than commando mpaka haters watapo salute.. Harakati kama nyerere.. nitakumbukwa Milele.. Tofauti sana na mcz wako wanaojigamba.. Mi ni mpole sana ila ukinchokoza nakuwa na sumu zaidi nyongo ya mamba.. Yeah siyo shabiki wa siasa Mimi.. Sihusiki na chuki za kidini mimi.. Niko huru dhidi ya uhasama.. Sina pande niliyo egemea kati kati nimesimama.. Then na look forward.. Nawish kufanya yangu.. I gotta heavy duty.. Kiasi sitaki u feel my pain hommie.. Usione nacheza kibindankoi.. Ukadhani life liko powa na enjoy.. Kumbe napunguza stress nime breeze kush.. Mana kuna time nahaso afu sioni cash.. Ndomana waweza niona usoni nacheka nakumbe tumboni desh..
    Like
    3
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·1K Views
  • kidogo tuchanane...
    ila tusiboane...
    mautalaam tuonyeshane...
    kwenye maisha tusukumane...
    wana hip hop tuwe na upendo...
    kaza buti usilegeza mwendo...
    tayari mimi nilishaziba pengo...
    ni hatari mana nipo kwenye lengo...
    msijali kidogo tutajuana...
    god bless siku tukikutana...
    salam kwa mikono tukipeana...
    itakuwa good day tutakumbatiana...
    tupendane furaha tukionyeshana...
    tusitengane... kwa pamoja tushirikiane...
    kidogo tuchanane... ila tusiboane... mautalaam tuonyeshane... kwenye maisha tusukumane... wana hip hop tuwe na upendo... kaza buti usilegeza mwendo... tayari mimi nilishaziba pengo... ni hatari mana nipo kwenye lengo... msijali kidogo tutajuana... god bless siku tukikutana... salam kwa mikono tukipeana... itakuwa good day tutakumbatiana... tupendane furaha tukionyeshana... tusitengane... kwa pamoja tushirikiane...
    Like
    3
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·508 Views
  • Hikikisu kilizama moyoni bila mimi
    Kujua...
    Kunadem alinipenda kumbe danga
    Skujua...
    Nilimpa kila nikipatacho kwajasho chini
    Yajua...
    Nilitengana nae japo moyoni
    Alinisumbua...
    Mwanzo wapenzi nilifulahia umuhimu wake
    kwangu...
    Nilimpa asilimia 100% kua mama watoto
    Wangu...
    Nilimuombea dua kila sku iendayo
    Kwamungu...
    Nilijiona Adam nayeye nikamuona
    Hawa wangu...
    Hikikisu kilizama moyoni bila mimi Kujua... Kunadem alinipenda kumbe danga Skujua... Nilimpa kila nikipatacho kwajasho chini Yajua... Nilitengana nae japo moyoni Alinisumbua... Mwanzo wapenzi nilifulahia umuhimu wake kwangu... Nilimpa asilimia 100% kua mama watoto Wangu... Nilimuombea dua kila sku iendayo Kwamungu... Nilijiona Adam nayeye nikamuona Hawa wangu...
    Like
    5
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·107 Views
  • Ewe Mungu... ulie juu...
    Mungu wangu... unipe nafuu...
    Jina lako... ni kuu sana...
    Usikilize... Sala ewe bhana...
    Natamani... kufanya mema...
    Kufanya mema...tena Kwa neema...
    Nipe nguvu... nivumilie Bwana...
    Usikilize... Sala ewe bhana...
    Siku zote... Bwana wewe ni bora...
    Mungu.. sikia king'ora...
    Kwenye Hip hop... tenzi nazichora...
    Usikilize... sala ewe bhana...
    Tusikimbie Ovyo!
    Ameen.
    Ewe Mungu... ulie juu... Mungu wangu... unipe nafuu... Jina lako... ni kuu sana... Usikilize... Sala ewe bhana... Natamani... kufanya mema... Kufanya mema...tena Kwa neema... Nipe nguvu... nivumilie Bwana... Usikilize... Sala ewe bhana... Siku zote... Bwana wewe ni bora... Mungu.. sikia king'ora... Kwenye Hip hop... tenzi nazichora... Usikilize... sala ewe bhana... Tusikimbie Ovyo! Ameen.
    Like
    2
    · 1 Commenti ·0 condivisioni ·202 Views