-
-
How to prevent fall arm worms on maize?? #cktvtanzaniaagriculture0 Comments ·1 Shares ·814 Views
-
-
-
Hapo hapo,ulipo mambo yanakuja kimkupuo,
kanisani mapambio,nguzo ishatafunwa,hak'na kimbilio,
binadamu shavuka miko,wao kwa wao nd'o kamchezo,
utapita kwa vigezo,sasa tafuta nyenzo,ujue lako kimbilio,
kama salio ni vilio,basi upo ufufuo,Hapo hapo,ulipo mambo yanakuja kimkupuo, kanisani mapambio,nguzo ishatafunwa,hak'na kimbilio, binadamu shavuka miko,wao kwa wao nd'o kamchezo, utapita kwa vigezo,sasa tafuta nyenzo,ujue lako kimbilio, kama salio ni vilio,basi upo ufufuo, -

mtaa umepotea kwenye giza mi ndo taa
unashangaa nang'aa ka mwanga wa mshumaa
tambaa mi kachaa ntakutesa na kukuua ka njaa
kaa mbali jifiche ka biashara ya chang'aamtaa umepotea kwenye giza mi ndo taa unashangaa nang'aa ka mwanga wa mshumaa tambaa mi kachaa ntakutesa na kukuua ka njaa kaa mbali jifiche ka biashara ya chang'aa -
0 Comments ·0 Shares ·468 Views
-