• Akili mali kwenye tungo stumii ugali..
    Maisha makali tena fumbo tumetoka mbali..
    Fake fata upepo mi nafanya kwa malengo..
    Kuwa uyaone mateso na majengo..
    Akili mali kwenye tungo stumii ugali.. Maisha makali tena fumbo tumetoka mbali.. Fake fata upepo mi nafanya kwa malengo.. Kuwa uyaone mateso na majengo..
    Like
    2
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·74 Views
  • Nawaka mm sio nyota wala mbala mwezi !!
    Mjanja sio ndezi
    Yani mpenzi wako nae ana mpenzi !!
    Ni ushezi ukifeli shule komaa upate stashahada ya mapenzi !!
    Nawaka mm sio nyota wala mbala mwezi !! Mjanja sio ndezi Yani mpenzi wako nae ana mpenzi !! Ni ushezi ukifeli shule komaa upate stashahada ya mapenzi !!
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·86 Views
  • KITAAALAMU HII MNAIHITAJE?!
    KITAAALAMU HII MNAIHITAJE?! 😂👐
    Like
    3
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·72 Views ·12
  • 𝙴𝚠𝚎 𝙼𝚄𝙽𝙶𝚄 𝚋𝚘𝚖𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚐𝚞 𝚖𝚠𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚠𝚊 𝚛𝚎𝚑𝙴𝙼𝙰
    unatoa F𝚄𝙽𝙶𝚄 bila majungu kwa wazima na vi𝚕EMA
    ee bwana 𝚞𝚜𝚒𝚝𝚞𝚕𝚊umu katika ghadhabu zAKO
    wala usituadhibu k𝚠a ukali wa hasira zAKO
    𝙴𝚠𝚎 𝙼𝚄𝙽𝙶𝚄 𝚋𝚘𝚖𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚐𝚞 𝚖𝚠𝚒𝚗𝚐𝚒 𝚠𝚊 𝚛𝚎𝚑𝙴𝙼𝙰 unatoa F𝚄𝙽𝙶𝚄 bila majungu kwa wazima na vi𝚕EMA ee bwana 𝚞𝚜𝚒𝚝𝚞𝚕𝚊umu katika ghadhabu zAKO wala usituadhibu k𝚠a ukali wa hasira zAKO
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·431 Views
  • 𝚞𝚗𝚊𝚠𝚎𝚣𝚊 𝚗𝚒𝚒𝚝𝚊 𝚔𝚒𝚋𝚊𝚋𝚞.. 𝚔𝚊𝚖 𝚓𝚞𝚖𝚊 𝚗𝚊𝚝𝚞𝚛𝚎 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔𝚒 𝙳𝙴𝙼𝚄
    𝚗𝚒𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚘𝚝𝚘 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚝𝚞.. 𝚗𝚊 𝚗𝚒𝚛𝚊𝚙𝚊  𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝙵𝙰𝙼𝙴
    𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝚋𝚕𝚊𝚖𝚎 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝚜𝚑𝚘𝚝𝚒.. 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝚂𝙷𝙴𝙼𝚄
    𝚔𝚞𝚙𝚘𝚝𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚘𝚔𝚎𝚘 𝚗𝚒𝚔𝚒𝚕𝚘𝚜𝚝.. 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝙶𝙰𝙼𝙴
    𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚗𝚢𝚊𝚔𝚊𝚝 𝚜𝚑𝚞𝚓𝚊𝚊 𝚒𝚝𝚊𝚋𝚒𝚍 𝙼𝙽𝙸𝙿𝙴𝙽𝙳𝙴
    𝚗𝚔𝚒𝚔𝚘𝚜𝚊 𝚜𝚑𝚞𝚔𝚊 𝚔𝚒𝚝𝚊𝚗𝚍𝚊𝚗 𝚗𝚊𝚜𝚑𝚞𝚔𝚊 𝙽𝙸𝙴𝙽𝙳𝙴
    𝚝𝚊𝚏𝚞𝚝𝚊 𝚔𝚞𝚊 𝚑𝚎𝚊𝚟𝚢.. 𝚞𝚣𝚒𝚜𝚊𝚔𝚎 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝙷𝙰𝙻𝙸
    𝚞𝚔𝚒𝚘𝚗𝚊 𝚖𝚞𝚑𝚒𝚖𝚞 𝚞𝚕𝚎𝚟𝚒.. 𝚣𝚒𝚜𝚊𝚔𝚎 𝚙𝚘𝚗𝚍𝚊 𝙼𝙰𝙻𝙸
    𝚞𝚗𝚊𝚠𝚎𝚣𝚊 𝚗𝚒𝚒𝚝𝚊 𝚔𝚒𝚋𝚊𝚋𝚞.. 𝚔𝚊𝚖 𝚓𝚞𝚖𝚊 𝚗𝚊𝚝𝚞𝚛𝚎 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔𝚒 𝙳𝙴𝙼𝚄 𝚗𝚒𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚘𝚝𝚘 𝚠𝚊𝚝𝚊𝚝𝚞.. 𝚗𝚊 𝚗𝚒𝚛𝚊𝚙𝚊  𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝙵𝙰𝙼𝙴 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝚋𝚕𝚊𝚖𝚎 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝚜𝚑𝚘𝚝𝚒.. 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝚂𝙷𝙴𝙼𝚄 𝚔𝚞𝚙𝚘𝚝𝚎𝚣𝚊 𝚖𝚊𝚙𝚘𝚔𝚎𝚘 𝚗𝚒𝚔𝚒𝚕𝚘𝚜𝚝.. 𝚜𝚒𝚝𝚊𝚔 𝙶𝙰𝙼𝙴 𝚔𝚞𝚗𝚊 𝚗𝚢𝚊𝚔𝚊𝚝 𝚜𝚑𝚞𝚓𝚊𝚊 𝚒𝚝𝚊𝚋𝚒𝚍 𝙼𝙽𝙸𝙿𝙴𝙽𝙳𝙴 𝚗𝚔𝚒𝚔𝚘𝚜𝚊 𝚜𝚑𝚞𝚔𝚊 𝚔𝚒𝚝𝚊𝚗𝚍𝚊𝚗 𝚗𝚊𝚜𝚑𝚞𝚔𝚊 𝙽𝙸𝙴𝙽𝙳𝙴 𝚝𝚊𝚏𝚞𝚝𝚊 𝚔𝚞𝚊 𝚑𝚎𝚊𝚟𝚢.. 𝚞𝚣𝚒𝚜𝚊𝚔𝚎 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝙷𝙰𝙻𝙸 𝚞𝚔𝚒𝚘𝚗𝚊 𝚖𝚞𝚑𝚒𝚖𝚞 𝚞𝚕𝚎𝚟𝚒.. 𝚣𝚒𝚜𝚊𝚔𝚎 𝚙𝚘𝚗𝚍𝚊 𝙼𝙰𝙻𝙸
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·147 Views
  • Maajabu...

    Shika kichwa kuna usenge... ki ukweli umevuma....

    Umber ruti kaanzisha Genge... Kijitonyama Kwa Nyuma....

    Xax wateja mjipange.... Simba Wa Kike Anaunguruma....

    Kutakuwa  na bange... chakula mpaka ...

           Msinipige mawe nimevuta Bangi
    Maajabu... Shika kichwa kuna usenge... ki ukweli umevuma....😏😏 Umber ruti kaanzisha Genge... Kijitonyama Kwa Nyuma....🙄🙄 Xax wateja mjipange.... Simba Wa Kike Anaunguruma....🤔🤔 Kutakuwa  na bange... chakula mpaka 🙄🙄...🤣🤣🤣🤣        Msinipige mawe nimevuta Bangi
    Like
    Love
    3
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·95 Views
  • Bongo wapi kuwa Boss.. kulinda losi za Tajiri...
    Nikimisi tu misosi nakula pozi la kikatili...

    Sina noti za kishua na make sure najua Mengi...

    Wanavimba wakipata.. wakikosa ni wanyonge...
    Ata madem wanadata bila mlango tu uwagonge...
    Bongo wapi kuwa Boss.. kulinda losi za Tajiri... Nikimisi tu misosi nakula pozi la kikatili... Sina noti za kishua na make sure najua Mengi... Wanavimba wakipata.. wakikosa ni wanyonge... Ata madem wanadata bila mlango tu uwagonge...
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·84 Views
  • 𝚟𝚒𝚋𝚎 𝚖𝚘𝚛𝚗𝚒𝚗𝚐 𝚊𝚑𝚜𝚊𝚗𝚝𝚎 𝚖𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚋𝚊𝙱𝙰
    𝚝𝚞𝚖𝚎𝚊𝚖𝚔𝚊 𝚜𝚊𝚕𝚊𝚖𝚊 𝚌𝚌 𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚒𝚖𝚊𝚗𝚒 𝚑𝚊𝙱𝙰
    𝚖𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚝𝚞𝚕𝚒𝚗𝚍𝚎 𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚌𝚑𝚘 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚢𝚊𝚝𝚞𝙾𝙽𝙴
    𝚝𝚞𝚙𝚊𝚝𝚎 𝚕𝚒𝚣𝚒𝚔𝚒 𝚗𝚎𝚗𝚎 𝚖𝚊𝚝𝚞𝚖𝚋𝚘 𝚢𝚎𝚝𝚞 𝚢𝚊𝚙𝙾𝙽𝙴
    𝚎𝚎 𝚋𝚊𝚋𝚊 𝚞𝚜𝚒𝚝𝚞𝚊𝚌𝚑𝚎 𝚊𝚜𝚞𝚋𝚞𝚑 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚍𝚒𝚁𝙰
    𝚝𝚞𝚙𝚎 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚘𝚗𝚐𝚘 𝚜𝚊𝚏𝚒 𝚝𝚞𝚙𝚊𝚝𝚎 𝚑𝚎𝚕𝚊 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝙻𝙰
    𝚠𝚎𝚗𝚐𝚒𝚗𝚎 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚣 𝚋𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚙𝚎 𝚟𝚒𝚋𝚊𝚛𝚞𝙰
    𝚠𝚎𝚠 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚖𝚞𝚞𝚖𝚋𝚊 𝚗𝚊 𝚛𝚒𝚣𝚒𝚔𝚒 𝚞𝚗𝚊𝚝𝚘𝙰
    𝚊𝚜𝚞𝚋𝚞𝚑 𝚒𝚜𝚒𝚠𝚎 𝚔𝚊𝚟𝚞 𝚝𝚞𝚜𝚒𝚓𝚎 𝚝𝚞𝚔𝚊𝚝𝚎𝚜𝙴𝙺𝙰
    𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚔𝚒𝚎𝚕𝚎𝚠𝚎𝚔𝚎 𝚖𝚒𝚏𝚞𝚔𝚘 𝚒𝚠𝚎𝚣𝚎 𝚌𝚑𝙴𝙺𝙰
    𝚝𝚞𝚙𝚎 𝚗𝚐𝚞𝚟𝚞 𝚢𝚊 𝚊𝚓𝚊𝚋𝚞 𝚝𝚞𝚝𝚎𝚗𝚍𝚎 𝚔𝚊𝚣 𝙽𝙹𝙴𝙼𝙰
    𝚝𝚞𝚙𝚊𝚖𝚋𝚊𝚗𝚒𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚢𝚘𝚗𝚐𝚎 𝚒𝚘𝚗𝚎𝚔𝚊𝚗𝚎 𝚗𝚢𝚘𝚝𝚊 𝙽𝙹𝙴𝙼𝙰
    𝚟𝚒𝚋𝚎 𝚖𝚘𝚛𝚗𝚒𝚗𝚐 𝚊𝚑𝚜𝚊𝚗𝚝𝚎 𝚖𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚋𝚊𝙱𝙰 𝚝𝚞𝚖𝚎𝚊𝚖𝚔𝚊 𝚜𝚊𝚕𝚊𝚖𝚊 𝚌𝚌 𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚒𝚖𝚊𝚗𝚒 𝚑𝚊𝙱𝙰 𝚖𝚞𝚗𝚐𝚞 𝚝𝚞𝚕𝚒𝚗𝚍𝚎 𝚝𝚎𝚗𝚊 𝚖𝚊𝚌𝚑𝚘 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚢𝚊𝚝𝚞𝙾𝙽𝙴 𝚝𝚞𝚙𝚊𝚝𝚎 𝚕𝚒𝚣𝚒𝚔𝚒 𝚗𝚎𝚗𝚎 𝚖𝚊𝚝𝚞𝚖𝚋𝚘 𝚢𝚎𝚝𝚞 𝚢𝚊𝚙𝙾𝙽𝙴 𝚎𝚎 𝚋𝚊𝚋𝚊 𝚞𝚜𝚒𝚝𝚞𝚊𝚌𝚑𝚎 𝚊𝚜𝚞𝚋𝚞𝚑 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚍𝚒𝚁𝙰 𝚝𝚞𝚙𝚎 𝚖𝚒𝚌𝚑𝚘𝚗𝚐𝚘 𝚜𝚊𝚏𝚒 𝚝𝚞𝚙𝚊𝚝𝚎 𝚑𝚎𝚕𝚊 𝚢𝚊 𝚔𝚞𝙻𝙰 𝚠𝚎𝚗𝚐𝚒𝚗𝚎 𝚑𝚊𝚠𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚣 𝚋𝚊𝚋𝚊 𝚠𝚊𝚙𝚎 𝚟𝚒𝚋𝚊𝚛𝚞𝙰 𝚠𝚎𝚠 𝚗𝚍𝚒𝚘 𝚖𝚞𝚞𝚖𝚋𝚊 𝚗𝚊 𝚛𝚒𝚣𝚒𝚔𝚒 𝚞𝚗𝚊𝚝𝚘𝙰 𝚊𝚜𝚞𝚋𝚞𝚑 𝚒𝚜𝚒𝚠𝚎 𝚔𝚊𝚟𝚞 𝚝𝚞𝚜𝚒𝚓𝚎 𝚝𝚞𝚔𝚊𝚝𝚎𝚜𝙴𝙺𝙰 𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚔𝚒𝚎𝚕𝚎𝚠𝚎𝚔𝚎 𝚖𝚒𝚏𝚞𝚔𝚘 𝚒𝚠𝚎𝚣𝚎 𝚌𝚑𝙴𝙺𝙰 𝚝𝚞𝚙𝚎 𝚗𝚐𝚞𝚟𝚞 𝚢𝚊 𝚊𝚓𝚊𝚋𝚞 𝚝𝚞𝚝𝚎𝚗𝚍𝚎 𝚔𝚊𝚣 𝙽𝙹𝙴𝙼𝙰 𝚝𝚞𝚙𝚊𝚖𝚋𝚊𝚗𝚒𝚎 𝚠𝚊𝚗𝚢𝚘𝚗𝚐𝚎 𝚒𝚘𝚗𝚎𝚔𝚊𝚗𝚎 𝚗𝚢𝚘𝚝𝚊 𝙽𝙹𝙴𝙼𝙰
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·119 Views
  • Kupitia hiki kikosi cha Mnyama uonavyoona mpaka msimu ujao 2024/2025 unaanza watakuwa wamebaki wangapi ?

    Wangapi wataanza kikosi cha kwanza?
    Kupitia hiki kikosi cha Mnyama 🦁uonavyoona mpaka msimu ujao 2024/2025 unaanza watakuwa wamebaki wangapi ? Wangapi wataanza kikosi cha kwanza?
    Like
    1
    · 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·66 Views
  • 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·59 Views