• huwa nachana kitAA wanasema mbona huvumi saNA
    wanasahau hii ni sanAA nachana ujumbe ufike niheshimike siokupata jiNA
    Utawezaje kutamba ndani ya kaGO ukasukumwa kama mziGO
    huwa nachana kitAA wanasema mbona huvumi saNA wanasahau hii ni sanAA nachana ujumbe ufike niheshimike siokupata jiNA Utawezaje kutamba ndani ya kaGO ukasukumwa kama mziGO
    Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·86 Views
  • huwa nachana kitAA wanasema mbona huvumi saNA
    wanasahau hii ni sanAA nachana ujumbe ufike niheshimike siokupata jiNA
    Utawezaje kutamba ndani ya kaGO ukasukumwa kama mziGO
    huwa nachana kitAA wanasema mbona huvumi saNA wanasahau hii ni sanAA nachana ujumbe ufike niheshimike siokupata jiNA Utawezaje kutamba ndani ya kaGO ukasukumwa kama mziGO
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·85 Views
  • enzi tumetoka majalaLA yaaan tulikuwa hatuna ata pakulaLA
    tulikuwa kero kwa jamAA na tulitengwa na mitAA
    never give up ndo kauli ilotumiKA nasi tukawa shupavu kwakuamini tutafiKA
    tulitembea road kutoka zuzu to mengi magotofA kwenda kusaka life japo hakuna alopingA
    enzi tumetoka majalaLA yaaan tulikuwa hatuna ata pakulaLA tulikuwa kero kwa jamAA na tulitengwa na mitAA never give up ndo kauli ilotumiKA nasi tukawa shupavu kwakuamini tutafiKA tulitembea road kutoka zuzu to mengi magotofA kwenda kusaka life japo hakuna alopingA
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·91 Views
  • nimegundua akuna utajiLI wa kudumu kama akiLI
    kufanya usichokijua nao ni umoja wa ujasiLI
    ila tafsiLI ujasiLI uwa ni nguvu bila akiLI
    nimegundua akuna utajiLI wa kudumu kama akiLI kufanya usichokijua nao ni umoja wa ujasiLI ila tafsiLI ujasiLI uwa ni nguvu bila akiLI
    Like
    Love
    2
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·86 Views
  • nawaza nakuwazua akili inakosa majiBU mwili unakosa utulivu moyo unanyongonyea taratiBU
    kinachoniuma zaidi yani nimezaliwa kwa taBU nimekua kwa taBU na kufa nife kwa taBU ila nadhambi nying si bora nikatuBU
    tuombe na kusaLI kwa mungu tupate vibaLI
    sijiombei kifo ila tu nawapa habaRI hii dunia sio yetu kwetu mbinguni japo kufika sio bure kikubwa muwe mna saLI
    nawaza nakuwazua akili inakosa majiBU mwili unakosa utulivu moyo unanyongonyea taratiBU kinachoniuma zaidi yani nimezaliwa kwa taBU nimekua kwa taBU na kufa nife kwa taBU ila nadhambi nying si bora nikatuBU tuombe na kusaLI kwa mungu tupate vibaLI sijiombei kifo ila tu nawapa habaRI hii dunia sio yetu kwetu mbinguni japo kufika sio bure kikubwa muwe mna saLI
    Like
    Love
    4
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·290 Views
  • Like
    Love
    Yay
    10
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·886 Views
  • Like
    Love
    19
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·887 Views
  • Love
    Like
    Haha
    Wow
    30
    · 6 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·880 Views
  • Bango linajieleza.

    Mashine mpya ndani ya Msimbazi leo saa 1:00 usiku. Pakua na lipia Simba App sasa ili uwe wa kwanza. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Bango linajieleza. Mashine mpya ndani ya Msimbazi leo saa 1:00 usiku. Pakua na lipia Simba App sasa ili uwe wa kwanza. #WenyeNchi #NguvuMoja
    Like
    3
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·340 Views
  • Love
    1
    · 1 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·382 Views