Результаты поиска
Все результаты
Socialpop Socialpop Socialpop
Главная
Группы
Страницы
Marketplace
Больше
Группы Страницы Marketplace Мероприятия Статьи пользователей Funding Offers Jobs Courses Форумы Кинозал
Вступить
Войти Регистрация
Theme Switcher
Ночной режим
Каталог
Пользователи
Записей
Страницы
Группы
Мероприятия
  • Paul Swai @paulswai добавлены фото
    2024-07-01 16:48:30 ·
    OFFICIAL & CONFIRMED
    .
    Kiungo mshambuliaji Joshua Mutale raia wa Zambia amejiunga na kikosi cha Simba baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akitokea Power Dynamos ya Nchini kwao.
    🚨 OFFICIAL & CONFIRMED . Kiungo mshambuliaji Joshua Mutale raia wa Zambia 🇿🇲 amejiunga na kikosi cha Simba baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akitokea Power Dynamos ya Nchini kwao.
    Like
    Love
    3
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·85 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • CKTV Tanzania @Kamanyi
    2024-07-01 16:50:00 ·
    Tetesi sinasemaje huko???
    Tetesi sinasemaje huko??? 🥰🥰🥰🥰
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·53 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • CKTV Tanzania @Kamanyi
    2024-07-01 16:50:41 ·
    Nini maana ya Ukoloni mamboleo??
    Nini maana ya Ukoloni mamboleo??
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·62 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Bernard John @Ben666
    2024-07-01 16:50:45 ·
    acha wapige kelele nawapigia ngoMA
    nimeshasaka sana mchongo ukawa mchongoMA
    moja namshukulu mungu kuona maisha yana yoyoMA
    bila ya uvumilivu uwezi pata unacho taKA
    atakama ninashida alaka aina baraKA
    nakwenda nisipo pajua nitafika bila ya dogo mashaKA
    mtembea bure ndio mtafutaji ulizika na anacho kitaKA
    acha wapige kelele nawapigia ngoMA nimeshasaka sana mchongo ukawa mchongoMA moja namshukulu mungu kuona maisha yana yoyoMA bila ya uvumilivu uwezi pata unacho taKA atakama ninashida alaka aina baraKA nakwenda nisipo pajua nitafika bila ya dogo mashaKA mtembea bure ndio mtafutaji ulizika na anacho kitaKA
    Like
    Love
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·72 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • CKTV Tanzania @Kamanyi добавлены фото
    2024-07-01 16:52:38 ·
    Jembe limeingia, tusubiri msimu uanze
    😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣 Jembe limeingia, tusubiri msimu uanze
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·68 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • CKTV Tanzania @Kamanyi добавлены фото
    2024-07-01 16:53:32 ·
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·59 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • CKTV Tanzania @Kamanyi добавлены фото
    2024-07-01 16:54:00 ·
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·58 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 добавлены фото
    2024-07-01 16:54:14 ·
    "Kwa Wadogo zangu, na Watoto wangu, Nani aliwadanganya kuwa na makalio makubwa ndio kufanikiwa? Nani aliwadanganya kufanya mambo ambayo hayampendezi maulana ndio kufanikiwa?

    Wakati natoa #NakomaNaJiji mengi yalikuwa yakizungumzwa, Wengi walisema nirudi kwetu Igunga kwasababu huu mji nimeushindwa, Nilichoimba kwa wakati huo ulikuwa ni ukweli mtupu ilifika kipindi nilikuwa ninazungumza na Mungu wangu tu, Yatima mimi ambaye kutafuta sijachoka, Mungu alinijalia sikuweza kuanguka.

    Nani aliamini kwa kipindi kile nitaweza kufungua mgahawa wa chakula mkubwa na kufanya vizuri kila kona. Jiulize ni watu wangapi maarufu walianzisha biashara na wakashindwa kusimamia? Tazama shishifood na ujifunze.

    Somo langu kubwa kwa wadogo zangu na watoto wangu, Hii dunia imejaa kila aina ya watu jitahidi uwe moja kati ya watu wema, Jitahidi uwe hadithi nzuri siku ukiondoka : Mimi ni hamasa kwa kundi kubwa la Wanawake wenye ndoto wale wanaopitia magumu sana, Wale wanaotoka hali ya chini sana." - Shilole, Msanii wa muziki, filamu na Mjariamali Tanzania.
    "Kwa Wadogo zangu, na Watoto wangu, Nani aliwadanganya kuwa na makalio makubwa ndio kufanikiwa? Nani aliwadanganya kufanya mambo ambayo hayampendezi maulana ndio kufanikiwa? Wakati natoa #NakomaNaJiji mengi yalikuwa yakizungumzwa, Wengi walisema nirudi kwetu Igunga kwasababu huu mji nimeushindwa, Nilichoimba kwa wakati huo ulikuwa ni ukweli mtupu ilifika kipindi nilikuwa ninazungumza na Mungu wangu tu, Yatima mimi ambaye kutafuta sijachoka, Mungu alinijalia sikuweza kuanguka. Nani aliamini kwa kipindi kile nitaweza kufungua mgahawa wa chakula mkubwa na kufanya vizuri kila kona. Jiulize ni watu wangapi maarufu walianzisha biashara na wakashindwa kusimamia? Tazama shishifood na ujifunze. Somo langu kubwa kwa wadogo zangu na watoto wangu, Hii dunia imejaa kila aina ya watu jitahidi uwe moja kati ya watu wema, Jitahidi uwe hadithi nzuri siku ukiondoka : Mimi ni hamasa kwa kundi kubwa la Wanawake wenye ndoto wale wanaopitia magumu sana, Wale wanaotoka hali ya chini sana." - Shilole, Msanii wa muziki, filamu na Mjariamali Tanzania.
    0 Комментарии ·0 Поделились ·848 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • CKTV Tanzania @Kamanyi добавлены фото
    2024-07-01 16:54:43 ·
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·61 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Papillon Tz @PapillonTz9 добавлены фото
    2024-07-01 16:54:57 ·
    0 Комментарии ·0 Поделились ·80 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Отображение (7851-7860 из 30278)
  • «
  • Назад
  • 784
  • 785
  • 786
  • 787
  • 788
  • Далее
  • »
Обновить до Про
Выберите подходящий план
Обновить
© 2025 Socialpop
Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог Разработчики