Socialpop Socialpop
Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
  • Γίνε Μέλος
    Σύνδεση
    Εγγραφή
    Αναζήτηση
    Night Mode

Κατάλογος

Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village

  • Χρήστες
  • Δημοσιεύσεις
  • Σελίδες
  • Ομάδες
  • Events
  • Blogs
  • Marketplace
  • Χρηματοδότηση
  • Προσφορές
  • Εργασίες
  • Courses
  • Forum
  • Ταινίες
  • CKTV Tanzania
    2024-07-03 17:09:41 -
    Wimbo Ulio Bora 3:1-6 (KJV)

    Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, Nalimtafuta, nisimpate.
    Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini, Katika njia zake na viwanjani, Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate.
    Walinzi wazungukao mjini waliniona; Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu?
    Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa.
    Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
    Ni nani huyu apandaye kutoka nyikani, Mfano wake ni nguzo za moshi; Afukizwa manemane na ubani, Na mavumbi ya manukato yote ya mchuuzi?

    #cktvtanzania #CKTVTANZANIA
    Wimbo Ulio Bora 3:1-6 (KJV) Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, Nalimtafuta, nisimpate. Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini, Katika njia zake na viwanjani, Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate. Walinzi wazungukao mjini waliniona; Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu? Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa. Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe. Ni nani huyu apandaye kutoka nyikani, Mfano wake ni nguzo za moshi; Afukizwa manemane na ubani, Na mavumbi ya manukato yote ya mchuuzi? #cktvtanzania #CKTVTANZANIA
    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 346 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • CKTV Tanzania
    2024-07-03 17:09:58 -
    Wimbo Ulio Bora 3:1-6

    Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, Nalimtafuta, nisimpate.
    Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini, Katika njia zake na viwanjani, Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate.
    Walinzi wazungukao mjini waliniona; Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu?
    Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa.
    Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
    Ni nani huyu apandaye kutoka nyikani, Mfano wake ni nguzo za moshi; Afukizwa manemane na ubani, Na mavumbi ya manukato yote ya mchuuzi?

    #cktvtanzania
    Wimbo Ulio Bora 3:1-6 Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, Nalimtafuta, nisimpate. Nikasema, Haya, niondoke nizunguke mjini, Katika njia zake na viwanjani, Nimtafute mpendwa wa nafsi yangu. Nikamtafuta, nisimpate. Walinzi wazungukao mjini waliniona; Je! Mmemwona mpendwa wa nafsi yangu? Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa. Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe. Ni nani huyu apandaye kutoka nyikani, Mfano wake ni nguzo za moshi; Afukizwa manemane na ubani, Na mavumbi ya manukato yote ya mchuuzi? #cktvtanzania
    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 439 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • CKTV Tanzania είναι Νιώθω.. Λατρεμένος
    2024-07-03 17:11:45 -
    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 77 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • CKTV Tanzania πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-07-03 17:13:22 -
    Je ni rahisi kupata ukimwi?
    Je ni rahisi kupata ukimwi?
    0
    0
    0
    Like
    1
    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 81 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • CKTV Tanzania πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-07-03 17:16:41 -
    Mashabiki wa Azam FC ni Mchezaji gani amepewa Thank you na bado alikuwa muhimu kwenye kikosi??
    Mashabiki wa Azam FC ni Mchezaji gani amepewa Thank you na bado alikuwa muhimu kwenye kikosi??
    6
    1
    4
    0
    Like
    1
    0 Σχόλια 1 Μοιράστηκε 3χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • CKTV μοιράστηκε CKTV Tanzania 's poll
    2024-07-03 17:17:00 -
    CKTV Tanzania πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-07-03 17:16:41 -
    Mashabiki wa Azam FC ni Mchezaji gani amepewa Thank you na bado alikuwa muhimu kwenye kikosi??
    6
    1
    4
    0
    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 602 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Papillon Tz πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-07-03 17:27:39 -
    “Mimi ni mchekeshaji unajua na huwa napenda kuona watu wanacheka nikiwa naongea. Ndio maana huwa naongea Kiingereza kisichoeleweka ili watu wacheke tu, kwani ndio furaha yangu,” - Shilole, Msanii wa muziki, filamu na Mjariamali Tanzania.

    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 325 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Papillon Tz πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-07-03 17:29:13 -
    "SIMBA SC YAPEWA THANK YOU NA CHAMA …

    Simba SC kimsingi waliapaswa KUMUAGA Chama kama walivyofanya kwa Bernard Morrison kabla Chama hajawapiga ‘TALAKA’ yake. Walipoachwa wangeachika na kumshukuru Mwamba wa Lusaka na kumtakia maisha mema huko aendako" - Jemedari Said, Mchambuzi

    "SIMBA SC YAPEWA THANK YOU NA CHAMA …😂😂😂 Simba SC kimsingi waliapaswa KUMUAGA Chama kama walivyofanya kwa Bernard Morrison kabla Chama hajawapiga ‘TALAKA’ yake. Walipoachwa wangeachika na kumshukuru Mwamba wa Lusaka na kumtakia maisha mema huko aendako" - Jemedari Said, Mchambuzi ✍️
    Like
    1
    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 308 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Papillon Tz πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-07-03 17:30:18 -
    "Binafsi sijaenda kitendo Cha Chama kwenda Yanga kwasababu ligi yetu itakuwa na utawala wa timu Moja kwakuwa wachezaji wote wazuri na Bora wapo kwenye timu Moja itapelekea Yanga kukosa ushindani kwenye ligi yetu -" - Alex Ngereza, Mchambuzi (TV3)

    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 212 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Papillon Tz πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-07-03 17:41:07 -
    .... Mikataba mipya ndani ya Young Africans

    Djigui Diarra
    Khalid Aucho
    Bakari Mwamnyeto
    Aziz KI
    Farid Mussa
    Jonas Mkude
    Clement Mzize
    Nickson Kibabage
    Kibwana Shomari
    Aboutwalib Mshery
    .... 🚨 Mikataba mipya ndani ya Young Africans 🇹🇿 ✅ Djigui Diarra 🇲🇱 ✅ Khalid Aucho 🇺🇬 ✅ Bakari Mwamnyeto 🇹🇿 ✅ Aziz KI 🇧🇫 ✅ Farid Mussa 🇹🇿 ✅ Jonas Mkude 🇹🇿 ✅ Clement Mzize 🇹🇿 ✅ Nickson Kibabage 🇹🇿 ⌛ Kibwana Shomari 🇹🇿 ⌛ Aboutwalib Mshery 🇹🇿
    Like
    3
    0 Σχόλια 0 Μοιράστηκε 969 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (861-870 από 33179)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 85
  • 86
  • 87
  • 88
  • 89
  • Επόμενο
  • »
© 2026 Socialpop Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος