
-
-
-
-
-
-
-
Kama kuna mpinzani pembeni yako mwambie msimu ujao achague kujiunga Msimbazi au akutane na Mashine Mtoa Roho. Kazi kwake kuchagua.
Saa 7:00 mchana tutamtangaza kupitia Simba App. Wahi mapema kupakua na kulipia. #WenyeNchi NguvuMojaKama kuna mpinzani pembeni yako mwambie msimu ujao achague kujiunga Msimbazi au akutane na Mashine Mtoa Roho. Kazi kwake kuchagua. Saa 7:00 mchana tutamtangaza kupitia Simba App. Wahi mapema kupakua na kulipia. #WenyeNchi NguvuMoja -
BREAKING NEWS
Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.
KARIBU UNYAMANI AUGUSTINE
Follow ukurasa wetu
.
#cktvtanzaniaBREAKING NEWS Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria 🇳🇬 kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu. . Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi. KARIBU UNYAMANI AUGUSTINE Follow ukurasa wetu . #cktvtanzania0 Commentarii ·0 Distribuiri ·1K Views -
CONFIRMED: Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.🚨 CONFIRMED: Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria 🇳🇬 kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu. . Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.