Napoli wanavutiwa na mshambuliaji wa England Mason Greenwood, ambaye yuko Getafe kwa mkopo kutoka Manchester United, lakini huenda wakakabiliwa na ushindani kutoka kwa Juventus ikiwa wanataka kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22.
Atletico Madrid pia wanataka kumsajili Greenwood.
Read more