-
ᴛᴇꜱʟᴀ ʏᴀᴢɪɴᴅᴜᴀ ᴄʜᴀᴊɪ ʙɪʟᴀ ᴡᴀʏᴀ ᴋᴡᴀ ʀᴏʙᴏᴛᴀxɪꜱ ⚡️
Tesla imewasilisha mfumo wa kuchaji bila waya kwa robotaxis zake, unaoruhusu magari ya umeme kuchaji bila kuunganishwa kwenye soketi. Kulingana na kampuni hiyo, mchakato wa kuchaji kutoka 35% hadi 100% utachukua chini ya saa moja.
Kwa habari zaidi, Jiunge nasi
Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk
#kai #teknolojia #socialpop
ᴛᴇꜱʟᴀ ʏᴀᴢɪɴᴅᴜᴀ ᴄʜᴀᴊɪ ʙɪʟᴀ ᴡᴀʏᴀ ᴋᴡᴀ ʀᴏʙᴏᴛᴀxɪꜱ 🚗⚡️ Tesla imewasilisha mfumo wa kuchaji bila waya kwa robotaxis zake, unaoruhusu magari ya umeme kuchaji bila kuunganishwa kwenye soketi. Kulingana na kampuni hiyo, mchakato wa kuchaji kutoka 35% hadi 100% utachukua chini ya saa moja. Kwa habari zaidi, Jiunge nasi Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk #kai #teknolojia #socialpop -
-
Wanasayansi wameunda roboti yenye umbo la samaki aina ya tuna ili kuchunguza jinsi ya kuunda roboti za majini zitakazo kuwa na uwezo wa kasi na ziwe na uwezo wa kugeuka na kupunguza upinzani wa maji.
Roboti hii inatumia mbinu ya kuiga jinsi samaki hao wanavyofunga na kufungua mapezi yao, ambayo huwasaidia kuogelea kwa kasi na ufanisi zaidi. Utafiti huu unaonyesha kwamba kwa kutumia mbinu hii, kasi ya kugeuka kwa roboti hiyo imeongezeka kwa karibu asilimia 33, ikionyesha uwezo wa teknolojia hii kuboresha ubunifu wa roboti za majini.
Kwa habari zaidi, Jiunge nasi
Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk
#kai #teknolojia #socialpop🧬 Wanasayansi wameunda roboti yenye umbo la samaki aina ya tuna ili kuchunguza jinsi ya kuunda roboti za majini zitakazo kuwa na uwezo wa kasi na ziwe na uwezo wa kugeuka na kupunguza upinzani wa maji. 🤖 Roboti hii inatumia mbinu ya kuiga jinsi samaki hao wanavyofunga na kufungua mapezi yao, ambayo huwasaidia kuogelea kwa kasi na ufanisi zaidi. Utafiti huu unaonyesha kwamba kwa kutumia mbinu hii, kasi ya kugeuka kwa roboti hiyo imeongezeka kwa karibu asilimia 33, ikionyesha uwezo wa teknolojia hii kuboresha ubunifu wa roboti za majini. Kwa habari zaidi, Jiunge nasi Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk #kai #teknolojia #socialpop -
Balbu ya taa inayoelea :
Taa hii inayoelea angani hukuikiwa inawaka inatoka #HCNT ni taa ya #LED inayowaka bila waya na inazunguka angani. Inatumia nguvu za sumaku kupepea juu ya msingi wake bila waya. Taa hii ni mapambo ya kipekee kwa meza au chumba. Ni zawadi nzuri kwa watu wanaopenda vitu vya kipekee.
Hora Tech | jiunge Nasi Telegram kwa habari zaidi ...
Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk
#kai #teknolojia #socialpop💡 Balbu ya taa inayoelea : Taa hii inayoelea angani hukuikiwa inawaka inatoka #HCNT ni taa ya #LED inayowaka bila waya na inazunguka angani. Inatumia nguvu za sumaku kupepea juu ya msingi wake bila waya. Taa hii ni mapambo ya kipekee kwa meza au chumba. Ni zawadi nzuri kwa watu wanaopenda vitu vya kipekee. ⚙️Hora Tech | jiunge Nasi Telegram kwa habari zaidi ... Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk #kai #teknolojia #socialpop -
Tayari zimetangazwa glavu mpya
unapotumia glavu hizi wakati wa kucheza game, utaweza kuhisi kama unashika na kushikilia vitu au watu ndani ya mchezo huo.
Tizama Zaidi
Hapa https://t.me/Hora_Tech/297
#HoraTech😍🧤 Tayari zimetangazwa glavu mpya unapotumia glavu hizi wakati wa kucheza game, utaweza kuhisi kama unashika na kushikilia vitu au watu ndani ya mchezo huo. Tizama Zaidi Hapa https://t.me/Hora_Tech/297 #HoraTech
More Stories