Upgrade to Pro

Wanasayansi wameunda roboti yenye umbo la samaki aina ya tuna ili kuchunguza jinsi ya kuunda roboti za majini zitakazo kuwa na uwezo wa kasi na ziwe na uwezo wa kugeuka na kupunguza upinzani wa maji.

Roboti hii inatumia mbinu ya kuiga jinsi samaki hao wanavyofunga na kufungua mapezi yao, ambayo huwasaidia kuogelea kwa kasi na ufanisi zaidi. Utafiti huu unaonyesha kwamba kwa kutumia mbinu hii, kasi ya kugeuka kwa roboti hiyo imeongezeka kwa karibu asilimia 33, ikionyesha uwezo wa teknolojia hii kuboresha ubunifu wa roboti za majini.

Kwa habari zaidi, Jiunge nasi
Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk
#kai #teknolojia #socialpop
🧬 Wanasayansi wameunda roboti yenye umbo la samaki aina ya tuna ili kuchunguza jinsi ya kuunda roboti za majini zitakazo kuwa na uwezo wa kasi na ziwe na uwezo wa kugeuka na kupunguza upinzani wa maji. 🤖 Roboti hii inatumia mbinu ya kuiga jinsi samaki hao wanavyofunga na kufungua mapezi yao, ambayo huwasaidia kuogelea kwa kasi na ufanisi zaidi. Utafiti huu unaonyesha kwamba kwa kutumia mbinu hii, kasi ya kugeuka kwa roboti hiyo imeongezeka kwa karibu asilimia 33, ikionyesha uwezo wa teknolojia hii kuboresha ubunifu wa roboti za majini. Kwa habari zaidi, Jiunge nasi Telegram Channel : https://t.me/+kZVHb14mRuJjYmVk #kai #teknolojia #socialpop
Like
1
1 Comments ·471 Views