OFFICIAL: Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya mshambuliaji kijana, Valentino Mashaka kutoka Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili.
.
Valentino mwenye umri wa miaka 18 ni kijana mwenye kipaji na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi hivyo wamemuona kama mtu sahihi katika ujenzi wa kikosi chetu kipya.
๐Ÿšจ OFFICIAL: Klabu ya Simba imethibitisha kunasa saini ya mshambuliaji kijana, Valentino Mashaka kutoka Geita Gold kwa mkataba wa miaka miwili. . Valentino mwenye umri wa miaka 18 ni kijana mwenye kipaji na uwezo mkubwa wa kufunga na kutengeneza nafasi hivyo wamemuona kama mtu sahihi katika ujenzi wa kikosi chetu kipya.
0 Comments ยท0 Shares ยท94 Views