CONFIRMED: Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.
๐Ÿšจ CONFIRMED: Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu. . Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.
Like
2
ยท 1 Comments ยท0 Shares ยท79 Views