CONFIRMED: Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.
🚨 CONFIRMED: Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria πŸ‡³πŸ‡¬ kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu. . Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.
Like
2
Β· 1 Reacties Β·0 aandelen Β·79 Views