OFFICIAL:: Mlinzi wa kushoto Valentin Nouma raia wa Burkina Faso amejiunga na timu namba 5 kwa Ubora Afrika, SIMBA SC akitokea klabu ya St. Eloi Lupopo ya DR Congo kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Valentin ana umri wa miaka 24 ana uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja.
Like
1
· 0 Comments ·0 Shares ·112 Views