DEAL DONE: Klabu Bora namba 5 kwa Ubora Afrika, Simba SC imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kati Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast 🇨🇮 kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.
.
Karaboue ana urefu wa futi 6.2 na yuko vizuri kwenye kucheza mipira ya juu kuzuia na kuanzisha mashambulizi.
Like
1
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·105 Visualizações