馃馃馃挭
DEAL DONE: Klabu namba 5 kwa Ubora Afrika, Simba SC imethibitisha kunasa saini ya Kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu akitoka Singida Fountain Gate.
.
Kagoma ni moja ya vijana wazawa wenye uwezo mkubwa wa kuzuia timu ikishambuliwa na kupandisha mashambulizi.

Uwezo wake na umri wake ni miongoni mwa vigezo vilivyotuvutia kutafuta saini yake
Like
1
0 Comments 0 Shares 102 Views