Upgrade to Pro

Mwaka Jana ilipotoka movie ya SISU nilipotazama zile action za yule Mzee jeshi la mtu mmoja namna alivyokuwa ananusurika kifo sehemu zisizowezekanikabasi nilijisemea kwamba "hakuna movie kali kama hii kwa mwaka huu 2024"

Ila baada ya siku kadhaa kupita nikajisemea mbona hii movie ni kama Kuna kitu hakipo sawa nikakumbuka lile tukio ambalo Mzee ilibidi aage mashindano mapema baada ya farasi wake kupigwa kombora Moja safi Mzee akiwa juu yake na farasi kusambaratika vipande vipande Lakini Mzee hakujeruhiwa hata kidogo Wala nguo yake kuchanika nikasema this is a big liar dadek.

Baada ya hapo Kuna muda Mzee alijimwagia petrol alipokuwa anawatoka wanajeshi wa kijerumani wenye ghadhabu kali halafu akajitia kiberiti ,dah Lakini mzee hakuungua hata unywele na akabaki salama salmin

Oyaaah hata kama ni starling ndio ukae kwenye kitanzi usiku mzima hadi Kuna pambazuka,nikasema hapa tumepigwa

Sisu ni movie kali iwapo utaitazama kwa kutumia fuvu bila kutumia akili ndio maana hata kwenye top 10 ya movie bora zilizofanya vizuri mwaka Jana huikuti ng'oo.
👉Mwaka Jana ilipotoka movie ya SISU nilipotazama zile action za yule Mzee jeshi la mtu mmoja namna alivyokuwa ananusurika kifo sehemu zisizowezekanika🤔basi nilijisemea kwamba "hakuna movie kali kama hii kwa mwaka huu 2024😋" Ila baada ya siku kadhaa kupita nikajisemea mbona hii movie ni kama Kuna kitu hakipo sawa🤔 nikakumbuka lile tukio ambalo Mzee ilibidi aage mashindano mapema baada ya farasi wake kupigwa kombora Moja safi Mzee akiwa juu yake na farasi kusambaratika vipande vipande Lakini Mzee hakujeruhiwa hata kidogo Wala nguo yake kuchanika🤣 nikasema this is a big liar dadek. Baada ya hapo Kuna muda Mzee alijimwagia petrol alipokuwa anawatoka wanajeshi wa kijerumani wenye ghadhabu kali halafu akajitia kiberiti ,dah Lakini mzee hakuungua hata unywele na akabaki salama salmin 😡 Oyaaah hata kama ni starling ndio ukae kwenye kitanzi usiku mzima hadi Kuna pambazuka,nikasema hapa tumepigwa😠 Sisu ni movie kali iwapo utaitazama kwa kutumia fuvu bila kutumia akili🤣 ndio maana hata kwenye top 10 ya movie bora zilizofanya vizuri mwaka Jana huikuti ng'oo.✍️
Like
3
·233 Views ·1 Shares