Upgrade to Pro

๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—ต๐—ฒ๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ..Kuna wakati nilikuwa najiuliza, hivi vilabu vyetu vikubwa hawamuoni Duke Abuya? Anajituma sana ,anaufundi mkubwa, anacheza nafasi zote za mbele,zote za kati na ulinzi wa pembeni pande zote mbili, na kote huko anakupa katika ubora wa hali ya juu... Ukiutazama usajili wa Yanga unakwenda kujibu changamoto za msimu uliopita:"

"1- ๐—ž๐˜‚๐˜€๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ..Timu kama Kagera Sugar,JKT Tanzania na Tanzania Prisons ziliwapa Yanga wakati mgumu kuzifungua. Wachezaji kama Clatous Chama na Duke Abuya wanauwezo mkubwa wa kuifungua beki iliyo compact kama tu alivyo Paccome. Mechi za hivi wakati mwingine unahitaji watu wenye uwezo wa kupiga kutokea mbali,Prince Dube anahuo uwezo akiungana na Ki Aziz."

"2 - ๐— ๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—บ๐˜๐˜‚ ๐—บ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฎ ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ .. Jean Baleke anauwezo mkubwa wa kusimama kama mshambuliaji pekee. Kuna wakati Kocha Gamondi anataka timu icheze 4-2-3-1, kwa usajili huu punda mbeba mzigo yupo."

"3 - ๐— ๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ.. Hizi ndio zile show za akina Kennedy Musonda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli. Mfano mzuri ni mechi dhidi ya Mamelodi Sundown na Al Ahly. Chadrack Boka, Duke Abuya na Jean Baleke wanafaa sana kwenye mechi za aina hii"

"4 - ๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ .. Kuna wakati Gamondi anapenda kutumia mfumo wa 3-5-2, hizi ndio zile siku za Clement Mzize na Joseph Guede walikuwa wanaanza pamoja,kombinesheni ilikuwa haijakolea sana. Prince Dube na Jean Baleke wanaweza kuifanya kazi hii vizuri sana kwa sababu Dube anauwezo wa kuibia pembeni kidogo huku Baleke akisaidia kuimarisha muundo na uti wa mgongo wa timu kwa kutulia kati."

"5 - ๐—ž๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ธ๐—ฎ .. Asilimia 90% ya rafiki zangu wenye uraia wa Kenya ni mashabiki wa Yanga na niwanunuaji wazuri sana wa jezi. Kutua kwa Abuya Yanga kutaongeza ufuatiliwaji wa Yanga nchini Kenya na kufungua zaidi mlango wa biashara kama ilivyo Congo na South Africa. Hii inaitwa Sir Alex Ferguson Approach."

"Lakini wakumbusheni wageni wote wanaokwenda Yanga kuwa namba zote zinawenyewe, wanatakiwa wakapambanie. Adios......." Mwl. Sama Ndambile, Mchambuzi.
๐—ฌ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—บ๐—ฎ๐—ต๐—ฒ๐˜€๐—ฎ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ..Kuna wakati nilikuwa najiuliza, hivi vilabu vyetu vikubwa hawamuoni Duke Abuya? Anajituma sana ,anaufundi mkubwa, anacheza nafasi zote za mbele,zote za kati na ulinzi wa pembeni pande zote mbili, na kote huko anakupa katika ubora wa hali ya juu... Ukiutazama usajili wa Yanga unakwenda kujibu changamoto za msimu uliopita:" "1- ๐—ž๐˜‚๐˜€๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ..Timu kama Kagera Sugar,JKT Tanzania na Tanzania Prisons ziliwapa Yanga wakati mgumu kuzifungua. Wachezaji kama Clatous Chama na Duke Abuya wanauwezo mkubwa wa kuifungua beki iliyo compact kama tu alivyo Paccome. Mechi za hivi wakati mwingine unahitaji watu wenye uwezo wa kupiga kutokea mbali,Prince Dube anahuo uwezo akiungana na Ki Aziz." "2 - ๐— ๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ฎ๐˜‚ ๐—บ๐˜๐˜‚ ๐—บ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฎ ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—น๐—ฒ ๐—ฝ๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ .. Jean Baleke anauwezo mkubwa wa kusimama kama mshambuliaji pekee. Kuna wakati Kocha Gamondi anataka timu icheze 4-2-3-1, kwa usajili huu punda mbeba mzigo yupo." "3 - ๐— ๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ถ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—บ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐—ป๐—ฎ.. Hizi ndio zile show za akina Kennedy Musonda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli. Mfano mzuri ni mechi dhidi ya Mamelodi Sundown na Al Ahly. Chadrack Boka, Duke Abuya na Jean Baleke wanafaa sana kwenye mechi za aina hii" "4 - ๐—ฆ๐—ถ๐—ธ๐˜‚ ๐˜๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ต๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ถ .. Kuna wakati Gamondi anapenda kutumia mfumo wa 3-5-2, hizi ndio zile siku za Clement Mzize na Joseph Guede walikuwa wanaanza pamoja,kombinesheni ilikuwa haijakolea sana. Prince Dube na Jean Baleke wanaweza kuifanya kazi hii vizuri sana kwa sababu Dube anauwezo wa kuibia pembeni kidogo huku Baleke akisaidia kuimarisha muundo na uti wa mgongo wa timu kwa kutulia kati." "5 - ๐—ž๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ธ๐—ฎ .. Asilimia 90% ya rafiki zangu wenye uraia wa Kenya ni mashabiki wa Yanga na niwanunuaji wazuri sana wa jezi. Kutua kwa Abuya Yanga kutaongeza ufuatiliwaji wa Yanga nchini Kenya na kufungua zaidi mlango wa biashara kama ilivyo Congo na South Africa. Hii inaitwa Sir Alex Ferguson Approach." "Lakini wakumbusheni wageni wote wanaokwenda Yanga kuwa namba zote zinawenyewe, wanatakiwa wakapambanie. Adios......." Mwl. Sama Ndambile, Mchambuzi.
Love
1
ยท569 Views