đ—Ŧ𝗮đ—ģ𝗴𝗮 đ—ļđ—ģ𝗮𝘀𝗮𝗷đ—ļ𝗹đ—ļ 𝗸đ—ļđ—ē𝗮đ—ĩđ—˛đ˜€đ—Žđ—¯đ˜‚ 𝘀𝗮đ—ģ𝗮 ..Kuna wakati nilikuwa najiuliza, hivi vilabu vyetu vikubwa hawamuoni Duke Abuya? Anajituma sana ,anaufundi mkubwa, anacheza nafasi zote za mbele,zote za kati na ulinzi wa pembeni pande zote mbili, na kote huko anakupa katika ubora wa hali ya juu... Ukiutazama usajili wa Yanga unakwenda kujibu changamoto za msimu uliopita:"

"1- 𝗞𝘂𝘀𝘂đ—ēđ—¯đ˜‚đ—šđ—ļ𝘄𝗮 đ—ģ𝗮 𝘁đ—ļđ—ē𝘂 𝘇đ—ļđ—ģ𝗮𝘇đ—ŧđ—Ŋ𝗮𝗸đ—ļ đ—¯đ—Žđ˜€đ—ļ ..Timu kama Kagera Sugar,JKT Tanzania na Tanzania Prisons ziliwapa Yanga wakati mgumu kuzifungua. Wachezaji kama Clatous Chama na Duke Abuya wanauwezo mkubwa wa kuifungua beki iliyo compact kama tu alivyo Paccome. Mechi za hivi wakati mwingine unahitaji watu wenye uwezo wa kupiga kutokea mbali,Prince Dube anahuo uwezo akiungana na Ki Aziz."

"2 - 𝗠𝗲𝗰đ—ĩđ—ļ 𝘇đ—ļđ—ģ𝗮𝘇đ—ŧđ—ĩđ—ļ𝘁𝗮𝗷đ—ļ 𝗸𝘂𝗴đ—ŧđ—ģ𝗴𝗮đ—ģ𝗮 𝗮𝘂 đ—ē𝘁𝘂 đ—ēđ—ēđ—ŧ𝗷𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗸𝗮𝗮 đ—ēđ—¯đ—˛đ—šđ—˛ đ—Ŋ𝗲𝗸𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 .. Jean Baleke anauwezo mkubwa wa kusimama kama mshambuliaji pekee. Kuna wakati Kocha Gamondi anataka timu icheze 4-2-3-1, kwa usajili huu punda mbeba mzigo yupo."

"3 - 𝗠𝗲𝗰đ—ĩđ—ļ 𝘇đ—ļđ—ģ𝗮𝘇đ—ŧđ—ĩđ—ļ𝘁𝗮𝗷đ—ļ 𝗸đ—ļ𝗹𝗮 đ—ēđ—ēđ—ŧ𝗷𝗮 đ—Žđ—¸đ—Žđ—¯đ—˛ 𝘀𝗮đ—ģ𝗮 đ—ģ𝗮 𝗸𝘂𝗸đ—ļđ—ēđ—¯đ—ļ𝗮 𝘀𝗮đ—ģ𝗮.. Hizi ndio zile show za akina Kennedy Musonda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli. Mfano mzuri ni mechi dhidi ya Mamelodi Sundown na Al Ahly. Chadrack Boka, Duke Abuya na Jean Baleke wanafaa sana kwenye mechi za aina hii"

"4 - đ—Ļđ—ļ𝗸𝘂 𝘁đ—ļđ—ē𝘂 đ—ļđ—ģ𝗮đ—ĩđ—ļ𝘁𝗮𝗷đ—ļ 𝘄𝗮𝘀đ—ĩ𝗮đ—ēđ—¯đ˜‚đ—šđ—ļ𝗮𝗷đ—ļ 𝗮𝘀đ—ļ𝗹đ—ļ𝗮 𝘄𝗮𝘄đ—ļ𝗹đ—ļ .. Kuna wakati Gamondi anapenda kutumia mfumo wa 3-5-2, hizi ndio zile siku za Clement Mzize na Joseph Guede walikuwa wanaanza pamoja,kombinesheni ilikuwa haijakolea sana. Prince Dube na Jean Baleke wanaweza kuifanya kazi hii vizuri sana kwa sababu Dube anauwezo wa kuibia pembeni kidogo huku Baleke akisaidia kuimarisha muundo na uti wa mgongo wa timu kwa kutulia kati."

"5 - 𝗞đ—ļđ—¯đ—ļ𝗮𝘀đ—ĩ𝗮đ—ŋ𝗮 𝗸𝘂đ—ģ𝗮 𝘀đ—ŧ𝗸đ—ŧ 𝗹đ—ļđ—ģđ—Žđ—ŗđ˜‚đ—ģ𝗴𝘂𝗸𝗮 .. Asilimia 90% ya rafiki zangu wenye uraia wa Kenya ni mashabiki wa Yanga na niwanunuaji wazuri sana wa jezi. Kutua kwa Abuya Yanga kutaongeza ufuatiliwaji wa Yanga nchini Kenya na kufungua zaidi mlango wa biashara kama ilivyo Congo na South Africa. Hii inaitwa Sir Alex Ferguson Approach."

"Lakini wakumbusheni wageni wote wanaokwenda Yanga kuwa namba zote zinawenyewe, wanatakiwa wakapambanie. Adios......." Mwl. Sama Ndambile, Mchambuzi.
đ—Ŧ𝗮đ—ģ𝗴𝗮 đ—ļđ—ģ𝗮𝘀𝗮𝗷đ—ļ𝗹đ—ļ 𝗸đ—ļđ—ē𝗮đ—ĩđ—˛đ˜€đ—Žđ—¯đ˜‚ 𝘀𝗮đ—ģ𝗮 ..Kuna wakati nilikuwa najiuliza, hivi vilabu vyetu vikubwa hawamuoni Duke Abuya? Anajituma sana ,anaufundi mkubwa, anacheza nafasi zote za mbele,zote za kati na ulinzi wa pembeni pande zote mbili, na kote huko anakupa katika ubora wa hali ya juu... Ukiutazama usajili wa Yanga unakwenda kujibu changamoto za msimu uliopita:" "1- 𝗞𝘂𝘀𝘂đ—ēđ—¯đ˜‚đ—šđ—ļ𝘄𝗮 đ—ģ𝗮 𝘁đ—ļđ—ē𝘂 𝘇đ—ļđ—ģ𝗮𝘇đ—ŧđ—Ŋ𝗮𝗸đ—ļ đ—¯đ—Žđ˜€đ—ļ ..Timu kama Kagera Sugar,JKT Tanzania na Tanzania Prisons ziliwapa Yanga wakati mgumu kuzifungua. Wachezaji kama Clatous Chama na Duke Abuya wanauwezo mkubwa wa kuifungua beki iliyo compact kama tu alivyo Paccome. Mechi za hivi wakati mwingine unahitaji watu wenye uwezo wa kupiga kutokea mbali,Prince Dube anahuo uwezo akiungana na Ki Aziz." "2 - 𝗠𝗲𝗰đ—ĩđ—ļ 𝘇đ—ļđ—ģ𝗮𝘇đ—ŧđ—ĩđ—ļ𝘁𝗮𝗷đ—ļ 𝗸𝘂𝗴đ—ŧđ—ģ𝗴𝗮đ—ģ𝗮 𝗮𝘂 đ—ē𝘁𝘂 đ—ēđ—ēđ—ŧ𝗷𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗸𝗮𝗮 đ—ēđ—¯đ—˛đ—šđ—˛ đ—Ŋ𝗲𝗸𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 .. Jean Baleke anauwezo mkubwa wa kusimama kama mshambuliaji pekee. Kuna wakati Kocha Gamondi anataka timu icheze 4-2-3-1, kwa usajili huu punda mbeba mzigo yupo." "3 - 𝗠𝗲𝗰đ—ĩđ—ļ 𝘇đ—ļđ—ģ𝗮𝘇đ—ŧđ—ĩđ—ļ𝘁𝗮𝗷đ—ļ 𝗸đ—ļ𝗹𝗮 đ—ēđ—ēđ—ŧ𝗷𝗮 đ—Žđ—¸đ—Žđ—¯đ—˛ 𝘀𝗮đ—ģ𝗮 đ—ģ𝗮 𝗸𝘂𝗸đ—ļđ—ēđ—¯đ—ļ𝗮 𝘀𝗮đ—ģ𝗮.. Hizi ndio zile show za akina Kennedy Musonda, Mudathir Yahya na Maxi Nzengeli. Mfano mzuri ni mechi dhidi ya Mamelodi Sundown na Al Ahly. Chadrack Boka, Duke Abuya na Jean Baleke wanafaa sana kwenye mechi za aina hii" "4 - đ—Ļđ—ļ𝗸𝘂 𝘁đ—ļđ—ē𝘂 đ—ļđ—ģ𝗮đ—ĩđ—ļ𝘁𝗮𝗷đ—ļ 𝘄𝗮𝘀đ—ĩ𝗮đ—ēđ—¯đ˜‚đ—šđ—ļ𝗮𝗷đ—ļ 𝗮𝘀đ—ļ𝗹đ—ļ𝗮 𝘄𝗮𝘄đ—ļ𝗹đ—ļ .. Kuna wakati Gamondi anapenda kutumia mfumo wa 3-5-2, hizi ndio zile siku za Clement Mzize na Joseph Guede walikuwa wanaanza pamoja,kombinesheni ilikuwa haijakolea sana. Prince Dube na Jean Baleke wanaweza kuifanya kazi hii vizuri sana kwa sababu Dube anauwezo wa kuibia pembeni kidogo huku Baleke akisaidia kuimarisha muundo na uti wa mgongo wa timu kwa kutulia kati." "5 - 𝗞đ—ļđ—¯đ—ļ𝗮𝘀đ—ĩ𝗮đ—ŋ𝗮 𝗸𝘂đ—ģ𝗮 𝘀đ—ŧ𝗸đ—ŧ 𝗹đ—ļđ—ģđ—Žđ—ŗđ˜‚đ—ģ𝗴𝘂𝗸𝗮 .. Asilimia 90% ya rafiki zangu wenye uraia wa Kenya ni mashabiki wa Yanga na niwanunuaji wazuri sana wa jezi. Kutua kwa Abuya Yanga kutaongeza ufuatiliwaji wa Yanga nchini Kenya na kufungua zaidi mlango wa biashara kama ilivyo Congo na South Africa. Hii inaitwa Sir Alex Ferguson Approach." "Lakini wakumbusheni wageni wote wanaokwenda Yanga kuwa namba zote zinawenyewe, wanatakiwa wakapambanie. Adios......." Mwl. Sama Ndambile, Mchambuzi.
Love
1
0 Reacties 0 aandelen 1K Views